Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Vipindi Vingine
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni kuwa nami tena katika kipindi hiki kinachotoa mwanga wa kuuelewa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran, ambao ni utawala wa kidini unaotokana …
Jumamosi, 31 Oktoba 2015 16:38

Ufeminsti, itikadi na misingi yake (4)

Wafuatiliaji wa kipindi hiki ni wasaa mwingine wa kuwaletea sehemu ya nne ya kipindi chetu cha Ufeministi, Itikadi na Misingi Yake. katika kipindi cha wiki iliyopita tulizungumzia kwa muhtasari historia …
Kuenezwa kirusi cha Ebola Barani Afrika mara kwa mara ni jambo ambalo hupelekea bara hilo kukumbwa na mgogoro na maafa makubwa. Mwaka 2013 kulishuhudiwa kuenea wimbi jipya la kirusi cha …
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni kuwa nami tena katika kipindi hiki kinachotoa mwanga wa kuuelewa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran, ambao ni utawala wa kidini unaotokana …
Jumapili, 25 Oktoba 2015 16:20

Ufeministi, itikadi na misingi yake (3)

Ni wakati mwingine tunawaletea sehemu nyingine ya kipindi cha Ufeministi, Itikadi na Misingi Yake. Katika kipindi cha wiki iliyopita tuliashiria mawimbi mbalimbali ya ufeministi na kusema kwamba, baada ya malalamiko …
Jumatano, 14 Oktoba 2015 11:16

Ufeministi, itikadi na misingi yake (2)

Ni wakati mwingine wa kuwaletea mfululizo wa  kipindi chetu cha Ufeministi, Itikadi na Misingi Yake. Katika kipindi chetu kilichopita tuliashiria kwa muhtasari historia ya ufeministi na kusema ulianzishwa kama jibu …
Jumatatu, 05 Oktoba 2015 17:02

Ufeministi, itikadi na misingi yake (1)

Karibuni kuwa nasi katika sehemu ya kwanza ya mfululizo wa makala mpya zinazozungumzia na kukosoa ufeministi, itikadi na misingi yake kwa kutegemea mitazamo ya dini tukufu ya Kiislamu.      >>>>>>>>   
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni kuwa nami tena katika kipindi hiki kinachotoa mwanga wa kuuelewa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran, ambao ni utawala wa kidini unaotokana …
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni kuwa nami tena katika kipindi hiki kinachotoa mwanga wa kuuelewa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran, ambao ni utawala wa kidini unaotokana …
Miezi sita imepita sasa tokea vianze vita vya Yemen. Raia ni waathirika wakuu wa vita hivyo vilivyoanzishwa na utawala upendao vita wa Saudi Arabia na waitifaki wake. Miongoni mwa raia …
Jumanne, 15 Septemba 2015 17:45

Siku ya Kimataifa ya kulindwa tabaka la Ozoni

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika kipindi hiki cha kila wiki ambapo leo tumekuandalieni makala hii kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Kulindwa Tabaka la Ozoni. …
Alkhamisi, 10 Septemba 2015 20:38

Kuzaliwa Bibi Maryam (AS)

Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi popote pale mlipo. Ni siku na saa nyengine imewadia ya kukuleteeni Makala ya Wiki ambapo mnasaba tutakaozungumzia kwa juma hili ni wa kuzaliwa Bibi Maryam (AS). …
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni kuwa nami tena katika kipindi hiki kinachotoa mwanga wa kuuelewa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran, ambao ni utawala wa kidini unaotokana …
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni kuwa nami tena katika kipindi hiki kinachotoa mwanga wa kuuelewa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran, ambao ni utawala wa kidini unaotokana …
Makala hii ambayo wiki hii itaangazia Mkutano wa Sita wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt AS uliomalizika Tehran Jumatano Tarehe 19 Agosti baada ya kuendelea kwa muda …
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasomaji na karibuni kutegea sikio kipindi cha makala ya wiki ambacho hii leo kitaangazia macho mgogoro na jinai za kutisha zinazofanywa na Saudia na …
Katika makala yetu iliyopita, tuliashiria baadhi ya michezo ya video na kompyuta iliyotengenezwa katika nchi za Magharibi na chini ya ushawishi wa Wazayuni. Tuliona namna ambayvo nyuma ya pazia ya …
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni kuwa nami tena katika kipindi hiki kinachotoa mwanga wa kuuelewa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran, ambao ni utawala wa kidini unaotokana …
Hamjambo wapenzi wasomaji na karibuni kuungana nami katika sehemu ya 20 na ya mwisho ya makala ya wiki yanayoangazia macho ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana …
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni kuwa nami tena katika kipindi hiki kinachotoa mwanga wa kuuelewa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran, ambao ni utawala wa kidini unaotokana …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …