Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jifunze Kifarsi
Jumatano, 09 Septemba 2009 21:04

Somo la Khamsini na Moja

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki cha Jifunze Kifarsi. Somo letu la leo ni la 51. Iwapo ulifuatilia vipindi vyetu viwili viliytangulia, basi unakumbukwa kuwa Mohammad aliongeza …
Jumatano, 09 Septemba 2009 20:35

Somo la Khamsini

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji, tunawashukuru kwa kujiunga nasi tena katika kipini hiki cha kujifunza lugha ya Kifarsi. Somo hili ni la 50 na ni matumaini yetu kuwa umenufaika vya kutosha …
Jumatano, 09 Septemba 2009 20:33

Somo la Arubaini na Tisa

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikizaji na karibuni katika kipindi hiki cha kijifunza lugha muipendayo ya Kifarsi. Somo hili ni la 49. Leo tutajifunza kuhusu mazingira ya kuvutia ya Iran. Mohammad ambaye …
Jumatano, 09 Septemba 2009 20:32

Somo la Arubaini na Nane

SikilizaHamjambo wapenzi wasikilizaji hasa wale wakipendai kipindi hiki cha Kujifunza lugha ya Kifaris. Ni furaha yetu kuwa umejiunga nasi tena katika somo letu la leo ambalo ni la 48. Leo …
Jumatano, 09 Septemba 2009 20:30

Somo la Arubaini na Saba

SikilizaHamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki cha jifunze Kifarsi. Somo letu la leo ni la 47. Msimu wa mitihani unakaribia na Chuo Kikuu kimatangaza ratiba ya mitihani. Rafikiye …
Jumatano, 09 Septemba 2009 20:28

Somo la Arubaini na Sita

SikilizaHamjambo wapenzi wasikilizaji mkipendao kipindi cha Jifunze Kifarsi. Ni furaha yetu kuwa umejiunga nasi tena katika somo la leo ambalo ni la 46 katika mfululizo huu. Leo tutaenda pamoja ugenini. …
Jumanne, 08 Septemba 2009 16:51

Somo la Arubaini na Tano

SikilizaHamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki cha Jifunze Kifarsi ambacho ni cha 45 katika mfululizo huu. Maryam, dada yake Romin anafanya kazi katika Hospitali iliyo katika barabara ya …
Jumanne, 08 Septemba 2009 16:46

Somo la Arubaini na Nne

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki cha Jifunze Kifarsi ambacho ni cha 44 katika mfululizo huu. Ni matumaini yangu kuwa vipindi vyetu hadi sasa vimewanufaisha vya kutosha. …
Jumanne, 08 Septemba 2009 16:43

Somo la Arubaini na Tatu

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kijiunga nasi katika kipindi hiki cha Jifunzei Kifarsi ambacho ni cha 43 katika mfululizo wetu huu. Ni matumaini yangu kuwa utakuwa nasi hadi tamati …
Jumanne, 08 Septemba 2009 16:35

Somo la Arubaini na Mbili

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki cha Jifunze Kifarsi ambacho ni cha 42 katika mfululizo wetu huu. Leo tuna mgeni katika kipindi chetu naye ni Maryam, dada …
Jumanne, 08 Septemba 2009 16:28

Somo la Arubaini na Moja

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na ni furaha yetu kuwa umejiunga nasi leo kusikiliza kipindi hiki cha Jifunze Kifars Katika somo la 41 la mfululizo wetu huu. Leo tutaenda kuzitembelea barabara …
Jumatatu, 16 Februari 2009 01:40

Somo la Arubaini

Sikiliza Hamjambo Wapenzi wasikilizaji katika kipindi hiki mkipendacho cha Jifunze Kifarsi. Somo hili ni la 40. Leo Romin ni mgonjwa na anaenda katika moja ya kliniki mjini. Lakini hakufanikiwa kupata …
Jumatatu, 16 Februari 2009 01:37

Somo la Thelathini na Tisa

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi tena katika kipindi hiki cha Jifunza Lugha ya Kifarsi. Somo letu la leo ni la 39 na ni matumiani yangu kuwa utakuwa …
Jumatatu, 16 Februari 2009 01:35

Somo la Thelathini na Nane

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji mnaoipenda lugha ya Kifarsi. Somo letu la leo ni la 38.Leo tutaandamana pamoja ili tujue Mohammad na Romin watafanya nini. Hivi sasa ni usiku na Mohammad …
Jumatatu, 16 Februari 2009 01:32

Somo la Thelathini na Saba

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakushukuru kwa kujiunga nasi tena katika kipindi hiki cha Jifunze Kifarsi. Somo letu la leo ni la 37 katika mfululizo huu ni matumaini yangu kuwa …
Jumatatu, 16 Februari 2009 01:30

Somo la Thelathini na Sita

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji, ni furaha yangu kuwa mumejiunga nami tena katika somo hili la 36. Iwapo ulisikiliza kipindi chetu kilichopita utakumbuka kuwa, baada ya kununua shanta, Mohammad na Romin …
Jumatatu, 16 Februari 2009 01:27

Somo la Thelathini na Tano

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji hasa muipendayo lugha ya Kifarsi. Ni furaha yangu kuwa mnakifuatilia kipindi hiki cha kila wiki cha Jifunze Kifarsi. Somo letu la leo ni la 35. Leo …
Jumatatu, 16 Februari 2009 01:24

Somo la Thelathini na Nne

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na ni furaha yetu kuwa mumejiunga nasi tena katika kipindi hiki cha Jifunze Kifarsi. Somo letu la leo ni la 34 katika mfululizo huu. Iwapo unakumbuka, …
Jumatatu, 16 Februari 2009 01:20

Somo la Thelathini na Tatu

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji waipendayo lugha ya kifarsi. Na karibuni katika somo letu la leo ambalo ni la 33 katika mfululizo huu. Leo baada ya adhuhuru Mohammad anarejea kutoka ofisi …
Jumatatu, 16 Februari 2009 01:17

Somo la Thelathini na Mbili

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji hasa wanaofuatilia kwa karibu kipindi hiki cha Jifunze Kifairs. Ni furaha yetu kuwa mumejiunga nasi tena leo katika somo hili la 32.Katika kisa chetu cha leo …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …