Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Vipindi Vingine
Jumatatu, 02 Machi 2015 09:21

Mauaji ya Kimbari (19)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hii wapenzi wasikilizaji ni sehemu ya 19 ya mfululizo wa makala hizi za mauaji ya kimbari katika zama zetu hizi. Tunaendelea kutupia jicho …
Jumapili, 01 Machi 2015 13:38

Utawala wa Kizayuni, Mzaliwa wa Ugaidi (21)

Ni wakati mwingine mpenzi msikilizaji wa kujiunga nami katika sehemu nyingine ya makala hii ya Utawala wa Kizayuni, Mzaliwa wa Ugaidi. Kama mnakumbuka lengo la makala hii ni kuzungumzia nafasi …
Karibuni wapenzi wasikilizaji katika sehemu ya tatu ya kipindi chetu kinachoangazia ‘Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya na Amerika ya Kaskazini’, ambao umeendelea kuakisiwa zaidi …
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni kuwa nami katika kipindi hiki kinachotoa mwanga wa kuuelewa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran, ambao ni utawala wa kidini unaotokana na …
Jumapili, 22 Februari 2015 14:12

Teknolojia na Mtindo wa Maisha (4)

  Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki cha "Taathira ya Teknolojia Mpya za Mawasiliano katika Mtindo wa Maisha". Katika makala hii tutaendelea kuangazia baadhi ya taathira za teknolojia …
Jumapili, 22 Februari 2015 13:22

Utawala wa Kizayuni, Mzaliwa wa Ugaidi (20)

Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya makala hii ya Utawala wa Kizayuni, Mzaliwa wa Ugaidi. Katika sehemu ya 19 ya makala hii tulianza …
Jumamosi, 21 Februari 2015 12:59

Mauaji ya Kimbari (18)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hii wapenzi wasikilizaji ni sehemu ya 18 ya mfululizo wa makala hizi za mauaji ya kimbari katika zama zetu hizi. Tunaendelea kutupia jicho …
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu ya pili ya kipindi chetu kinachoangazia macho ‘Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kwa vijana wa Ulaya na Amerika ya …
Jumanne, 17 Februari 2015 12:48

Aleji au mzio unaosababishwa na dawa

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi kingine cha Ijue Afya yako. Wiki iliyopita tulianza kuzungumzia tatizo la aleji au mzio, mada ambayo leo pia tutaendelea …
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni kuwa nami katika kipindi hiki kinachotoa mwanga wa kuuelewa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran, ambao ni utawala wa kidini unaotokana na …
Jumapili, 15 Februari 2015 15:57

Utawala wa Kizayuni, Mzaliwa wa Ugaidi (19)

Ni wasaa na wakati mwingine mpenzi msikilizaji unapokutana nami katika makala hii ya Utawala wa Kizayuni, Mzaliwa wa Ugaidi ambayo hutupia jicho nafasi ya ugaidi katika kuasisiwa utawala bandia wa …
Jumamosi, 14 Februari 2015 12:14

Mauaji ya Kimbari (17)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni katika sehemu hii ya 18 ya mfululizo wa makala hizi za mauaji ya kimbari katika zama zetu hizi. Leo tutaendelea kutupia jicho …
Jumamosi, 14 Februari 2015 12:11

Teknolojia na Mtindo wa Maisha (3)

      Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia taathira za teknolojia mpya za mawasiliano na habari na hasa intaneti katika mtindo wa maisha …
Suala la kuwa ni kiongozi ni jambo muhimu sana katika harakati mbalimbali za mwanadamu. Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu umepatikana na umedumu hadi leo hii kutokana na kuwa na kiongozi …
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi kingine cha makala ya wiki ambacho hii leo kitaangazia ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa vijana …
Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba huu muhimu wa kuadhimishwa mwaka wa 36 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran. KaribuniWananchi wa Jamhuri …
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nami katika mfululizo mwengine wa vipindi hivi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya …
Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh wapenzi wasikilizaji na karibuni na karibuni katika kipindi kingine maalumu cha Alfajiri Kumi. Imam Ruhullah Khomeini alirejea hapa nchini tarehe Mosi Februari akitokea uhamishoni nchini Ufaransa. …
Jumamosi, 07 Februari 2015 11:14

Mauaji ya Kimbari (16)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni katika sehemu hii ya 16 ya mfululizo wa makala hizi fupi fupi zinazozungumzia mauaji ya kimbari katika zama zetu hizi. Baada ya …
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii maalumu inayowajieni kwa mnasaba wa kuwadia maadhimisho ya Alfajiri 10 ambazo ni siku 10 za kuelekea ushindi wa Mapinduzi ya …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …