Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Vipindi Vingine
Jumanne, 19 Januari 2016 11:40

Ufeministi, itikadi na misingi yake (15)

Katika kipindi cha wiki iliyopita tulijadili moja kati ya itikadi za ufeministi yaani uhuru usio na mipaka wa maingiliano ya kingono. Tulisema kuwa kuenea kwa fikra hii ya ufeministi kulitayarisha …
Jumatatu, 18 Januari 2016 17:09

Usekulari Katika Mizani ya Uislamu (7)

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kusikiliza kipindi hiki, ambacho lengo lake ni kuuchambua Usekulari kwa kutumia mizani ya mafundisho ya Uislamu ili kuweza kuelewa …
Jumatano, 13 Januari 2016 13:14

Usekulari Katika Mizani ya Uislamu (6)

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kusikiliza kipindi hiki, ambacho lengo lake ni kuuchambua Usekulari kwa kutumia mizani ya mafundisho ya Uislamu ili kuweza kuelewa …
Katika siku ya pili ya mwaka 2016, mashirika ya habari yalitangaza habari ambayo iliumiza nyoyo za Waislamu na idadi kubwa ya wapenda uhuru kote duniani.
Jumapili, 10 Januari 2016 20:28

Ufeministi, itikadi na misingi yake (14)

 Karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachojadili na kukosoa itikadi za ufeministi. Katika kipindi cha wiki iliyopita tulizungumzia fikra ya mafeministi inayodai kuwa watoto wanazuia maendeleo …
Alkhamisi, 07 Januari 2016 16:51

Madhara ya simu za mkononi kwa afya ya watoto

Katika makala hizi tunaangazia namna teknolojia hizo zinavoweza kuwa na faida na pia madhara kwa mwanadamu na yote yanategemea namna zinavyotumiwa. Katika makala yetu iliyopita tulisema kuwa wataalamu wanasema utumizi …
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Karibuni kuwa nami katika kipindi kingine cha Makala ya Wiki, ambapo kwa wiki hii tutaendelea kuchambua madondoo mengine ya barua ya pili ya Kiongozi Muadhamu wa …
Jumatano, 06 Januari 2016 13:05

Usekulari Katika Mizani ya Uislamu (5)

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kusikiliza kipindi hiki, ambacho lengo lake ni kuuchambua Usekulari kwa kutumia mizani ya mafundisho ya Uislamu ili kuweza kuelewa …
Alkhamisi, 31 Disemba 2015 15:33

Ufeministi, itikadi na misingi yake (13)

Ni wakati mwingine wa kuwaletea  sehemu nyingine ya kipindi cha Ufeministi, Itikadi na Misingi Yake. Katika kipindi kilichopita tulizungumzia taathira za ufeministi kwa familia. Tulisema miongoni mwa taathira za ufeministi …
Jumamosi, 26 Disemba 2015 17:54

Ufeministi, itikadi na misingi yake (12)

Ni wakati mwingine wa kuwa nanyi wafuatiliaji wa  kipindi hiki kinachojadili na kukosoa misingi ya ufeministi. Kipindi chetu leo kitazungumzia taathira za mitazamo ya ufeministi katika taasisi ya familia. Ni …
Ijumaa, 25 Disemba 2015 11:39

Usekulari Katika Mizani ya Uislamu (4)

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kusikiliza kipindi hiki, ambacho lengo lake ni kuuchambua Usekulari kwa kutumia mizani ya mafundisho ya Uislamu ili kuweza kuelewa …
Alkhamisi, 24 Disemba 2015 12:04

Simu za mkononi ni hatari kwa afya ya watoto

Katika makala yetu iliyotangulia tulisema kuwa wataalamu wanasema utumizi wa muda mrefu wa simu za mkononi ambao huambatana na kulengwa kwa muda mrefu na sumaku pamoja na miale ya kielektroniki …
Alkhamisi, 24 Disemba 2015 11:57

Tusisahau madhara ya simu za mkononi

Hamjambo   wapenzi   wasikilizaji   na   karibuni   kujiunga   nami   katika   kipindi   hiki    ambacho huangazia   taathira ya teknolojia za kisasa za habari na mawasiliano    au   teknohama   katika   mtindo   wa   maisha.   Katika   makala   kadhaa   …
Ingawa miaka ya nyuma masafa yalikuwa na taathira katika uhusiano na maingiliano ya wanadamu, leo mawasiliano ya wanadamu yameenea na kuwa na kasi ya juu kutokana na kuenea intaneti na …
Sote tunakumbuka namna ambavyo, katika miaka iliyopita, tulikuwa tukisikia zauti zilizojaa furaha za watoto wakicheza mitaani. Watoto wakiwa na nyuso zenye bashasha na msisimko mkubwa walikuwa wakikimbizana huku na kule …
Katika makala hii tutaangazia baadhi ya taathira chanya na nzuri za teknolojia mpya ya habari na mawasiliano katika maisha ya kila siku. Baadhi ya mitandao ya kijamii kama vile Facebook, …
Hakuna shaka kuwa matangazo ya biasahra na uchumi yana umuhimu mkubwa. Mashirika ya kibiashara yakitaka kubakia katika mashindano ya biashara na kupata mafanikio katika soko lenye ushindani mkubwa la leo, …
Alkhamisi, 24 Disemba 2015 10:59

Uraibu wa kutizama picha chafu katika intaneti

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika makala hii ambayo huangazia taathira za teknolojia za kisasa katika mtindo wa maisha. Katika makala chache zilizopita tuliangazia suala la athari mbaya …
Alkhamisi, 24 Disemba 2015 10:57

Utumizi wa Intaneti katika familia

Familia ni chombo muhimu na chenye athari katika kuainisha hatima ya maisha ya kijamii ya mtu binafsi. Bila kuwepo familia basi jamii ya mwanadamu itakuwa hatarini na itakumbwa na mgogoro …
Jumatano, 23 Disemba 2015 10:39

Mauaji ya Mashia wa Nigeria, sababu na matokeo

Assalaam Aleikm wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi maalumu ambacho kitachunguza sababu na matokeo ya mauaji ya umati ya hivi karibuni dhidiya ya Mashia wa Nigeria. ************ Mauaji ya watu …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …