Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Madhara ya Ulevi
Jumapili, 15 Januari 2012 12:17

Madhara ya ulevi na athari zake (8)-mwisho

Kama wewe mpenzi msikilizaji ulikuwa mfuatiliaji wa vipindi hivi vya madhara ya ulevi na athari zake bila sHaka unakumbuka tulisema kuwa, utumiaji ulevi una taathira mbaya za kimwili na kiroho …
Jumapili, 15 Januari 2012 12:16

Ulevi, Madhara na athari zake (7)

Kama tulivyosema ni kuwa, hii leo muundo wa familia unakabiliwa na vitisho na hataritofauti. Tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa, watu wana nafasi muhimu katika kuundika familia na kuimarisha misingi ya familia …
Jumapili, 15 Januari 2012 12:15

Madhara ya Ulevi na Athari Zake (6)

Hii leo katika jamii tofauti utengenezaji, uzalishaji pamoja na matumizi ya pombe, yamekuwa yakienea kwa kasi licha ya kinywaji hicho kuharmisha na ushahidi wa tafiti mbalimbali unaoonyesha madhara ya matumizi …
Jumapili, 15 Januari 2012 12:14

Ulevi, Madhara na Athari Zake (5)

Tulisema katika makala zetu zilizotangulia kwamba, utumiaji ulevi hupelekea kupatikana madhara mengi ya kimwili na kiroho kwa mtumiaji wa kinywaji hiki kilichoharamishwa. Kiungo kinachoathirika zaidi na ulevi ni ini. Athari …
Jumapili, 15 Januari 2012 12:14

Ulevi, Madhara na Athari Zake (4)

Makala yetu ya leo leo itaanza kwa kutupia jicho ripoti ya taasisi ya juu ya afya ya nchini Italia. Hivi karibuni Taasisi ya Juu ya Afya nchini Italia ilitangaza kuwa, …
Jumapili, 15 Januari 2012 12:13

Ulevi, Madhara na Athari Zake (3)

Miongoni mwa sifa maalumu na za kipekee za mafundisho aali ya dini tukufu ya Kiislamu ni mafundisho hayo kwenda sambamba na dhati ya utakasifu wa kibinaadamu. Sheria na mafundisho ya …
Jumapili, 15 Januari 2012 12:12

Ulevi, Madhara na Athari Zake (2)

Pombe na baadhi ya vileo mfano wake kutokana na kuwa na mada inayojulikana kwa jina la alkoholi huwa na sifa ya kulewesha na kudhoofisha. Mada ya kemikali ya alkoholi ilikuwa …
Jumapili, 15 Januari 2012 12:11

Ulevi, Madhara na Athari Zake (1)

Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasomaji na karibuni katika makala hii itakayojadili na kuzungumzia ulevi, madhara na athari zake. Katika mfululizo huu tutatupia jicho sababu za kuelekea kwenye ulevi …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …