Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jifunze Kifarsi
Jumatano, 09 Septemba 2009 21:57

Somo la Sabini na Tano

Sikiliza Hujambo mpenzi msikilizaji. Ni furaha yetu kuwa umejiunga nasi katika kipindi hiki cha kujifunza lugha ya Kifarsi. Somo letu la leo ni la 75. Tunatumai kuwa hadi sasa umefurahia …
Jumatano, 09 Septemba 2009 21:55

Somo la Sabini na Nne

Sikiliza Hamjamboni wapenzi wasikilizaji na karibuni kujina nasi katika kipindi hiki cha kujifunza lugha ya Kifarsi. Somo letu la leo ni la 74 katika mfululizo wetu huu. Leo tutaandamana pamoja …
Jumatano, 09 Septemba 2009 21:54

Somo la Sabini na Tatu

SikilizaHujambo mpenzi msikilizaji na ni furaha yetu kuwa umejiunga nasi katika kipindi hiki cha kujifunza lugha ya Kifarsi. Somo letu la leo ni la 73. Iwapo unakumbuka, katika kipindi chetu …
Jumatano, 09 Septemba 2009 21:52

Somo la Sabini na Moja

Sikiliza Hujambo mpenzi msikilizaji hasa uipendayo lugha ya Kifarsi. Ni matarajio yangu kuwa umekuwa ukifuatilia kwa karibu mfululizo wa vipindi vyetu vya kujifunza lugha ya Kifarsi. Somo hili ni la …
Jumatano, 09 Septemba 2009 21:48

Somo la Sitini na Tisa

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi chetu cha leo cha Jifunze Lugha ya Kifarsi. Ni furaha yetu kuwa umejiunga nasi katika somo letu la leo ambalo ni la …
Jumatano, 09 Septemba 2009 21:46

Somo la Sitini na Nane

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika kipindi hiki cha Jifunze Lugha ya Kifarsi. Katika somo letu la leo ambalo ni la 68, tutajifunza kuhusu moja kati ya …
Jumatano, 09 Septemba 2009 21:42

Somo la Sitini na Saba

Sikiliza Hamjamboni wapenzi wasikilizaji hasa waipendao lugha ya Kifarsi na ni matumaini yetu kuwa mtakuwa nasi hadi mwisho wa somo letu la leo ambalo ni la 67. Leo tunataka kukuarifishieni …
Jumatano, 09 Septemba 2009 21:40

Somo la Sitini na Sita

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kusikiliza kipindi hiki cha kujifunza lugha ya Kifarsi. Ni furaha yetu kuwa umejiunga nasi leo katika somo letu la 66. Leo tunataka kuzungumzia …
Jumatano, 09 Septemba 2009 21:38

Somo la Sitini na Tano

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika kipindi hiki cha Jifunze Lugha ya Kifarsi. Ni matumaini yetu kuwa utakuwa nasi hadi mwisho wa somo letu la leo ambalo …
Jumatano, 09 Septemba 2009 21:37

Somo la Sitini na Nne

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki cha kujifunza lugha ya Kifarsi. Somo, letu la leo ni la 64. Ni matumaini yangu kuw autajiunga nasi hadi mwisho wa …
Jumatano, 09 Septemba 2009 21:35

Somo la Sitini na Tatu

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza somo letu la 63 la kujifunza lugha ya Kifarsi. Ni furaha yetu kuwa umeamua kujifunza ligha ya Kifarsi. Mohammad na rafiki yake, Romin, …
Jumatano, 09 Septemba 2009 21:33

Somo la Sitini na Mbili

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki cha kujifunza lugha ya Kifarsi. Somo letu la leo ni la 62. Tunakutakieni kila la kheri na ni matumaini yetu kuwa …
Jumatano, 09 Septemba 2009 21:31

Somo la Sitini na Moja

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji waipendayo lugha tamu ya Kifarsi. Ni furaha yetu kuwa umejiunga nasi katika kipindi hiki cha kujifunza lugha ya kifarsi. Ni furaha yetu kuwa umejiunga nasi katika …
Jumatano, 09 Septemba 2009 21:30

Somo la Sitini

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi cha leo cha kujifunza lugha ya Kifarsi. Somo letu la leo ni la sitini ni furaha yetu kuwa umejiunga nasi. Leo tutajifunza …
Jumatano, 09 Septemba 2009 21:26

Somo la Khamsini na Tisa

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki cha kujifunza lugha ya Kifarsi. Somo letu la leo ni la 59. Iwapo unakumbuka katika somo letu lililopita la Mohamad alikuwa …
Jumatano, 09 Septemba 2009 21:25

Somo la Khamsini na Nane

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki cha kujifunza lugha ya Kifarsi. Ni matumaini yangu kuw autakuwa nasi hadi mwisho wa somo letu la leo ambalo ni la …
Jumatano, 09 Septemba 2009 21:22

Somo la Khamsini na Sita

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji waipendayo lugha tamu ya Kifarsi, nif furaha yetu kuwa umejiuna nasi katika somo letu la leo ambalo ni la 56. Leo Mohammad anataka kuenda mtaa wa …
Jumatano, 09 Septemba 2009 21:20

Somo la Khamsini na Tano

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki cha Jifunze Kifarsi. Ni furaha yetu kuwa umejiunga nasi katika somo letu la leo ambalo ni la 55 katika mfululizo huu. …
Jumatano, 09 Septemba 2009 21:13

Somo la Khamsini na Nne

Sikiliza Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki cha kujifunza lugha ya Kifaris . Somo letu la leo ni la 54. Katika kipindi chetu cha Leo, Mohammad watatembelea shamba …
Jumatano, 09 Septemba 2009 21:09

Somo la Khamsini na Tatu

Sikiliza Hamjambo wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki ukipendacho cha kujifunza lugha ya Kifarsi. Ni matumaini yangu kuwa umekuwa ukifuatilia vipindi hivi. Katika Somo letu la leo la 53 tutajiunga …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …