Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Vipindi Vingine
Jumapili, 29 Machi 2015 17:06

Teknolojia na Mtindo wa Maisha (8)

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii inayoangazia taathira ya teknolojia za kisasa katika mtindo wa maisha. Katika vipindi vilivyotangulia tuliona namna teknolojia ilivyopenya katika maisha yetu …
Jumapili, 29 Machi 2015 12:13

Utawala wa Kizayuni, Mzaliwa wa Ugaidi (24)

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya makala hii ya Utawala wa Kizayuni, Mzaliwa wa Ugaidi. Makala zetu mbili zilizopita zilizungumzia na kuashiria jinai …
Karibuni wapenzi wasikilizaji katika mfululizo wa vipindi vinavyozungumzia ‘Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya na Amerika ya Kaskazini’, leo ikiwa ni sehemu ya saba ya …
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni kuwa nami katika kipindi hiki kinachotoa mwanga wa kuuelewa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran, ambao ni utawala wa kidini unaotokana na …
Assalaam Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuwadia mwaka mpya wa Kiirani wa Hijria Shamsia wa …
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu ya sita ya kipindi chetu kinachoangazia macho ‘Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kwa vijana wa …
Jumanne, 17 Machi 2015 17:25

Historia fupi ya sherehe za Nairuzi

Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu kujiunga nami katika makala hii maalumu kwa mnasaba wa kuwadia mwaka mpya wa Hijria Shamsia. Awali kabisa kwa mnasaba wa kuanza mwaka mpya wa 1994 …
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni kuwa nami katika kipindi hiki kinachotoa mwanga wa kuuelewa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran, ambao ni utawala wa kidini unaotokana na …
Karibuni wapenzi wasikilizaji katika mfululizo wa vipindi vinavyozungumzia ‘Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya na Amerika ya Kaskazini’, leo ikiwa ni sehemu ya tano ya …
Jumapili, 15 Machi 2015 15:48

Utawala wa Kizayuni, Mzaliwa wa Ugaidi (23)

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya makala hii ya Utawala wa Kizayuni, Mzaliwa wa Ugaidi. Makala yetu iliyopita ilizungumzia harakati za Sheikh Ahmad …
Jumamosi, 14 Machi 2015 10:49

Mauaji ya Kimbari (21) MWISHO

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni wasikilizaji wapenzi katika sehemu hii ya 21 ya mfululizo wa makala hizi fupi fupi za mauaji ya kimbari katika zama zetu hizi. …
Jumamosi, 14 Machi 2015 10:45

Teknolojia na Mtindo wa Maisha (7)

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia taathira za teknolojia mpya za mawasiliano na habari katika mtindo wa maisha. Katika sehemu hii ya saba ya …
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni kuwa nami katika kipindi hiki kinachotoa mwanga wa kuuelewa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran, ambao ni utawala wa kidini unaotokana na …
Jumamosi, 07 Machi 2015 22:22

Utawala wa Kizayuni, Mzaliwa wa Ugaidi (22)

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya makala hii ya Utawala wa Kizayuni, Mzaliwa wa Ugaidi. Juma lililopita tuliashiria baadhi ya jinai zilizofanywa na …
Jumamosi, 07 Machi 2015 12:26

Teknolojia na Mtindo wa Maisha (6)

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na ifuatayo ni makala ya "Taathira ya Teknolojia Mpya za Mawasiliano katika Mtindo wa Maisha". Katika vipindi vilivyopita tuliangazia baadhi ya athari mbaya za uraibu wa intaneti. …
Jumamosi, 07 Machi 2015 12:23

Mauaji ya Kimbari (20)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni katika sehemu hii ya 20 ya makala ya mauaji ya kimbari katika zama zetu hizi. Tunaendelea kuzungumzia mauaji ya kimbari na jinai …
  Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu ya nne ya kipindi chetu kinachoangazia macho ‘Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kwa vijana …
Jumatano, 04 Machi 2015 12:29

Afya Maambukizo katika njia ya Mkojo (UTI)

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi chenu chenye faida tele cha Ijue Afya Yako. Leo tutazungumzia tatizo la maambukizi katika njia ya mkojo Urinary Tract …
Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni kuwa nami katika kipindi hiki kinachotoa mwanga wa kuuelewa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran, ambao ni utawala wa kidini unaotokana na …
Jumatatu, 02 Machi 2015 09:24

Teknolojia na Mtindo wa Maisha (5)

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia taathira za teknolojia mpya za mawasiliano na habari hasa intaneti katika mtindo wa maisha ya mwanadamu. @@@ Katika …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …