Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatano, 06 Aprili 2016 15:41

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi na misingi yake. Katika kipindi kilichopita tulisema kuwa, kutokana na …
Jumapili, 27 Machi 2016 15:23

Ufeministi, Itikadi na Misingi Yake-25

Karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki.
Jumanne, 15 Machi 2016 13:47

Ufeministi, Itikadi na Misingi Yake (24)

Ni wakati mwingine wa kuwaletea sehemu ya 24 ya kipindi cha Ufenimisti, Itikadi na Misingi Yake. Katika kipindi cha wiki iliyopita tulitupia jicho mitazamo ya baadhi ya wasomi wa Magharibi …
Jumatatu, 29 Februari 2016 17:31

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (22)

Katika vipindi vilivyotangulia tulinukuu maneno ya baadhi ya wataalamu waliosema kuwa japokuwa ufeministi umekuwa na baadhi ya matunda katika uwanja wa kutetea haki za wanawake kama kuwashirikisha katika masuala ya …
Jumanne, 23 Februari 2016 17:23

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (21)

Ni wakati mwingine wa kuwaletea sehemu ya 21 ya kipindi cha Ufeministi, Itikadi na Misingi Yake. Kizazi cha sasa ambacho kimeathiriwa na fikra za kifeministi kinakimbia na kukwepa majukumu ya …
Jumanne, 16 Februari 2016 14:24

Ufeministi, itikadi na misingi yake (20)

Karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya kipindi cha Ufeministi, Itikadi na Misingi Yake. Katika baadhi ya vipindi vilivyotangulia tuliashiria kwamba katika kuzungumzia masuala mengi ya kijamii, mafeministi walikumbwa …
Jumapili, 07 Februari 2016 14:30

Ufeministi, itikadi na misingi yake (19)

Ni wasaa mwingine wa kuwa nanyi tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa fikra na mitazamo ya mafeministi. Katika kipindi cha wiki iliyopita tulizungumzia mitazamo ya mafeministi ya kudhoofisha …
Jumanne, 02 Februari 2016 12:15

Ufeministi, itikadi na misingi yake (18)

Karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki ambacho kinatupia jicho na kukosoa kwa muhtasari itikadi na misingi ya fikra za ufeministi.
Jumanne, 26 Januari 2016 14:53

Ufeministi, itikadi na misingi yake (17)

Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao huu wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu. Karibuni kuwa nasi tena katika mfululizo wa …
Jumanne, 19 Januari 2016 12:13

Ufeministi, itikadi na misingi yake (16)

Ni wakati mwingine umewadia wa kuwaleta sehemu nyingine ya makala ya Ufeministi Itikadi ya Misingi Yake. Katika kipindi cha wiki iliyopita tulizungumzia moja kati ya itikadi za mafeministi yaani kutoa …
Jumanne, 19 Januari 2016 11:40

Ufeministi, itikadi na misingi yake (15)

Katika kipindi cha wiki iliyopita tulijadili moja kati ya itikadi za ufeministi yaani uhuru usio na mipaka wa maingiliano ya kingono. Tulisema kuwa kuenea kwa fikra hii ya ufeministi kulitayarisha …
Jumapili, 10 Januari 2016 20:28

Ufeministi, itikadi na misingi yake (14)

 Karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachojadili na kukosoa itikadi za ufeministi. Katika kipindi cha wiki iliyopita tulizungumzia fikra ya mafeministi inayodai kuwa watoto wanazuia maendeleo …
Alkhamisi, 31 Disemba 2015 15:33

Ufeministi, itikadi na misingi yake (13)

Ni wakati mwingine wa kuwaletea  sehemu nyingine ya kipindi cha Ufeministi, Itikadi na Misingi Yake. Katika kipindi kilichopita tulizungumzia taathira za ufeministi kwa familia. Tulisema miongoni mwa taathira za ufeministi …
Jumamosi, 26 Disemba 2015 17:54

Ufeministi, itikadi na misingi yake (12)

Ni wakati mwingine wa kuwa nanyi wafuatiliaji wa  kipindi hiki kinachojadili na kukosoa misingi ya ufeministi. Kipindi chetu leo kitazungumzia taathira za mitazamo ya ufeministi katika taasisi ya familia. Ni …
Jumamosi, 19 Disemba 2015 21:16

Ufeministi, itikadi na misingi yake (11)

Katika kipindi cha wiki iliyopita tulisema kuwa, itikadi za ufeministi zina madhara na uharibifu mkubwa na miongoni mwa matokeo yake ni kupinga suala la kuanzisha familia na kudhoofisha taasisi hiyo. …
Jumanne, 08 Disemba 2015 14:04

Ufeministi, Itikadi na misingi yake (10)

Ni wakati mwingine wa kuwaletea sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachojadili na kukosoa itikadi na misingi ya Ufeministi. Katika kipindi kilichopita tulijadili mitazamo ya mafemenisti wanaopinga suala la kuwa mama …
Jumanne, 08 Disemba 2015 13:59

Ufeministi, itikadi na misingi yake (9)

Karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya makala ya Ufeministi, Itikadi na Misingi Yake. Katika kipindi kilichopita tulizungumzia baadhi ya misingi ya Ufenimisti kama usekulari na kujitenga na mafundisho …
Jumanne, 24 Novemba 2015 13:38

Ufeministi, itikadi na misingi yake (8)

Karibuni kuwa nasi tena katika sehemu ya 8 ya kipindi cha Ufeministi, Itikadi na Misingi Yake. Katika kipindi cha wiki iliyopita tulizungumzia baadhi ya misingi ya kifikra ya ufeministi ikiwa …
Jumapili, 22 Novemba 2015 17:07

Ufeministi, itikadi na misingi yake (7)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya kipindi cha Ufeministi, Itikadi na Misingi yake. Katika kipindi cha wiki iliyopita tulisema kuwa tofauti …
Jumatatu, 09 Novemba 2015 17:42

Ufeministi, itikadi na misingi yake (6)

Karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi cha Ufeministi, Itikadi na Misingi yake. Katika kipindi cha wiki iliyopita tulizungumzia baadhi ya misingi ya kifikra ya ufeministi kama ubinafsi (Individualism) …
Page 1 of 2