Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jifunze Kifarsi
Jumatano, 07 Mei 2008 21:17

Somo la Kumi na Moja

Sikiliza Hamjambo wapenzi kipindi hiki cha 'Jifunze Kifarsi'. Somo letu la leo ni la 11 katika mfululizo huu. Wahusika katika somo letu la leo ni Mohammad na Romin ambao wameenda …
Jumatano, 30 Aprili 2008 23:56

Somo la Kumi

Sikiliza Wapenzi wa lugha ya Kifarsi karibuni katika somo letu la 10 la Jifunze Kifarsi. Ni matumani yangu kuwa umejitayarisha kikamilifu kusikiliza somo letu la leo. Iwapo ulifuatilia kipindi chetu …
Jumatano, 30 Aprili 2008 23:55

Somo la Tisa

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji, bila shaka iwapo umekuwa ukifuatilia vipindi vyetu vya Jifunze Kifarsi unajua tumefika wapi katika kisa na simulizi zetu. Leo jioni Romin anataka kwenda kununua vitu anavyohitaji. …
Jumatano, 30 Aprili 2008 23:54

Somo la Nane

Sikiliza Hamjambo wapenzi wa lugha ya Kifarsi. Iwapo hadi hapa umekuwa ukisikiliza vipindi vyetu vya Jifunze Kifarsi, basi hakuna shaka kuwa unaweza kuzungumza Kifarsi japo kwa sentensi fupi, jambo ambalo …
Jumatano, 30 Aprili 2008 23:53

Somo la Saba

Sikiliza Karibuni kipindi mkipendacho cha Jifunze Kifarsi. Katika somo letu la nane hii leo, rafiki zetu, Romin na Mohammad watatembea kwa miguu kutoka chuo kikuu hadi bwenini. Bweni lao liko …
Jumatano, 30 Aprili 2008 23:50

Somo la Sita

Sikiliza Karibu tena katika kipindi cha Jifunze Kifarsi. Somo letu la leo ni la sita katika mfulilizo wa vipindi vya Jifunze Kifarsi. Kama bado unakumbuka, Mohammad na Romin ambao ni …
Jumatano, 30 Aprili 2008 23:45

Somo la Tano

Sikiliza Ni matumaini yangu kuwa mmekuwa mkifuatilia mfululizo wetu huu wa vipindi vya Jifunze Kifarsi. Katika kipindi chetu kilichopita tulisema kuwa Muhammad alikuwa anataka kwenda kuishi katika bweni nambari mbili. …
Jumatano, 30 Aprili 2008 23:35

Somo la Nne

Sikiliza Hamjambo wapenzi wa lugha ya Kifarsi. Ni matumaini yetu kuwa ulifuatilia kipindi chetu kilichopita cha somo la tatu la Jifunze Kifarsi. Katika kipindi hicho tulijifunza idadi kubwa ya sentensi …
Jumatatu, 28 Aprili 2008 21:11

Somo la Tatu

Sikiliza Somo la Tatu Karibuni tena katika kipindi hiki cha kila wiki cha Jifunze Kifarsi. Kama mnavyojua Muhammad na Romin ni marafiki wawili katika kipindi chetu. Leo katika somo letu …
Jumatatu, 28 Aprili 2008 21:03

Somo la Pili

Sikiliza Karibuni katika kipindi hiki cha Jifunze Kifarsi. Iwapo unakumbuka, katika somo lililopita Muhammad na Ramin walikutana na kujuana katika mkahawa wa chuo Kikuu. Ramin ni mwanafunzi Muirani anayesoma historian …
Jumatatu, 28 Aprili 2008 20:59

Maelezo Mafupi Kuhusu Lugha ya Kifarsi

Kufuatia ombi la wapenzi wengi wa utamaduni wa Kiirani na Lugha ya Kifarsi, tumeamua kukufungulie kurasa maalumu za masomo ya lugha ya Kifarsi katika mtandao wetu huu ambayo hurushwa hewani …
Jumatatu, 28 Aprili 2008 20:51

Jifunze Kifarsi Orodha ya Masomo

Page 10 of 10

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …