Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumanne, 19 Februari 2013 16:17

Historia ya Wazartoshti

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi kingine cha Uliza Ujibiwe. Kipindi hiki kitajibu swali la msikilizaji wetu Bwana Onoleka Andre wa Entebbe nchini Uganda ambaye anaomba kufahamishwa Wazartoshti …
Jumatano, 30 Januari 2013 20:57

Sababu za Imam Khomeini (MA) kuelekea Ufaransa

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi cha juma hili cha Uliza Ujibiwe. Kipindi hiki kitajibu swali la msikilizaji wetu Bwana Bakari Hamisi Dagama wa Songea Tanzania ambaye anaomba kujua …
Jumatano, 23 Januari 2013 15:06

Salman al Farsi + Sauti

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi kingine cha Uliza Ujibiwe ambacho kwa leo kitajibu swali la msikilizaji wetu Bwana Onoleka Andre wa Entebbe nchini Uganda. Msikilizaji wetu huyu anaomba …
Jumanne, 15 Januari 2013 17:07

Kuhusiana na Sahaba Tha'laba + Sauti

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi kingine cha Uliza Ujibiwe. Kipindi cha wiki hii kinafunguliwa na swali kutoka kwa msikilizaji wetu Bwana Sayinguvu Mzee Alimasi wa Rumonge nchini Burundi. …
Jumapili, 13 Januari 2013 16:39

Dini za wachache nchini Iran

Assalaam aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na karibuni kusikiliza kipindi tulichokuandalieni kwa wiki hii cha Uliza Ujibiwe. Kipindi hiki kinafunguliwa na …
Hamjambo  wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi tulichokuandalieni kwa juma hili cha Uliza Ujibiwe. Kipindi hiki kitaanza kwa kujibu swali la msikilizaji wetu  Bwana Yaaqubu Saidi Idambira wa Kakamega nchini …
Jumapili, 23 Disemba 2012 18:24

Uislamu na suala la radi + Sauti

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi cha Uliza Ujibiwe. Kipindi hiki kama mnavyokumbuka ni kuwa kilikuwa kikiwajieni hewani kila siku ya Jumanne na kurudiwa siku ya Jumatano lakini kilisimama …