Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Vipindi Vingine
Jumanne, 16 Februari 2016 14:24

Ufeministi, itikadi na misingi yake (20)

Karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya kipindi cha Ufeministi, Itikadi na Misingi Yake. Katika baadhi ya vipindi vilivyotangulia tuliashiria kwamba katika kuzungumzia masuala mengi ya kijamii, mafeministi walikumbwa …
Jumanne, 16 Februari 2016 09:35

Usekulari Katika Mizani ya Uislamu (9)

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kusikiliza kipindi hiki, ambacho lengo lake ni kuuchambua Usekulari kwa kutumia mizani ya mafundisho ya Uislamu ili kuweza kuelewa …
Alkhamisi, 11 Februari 2016 18:43

Bahman 22 dhihirisho la nguvu za taifa la Iran

Tarehe 11 Februari ni siku ya kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu maarufu kwa sherehe za Bahman 22 nchini Iran. Leo (Alkhamisi) Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yameadhimisha miaka 37 …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Karibuni wapenzi wasikilizaji katika kipindi hiki kingine maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho Alfajiri Kumi ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran. Leo tutajaribu kuangazia …
Jumanne, 09 Februari 2016 11:57

Sababu ya machafuko mapya nchini Tunisia

Tunisia ilikuwa nchi ya kwanza ya Kiarabu ambayo dikteta wake aliangushwa mwaka 2011 katika mwamko wa Kiislamu nchini humo. Katika makala yetu ya leo tutaangazia sababu ambazo zimepeleka kuibuka machafuko …
Jumatatu, 08 Februari 2016 21:46

Mapinduzi ya Kiislamu na moyo wa kujiamini

Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya makala hizi maalumu zinazokujieni kwa mnasaba wa siku hizi za kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran. …
Jumapili, 07 Februari 2016 14:30

Ufeministi, itikadi na misingi yake (19)

Ni wasaa mwingine wa kuwa nanyi tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa fikra na mitazamo ya mafeministi. Katika kipindi cha wiki iliyopita tulizungumzia mitazamo ya mafeministi ya kudhoofisha …
Jumapili, 07 Februari 2016 12:14

Mapinduzi ya Kiislamu na Sanaa ya Kiislamu

Assalam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi kingine maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran. Kipindi hiki kinakujieni moja kwa moja kupitia …
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nami katika mfululizo mwengine wa vipindi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, …
Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale yanapokufikieni matangazo haya ya Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hususan huko nyumbani AfrikaMashariki. Ninakukaribisheni mjiunge nami …
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nami katika mfululizo huu wa vipindi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, …
Tuko katika siku za kukaribia kilele cha maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu; mapinduzi ambayo yameweza kuleta mabadiliko makubwa katika nyuga zote hasa katika masuala ya kiutamaduni, kijamii na …
Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran kwa uongozi wa Imam Khomeini (MA) na kuanzishwa kwa serikali iliyosimama juu ya msingi wa mafundisho ya Uislamu halisi, ulifungua ukurasa mpya katika …
Jumanne, 02 Februari 2016 12:15

Ufeministi, itikadi na misingi yake (18)

Karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki ambacho kinatupia jicho na kukosoa kwa muhtasari itikadi na misingi ya fikra za ufeministi.
Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya vipindi maalumu vinavyokujieni katika kipindi hiki cha maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran. Ni matumaini …
Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika mfululizo huu wa vipindi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, …
Jumatano, 27 Januari 2016 10:51

Usekulari Katika Mizani ya Uislamu (8)

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kusikiliza kipindi hiki, ambacho lengo lake ni kuuchambua Usekulari kwa kutumia mizani ya mafundisho ya Uislamu ili kuweza kuelewa …
Jumanne, 26 Januari 2016 14:53

Ufeministi, itikadi na misingi yake (17)

Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao huu wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu. Karibuni kuwa nasi tena katika mfululizo wa …
Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika makala yetu ya leo ambayo itatupia jicho kwa muhtasari wasifu na maisha ya kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria Sheikh Ibrahim …
Jumanne, 19 Januari 2016 12:13

Ufeministi, itikadi na misingi yake (16)

Ni wakati mwingine umewadia wa kuwaleta sehemu nyingine ya makala ya Ufeministi Itikadi ya Misingi Yake. Katika kipindi cha wiki iliyopita tulizungumzia moja kati ya itikadi za mafeministi yaani kutoa …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …