Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Vipindi Vingine
Jumamosi, 19 Disemba 2015 21:16

Ufeministi, itikadi na misingi yake (11)

Katika kipindi cha wiki iliyopita tulisema kuwa, itikadi za ufeministi zina madhara na uharibifu mkubwa na miongoni mwa matokeo yake ni kupinga suala la kuanzisha familia na kudhoofisha taasisi hiyo. …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Karibuni katika kipindi hiki cha Makala ya Wiki. Leo tutaangalia upeo wa haki za binadamu katika barua ya pili ya Kiongozi Muadhamu wa …
Jumanne, 15 Disemba 2015 08:58

Usekulari Katika Mizani ya Uislamu (3)

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kusikiliza kipindi hiki, ambacho lengo lake ni kuuchambua Usekulari kwa kutumia mizani ya mafundisho ya Uislamu ili kuweza kuelewa …
Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Karibuni kuwa nami katika kipindi kingine cha Makala ya Wiki, ambapo kwa wiki hii tutaanza kuchambua pande tofauti za barua ya pili ya Kiongozi Muadhamu wa …
Jumanne, 08 Disemba 2015 14:04

Ufeministi, Itikadi na misingi yake (10)

Ni wakati mwingine wa kuwaletea sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachojadili na kukosoa itikadi na misingi ya Ufeministi. Katika kipindi kilichopita tulijadili mitazamo ya mafemenisti wanaopinga suala la kuwa mama …
Jumanne, 08 Disemba 2015 13:59

Ufeministi, itikadi na misingi yake (9)

Karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya makala ya Ufeministi, Itikadi na Misingi Yake. Katika kipindi kilichopita tulizungumzia baadhi ya misingi ya Ufenimisti kama usekulari na kujitenga na mafundisho …
Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, mwili wako unahitaji virutubishi ili kusaidia ukuaji wa mwili, kama …
Jumatatu, 07 Disemba 2015 15:03

Usekulari Katika Mizani ya Uislamu (2)

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kusikiliza kipindi hiki, ambacho lengo lake ni kuuchambua Usekulari kwa kutumia mizani ya mafundisho ya Uislamu ili kuweza kuelewa …
Jumatano, 02 Disemba 2015 14:39

Usekulari Katika Mizani ya Uislamu (1)

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kusikiliza kipindi hiki kipya, ambacho lengo lake ni kuuchambua Usekulari yaani kwa kimombo 'Secularism' kwa kutumia mizani ya mafundisho …
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni kuwa nami tena katika kipindi hiki kinachotoa mwanga wa kuuelewa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran, ambao ni utawala wa kidini unaotokana …
Jumanne, 24 Novemba 2015 13:38

Ufeministi, itikadi na misingi yake (8)

Karibuni kuwa nasi tena katika sehemu ya 8 ya kipindi cha Ufeministi, Itikadi na Misingi Yake. Katika kipindi cha wiki iliyopita tulizungumzia baadhi ya misingi ya kifikra ya ufeministi ikiwa …
Jumapili, 22 Novemba 2015 17:07

Ufeministi, itikadi na misingi yake (7)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya kipindi cha Ufeministi, Itikadi na Misingi yake. Katika kipindi cha wiki iliyopita tulisema kuwa tofauti …
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni kuwa nami tena katika kipindi hiki kinachotoa mwanga wa kuuelewa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran, ambao ni utawala wa kidini unaotokana …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni wapenzi wasikilizaji katika kipindi hiki cha Makala ya Wiki. Juma hili tumekuandalieni makala yenye kichwa cha maneno kisemacho: Mazingira na Sababu za …
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni kuwa nami tena katika kipindi hiki kinachotoa mwanga wa kuuelewa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran, ambao ni utawala wa kidini unaotokana …
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo wakati huu. Karibuni kuwa nami katika kipindi hiki cha Makala ya Wiki ambapo leo tutaendelea na sehemu ya tatu na …
Virusi vya Ebola ambavyo vimekuwa vikitokea barani Afrika mara kwa mara ni virusi hatari vinavyoua aghlabu ya wagonjwa wake. Virusi hivyo viliripotiwa kwa mara ya kwanza mwaka 1976 katika Jamhuri …
Jumatatu, 09 Novemba 2015 17:42

Ufeministi, itikadi na misingi yake (6)

Karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi cha Ufeministi, Itikadi na Misingi yake. Katika kipindi cha wiki iliyopita tulizungumzia baadhi ya misingi ya kifikra ya ufeministi kama ubinafsi (Individualism) …
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni kuwa nami tena katika kipindi hiki kinachotoa mwanga wa kuuelewa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran, ambao ni utawala wa kidini unaotokana …
Jumapili, 08 Novemba 2015 22:31

Ufeministi, itikadi na misingi yake (5)

Ni wakati mwingine wa kuwaletea mfululizo wa kipindi hiki cha Ufeministi, itikadi na misingi yake na hiki kikiwa ni cha tano. Katika kipindi cha wiki iliyopita tulizungumzia hali ya kusikitisha …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …