Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jifunze Kifarsi
Jumamosi, 17 Aprili 2010 12:18

Somo la Mia Moja na Ishirini na Moja

SikilizaHujambo mpenzi msikilizaji na ni furaha yetu kuwa umejiunga nasi katika somo hili la 121 la kujifunza lugha tamu ya Kifarsi. Kama unavyokumbuka, Mohammad na rafiki yake Saeed wanaenda safari …
Jumamosi, 17 Aprili 2010 12:16

Somo la Mia Moja na Ishirini

SikilizaHamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki cha kujifunza lugha tamu ya Kifarsi. Somo letu la leo ni la 120. Katika kipindi hiki na vingine kadhaa vijavyo, tutajifunza zaidi …
Jumamosi, 17 Aprili 2010 12:15

Somo la Mia Moja na Kumi na Tisa

SikilizaHamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami tena katika kipindi hiki cha Jifunze Lugha ya kifarsi. Somo letu la leo ni la 119. Katika vipindi kadhaa vilivyopita tulijifunza kuwa katika …
Jumamosi, 17 Aprili 2010 12:14

Somo la Mia Moja na Kumi na Nane

SikilizaHamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika somo letu la 118 la kujifunza lugha tamu ya Kifarsi. Katika kipindi chetu cha leo tutaendelea kujifunza mengi zaidi kuhusu Mapahlavan au …
Jumanne, 19 Januari 2010 12:57

Somo la Mia Moja na Kumi na Saba

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika kipindi hiki cha Jifunze Lugha ya Kifarsi.Somo letu la leo ni la 117.Kama unavyokumbuka, katika kipindi chetu kilichopita tulizungumza kuhusu Mapahlavan …
Jumanne, 19 Januari 2010 12:56

Somo la Mia Moja na Kumi na Sita

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki ch akujifunza lugha ya Kifarsi. Somo letu la leo ni la 116. Katika kipindi kilichopita tuliweza kumfahamu mmoja kati …
Jumanne, 19 Januari 2010 12:54

Somo la Mia Moja na Kumi na Tano

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki cha kujifunza ligha ya Kifarsi. Ni furaha yangu kuwa umejiunga nasi katika somo hili la 115. Mohammad na Saeed …
Jumanne, 19 Januari 2010 12:53

Somo la Mia Moja na Kumi na Nne

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki cha kujifunza lugha tamu ya Kifarsi. Somo letu la leo ni la 114. Kama unavyokumbuka katika kipindi chetu kilichopita, …
Jumanne, 19 Januari 2010 12:51

Somo la Mia Moja na Kumi na Tatu

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika kipindi hiki cha kujifunza lugha tamu ya Kifarsi. Somo letu la leo ni la mia moja na kumi na tatu. Kama …
Jumanne, 19 Januari 2010 12:42

Somo la Mia Moja na Kumi na Mbili

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika somo hili la 112 la kujifunza lugha tamu ya Kifarsi.Katika somo letu la leo tutaanza maduhui mpya kuhusu vita vya kulazimishwa …
Jumanne, 19 Januari 2010 12:41

Somo la Mia Moja na Kumi na Moja

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika somo hili la 111 la kujifunza lugha tamu ya Kifasri.Kama unavyokumbuka katika vipindi vyetu viwili vilivyotangulia, Mohammad aliweza kufahamu kuhusu sanaa …
Jumanne, 19 Januari 2010 12:39

Somo la Mia Moja na Kumi

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji tuna furaha tele kuwa umejiunga nasi tena katika kipindi hiki cha kujifunza lugha tamu ya Kifarsi. Somo letu la leo ni la 110. Kama unavyokumbuka, katika kipindi …
Jumanne, 19 Januari 2010 12:38

Somo la Mia Moja na Tisa

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika somo hili la 109 la kujifunza lugha ya Kifarsi. Katika somo letu la leo, Mohammad na Rafiki yake, Romin wameenda katika soko …
Jumanne, 19 Januari 2010 12:36

Somo la Mia Moja na Nane

Sikiliza Hujambo mpenzi msikilizaji uipendayo lugha ya Kifarsi. Ni furaha yetu kuwa umejiunga nasi katika somo leti la 108.Katika kipindi cha leo sawa na vipindi vitatu vilivyotangulia, tutaendelea kujifunza kuhusu mkoa …
Jumanne, 19 Januari 2010 12:33

Somo la Mia Moja na Saba

Sikiliza Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu kujiunga nasi tena katika kipindi ukipendacho cha kujifunza lugha ya Kifarsi. Ni furaha yetu kuwa uko nasi katika tomo hili la 107. Katika vipindi vyetu …
Jumanne, 19 Januari 2010 12:32

Somo la Mia Moja na Sita

Sikiliza Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu kujiunga nasi katika somo hili la 106 la kujifunza lugha tamu ya Kifarsi.Kama unavyokumbuka katika kipindi chetu kilichopita, Mohammad na marafiki zake wameamua kuenda kuutembelea …
Jumanne, 19 Januari 2010 12:28

Somo la Mia Moja na Tano

Sikiliza Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu kujiunga nami katika kipindi hiki cha kujifunza lugha tamu ya kifarsi.Katika kipindi cha leo tutaandamana pamoja hadi mkoa wa Khuzestan ambao ni kati ya mikoa …
Jumatano, 18 Novemba 2009 22:33

Somo la Mia Moja na Nne

SikilizaHamjambo wapenzi wasikilizjai na karibuni kujiunga nami katika kipindi kingine cha kujifunza lugha tamu ya Kifarsi. Somo letu la leo ni la 104. Kama unavyokumbuka katika vipindi vyetu kadhaa vilivyopita …
Jumatano, 18 Novemba 2009 22:31

Somo la Mia Moja na Tatu

SikilizaHujambo mpenzi msikilizaji na karibu kujiuna nasi katika kipindi hiki cha Jifunze Lugha ya kifarsi. Somo letu la leo ni la 103. Kama unavyokumbuka katika kipindi chetu kilichopita Mohammad na …
Jumatano, 18 Novemba 2009 22:29

Somo la Mia Moja na Mbili

SikilizaNi furaha yetu kuwa umejiunga nasi tena katika kipindi ukipendacho cha kujifunza lugha tamu ya Kifarsi. Somo letu la leo ni la 202. Kama unavyokumbuka katika kipindi chetu kilichopita Mohammad …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …