Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jifunze Kifarsi
Jumatatu, 16 Februari 2009 01:08

Somo la Thelathini na Moja

SikilizaHamjambo wasikilizaji wapenzi. Ni furaha yetu kwamba umejiunga nasi tena katika kipindi cha leo cha Jifunza Kifarsi ambacho ni cha 31 katika mfululizo huu. Leo tutasikiliza mazungumzo ya simu ya …
Jumatano, 28 Januari 2009 19:20

Somo la Thelathini

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji Muipendao Lugha tamu ya Kifarsi na karibuni katika somo letu la leo ambalo ni la 30. Ni matumaini yangu kuwa kama ilivyokuwa huko nyuma, utasikiliza kipindi …
Jumatano, 28 Januari 2009 19:16

Somo la Ishirini na Tisa

Sikiliza Hamjambo Wapenzi Wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi kingine cha Jifunze Kifarsi ambacho ni cha 29 katika mfululizo huu. Leo Mohammad anataka kwenda katika barabara au mtaa wa Ferdous. Anataka …
Jumatano, 28 Januari 2009 19:14

Somo la Ishirini na Nane

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji. Ni furaha yetu kuwa mmejiunga nasi tena katika kipindi hiki cha kujifunza lugha tamu ya Kifarsi. Je wajua tutajifunza nini hii leo katika somo letu la …
Jumatano, 28 Januari 2009 19:13

Somo la Ishirini na Saba

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki mkipendacho cha Jifunze Kifarsi. Katika somo letu la 27, hii leo tutaenda katika duka la kuuza maua. Romin ataandamana nasi katika …
Jumatano, 28 Januari 2009 19:11

Somo la Ishirini na Sita

SikilizaHamjambo wapenzi wasikilizaji muipendayo lugha ya Kifarsi na karibuni katika kipindi kingine cha Jifunze Kifarsi ambacho ni cha 26 katika mfululizo huu. Mohammad leo yuko katika idara ya Posta. Anataka …
Jumatano, 28 Januari 2009 19:09

Somo la Ishirini na Tano

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena kujiunga nasi katika kipindi hiki mkipendacho cha Jifunze Kifarsi ambacho ni cha 25 katika mfululizo huu. Mohammad sasa yuko sokoni na anataka kumnunulia …
Jumatano, 28 Januari 2009 19:08

Somo la Ishirini na Nne

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji muipendayo lugha ya Kifarsi. Karibuni katika kipindi hiki cha Jifunze Kifarsi ambacho ni cha 24 katika mfululizo huu. Ni wiki moja sasa tangu baba yake Romin …
Jumatano, 28 Januari 2009 19:03

Somo la Ishirini na Tatu

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji. Ni furaha yangu kuwa mnasikiliza kipindi hiki cha Jifunze Kifarsi ambacho ni cha 23 katika mfululizo huu. Baba yake Romin alifanyiwa upasuaji siku mbili zilizopita na …
Jumatano, 28 Januari 2009 19:00

Somo la Ishirini na Mbili

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji. Ni furaha yangu kuwa mmejiunga nasi tena katika kipindi hiki cha jifunze Kifarsi ambacho ni cha 22 katika mfululizo wetu huu. Iwapo ulisikiliza kipindi chetu kilichopita, …
Jumapili, 25 Januari 2009 19:30

Somo la Ishirini na Moja

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi hiki cha Jifunze Kifarsi ambacho ni cha 21 katika mfululizo wetu huu. Iwapo unakumbuka wazazi wa Romin wamekuja mjini Tehran. Babake Romin …
Jumatano, 07 Mei 2008 21:29

Somo la Ishirini

Sikiliza Hamjambo wapenzi wa Kipindi cha Jifunze Kifarsi. Somo letu la leo ni la 20. Baba yake Romin ni mgonjwa na anataka kuja Tehran kupata matibabu. Leo baba, mama na …
Jumatano, 07 Mei 2008 21:28

Somo la Kumi na Tisa

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu hii ya kipindi cha Jifunze Lugha ya Kifarsi. Leo tumeazimia kzungmzia mmoja kati ya washairi wa zama hizo wa …
Jumatano, 07 Mei 2008 21:27

Somo la Kumi na Nane

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki cha Jifunze Kifarsi ambacho ni cha 18 katika mfululizo wetu huu. Iwapo unakumbuka katika kipindi chetu kilichopita Mohammad na Hamid waliafikiana …
Jumatano, 07 Mei 2008 21:25

Somo la Kumi na Saba

Sikiliza Hamjambo wapenzi wa kipindi hiki cha Jifunze Kifarsi ambacho ni cha 17 katika mfululizo wetu huu. Leo tutajiunga na Mohammad na Hamid ambao wataenda pamoja katika bustani. Hamid anampendekezea …
Jumatano, 07 Mei 2008 21:24

Somo la Kumi na Sita

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji wa kipindi hiki cha Jifunze Kifarsi ambacho ni cha 16 katika mfululizo huu. Katika kipindi chetu cha leo Mohammad na Romin watazungumzia safari kwani wiki ijayo …
Jumatano, 07 Mei 2008 21:23

Somo la Kumi na Tano

Sikiliza Hamjambo wapenzi wa lugha ya Kifarsi. Kipindi chetu cha leo ni cha 15 katika mfululizo huu. Kama mnavyokumbuka katika kipindi chetu kilichopita Mohammad na rafiki yake Hamid walienda katika …
Jumatano, 07 Mei 2008 21:22

Somo la Kumi na Nne

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji hasa wapendao lugha ya Kifarsi. Ni furaha yetu kuwa mumejiunga nasi siku ya leo. Je, leo unajua Mohammad anataka kufanya nini? Ataandamana pamoja na mwanafunzi mwenzake …
Jumatano, 07 Mei 2008 21:20

Somo la Kumi na Tatu

Sikiliza Hamjambo wapenzi wa lugha ya Kifarsi. Ni furaha yetu kuwa mumejiunga nasi siku ya leo. Somo letu ni la 13 Je, leo unajua Mohammad anataka kufanya nini? Ataandamana pamoja …
Jumatano, 07 Mei 2008 21:19

Somo la Kumi na Mbili

Sikiliza Hamjambo wasikilizaji wapenzi. Ni furaha yetu kuwa leo mumejiunga nasi tena katika kipindi chetu cha Jifunze Kifarsi ambacho ni cha 12 katika mfululizo huu. Leo Muhammad anataka kununu vitabu …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …