Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Vipindi Vingine
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi kingine cha makala ya wiki ambacho kwa leo kitajadili njama zilizofeli za Wamagharibi katika kuituhuma Iran kuhusiana na suala la haki …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika makala hii maalumu tuliyokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran. Makala yetu leo itazungmzia …
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi hiki maalumu ambacho tumekutayarishieni kwa mnasaba wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran. Kufuatia ushindi huo ukurasa mpya wa uadui na …
Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran ulitoa ilhamu kwa mataifa yanayopigania uhuru na kujitawala kote duniani na ulikuwa na taathira kubwa katika harakati za wananchi kwenye nchi mbalimbali za …
Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika mfululizo mwengine wa vipindi hivi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya …
Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya Alfajiri Kumi za kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini yaliyotokea mwaka 1979 …
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasomaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi kingine cha makala ya wiki ambacho hii leo kitazungumzia ongezeko la wimbi la chuki dhidi ya dini …
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasomaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi kingine cha makala ya wiki ambacho hii leo kitazungumzia ongezeko la akina mama wasio na waume na …
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni kuwa nami katika kipindi hiki kinachotoa mwanga wa kuuelewa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran ambao ni utawala wa kidini unaotokana na …
Jumamosi, 24 Januari 2015 22:26

Utawala wa Kizayuni, Mzaliwa wa Ugaidi (18)

Ni wakati mwingine wapenzi wasikilizaji wa kujiunga nami katika sehemu nyingine ya makala hii ya Utawala wa Kizayuni, Mzaliwa wa Ugaidi, makala ambayo hukujieni siku na wakati kama huu kutoka …
Jumamosi, 24 Januari 2015 11:06

Mauaji ya Kimbari (15)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hii wapenzi wasikilizaji ni sehemu ya 15 ya makala za Mauaji ya Kimbari katika zama zetu hizi. Katika sehemu iliyopita na wakati tulipojadili …
Jumatatu, 19 Januari 2015 15:25

Tatizo la mzio au allergy

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi kingine cha Ijue Afya Yako. Leo tutatungumzia tatizo la mzio au alegi. Ili kufahamu tatizo hilo na kujua jinsi …
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni kuwa nami katika kipindi hiki kinachotoa mwanga wa kuuelewa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran ambao ni utawala wa kidini unaotokana na …
Jumapili, 18 Januari 2015 15:52

Mauaji ya Kimbari (14)

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni wasikilizaji wapenzi katika sehemu hii ya 14 ya mfululizo wa makala hizi fupi fupi za Mauaji ya Kimbari katika zama zetu hizi. Tunaendelea na kuzungumzia …
Jumapili, 18 Januari 2015 11:46

Utawala wa Kizayuni, Mzaliwa wa Ugaidi (17)

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya makala hii ya Utawala wa Kizayuni, Mzaliwa wa Ugaidi. Makala yetu iliyopita ilimalizia kuzungumzia misimamo ya dakta …
Jumamosi, 17 Januari 2015 10:34

Teknolojia na Mtindo wa Maisha (2)

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki kuhusu "Taathira ya Teknolojia Mpya za Mawasiliano Katika Mtindo wa Maisha" . Katika makala hii tutaendelea kuangazia baadhi ya taathira za teknolojia …
Jumamosi, 17 Januari 2015 10:33

Teknolojia Mtindo wa Maisha (1)

Katika dunia ya leo ustawi wa kasi wa teknolojia za kisasa ni jambo ambalo limepelekea kuibuka mabadiliko makubwa katika maisha ya mwanaadamu. Teknolojia hizi na hasa teknolojia ya mawasiliano na …
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi kingine cha Makala ya Wiki ambacho kwa leo kitajadili umuhimu wa maulama na wanazuoni wa Kiislamu katika kuongoza umma wa Kiislamu …
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni kuwa nami katika kipindi hiki kinachotoa mwanga wa kuuelewa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran ambao ni utawala wa kidini unaotokana na …
Jumapili, 11 Januari 2015 11:26

Utawala wa Kizayuni, Mzaliwa wa Ugaidi (16)

Ni wasaa na wakati mwingine mpenzi msikilizaji wa kujiunga nami katika sehemu nyingine ya makala hii ya Utawala wa Kizayuni, Mzaliwa wa Ugaidi, ambaYo huzungumzia nafasi ya ugaidi katika kuundwa …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …