Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumanne, 15 Mei 2012 12:43

Somo la Sabini na Mbili

Sikiliza
Hamjamboni wapenzi wasikilizaji hasa waipendayo lugha ya Kifarsi. Ni furaha yetu kuwa mmejiunga nasi katika kipindi hiki cha kujifunza lugha ya Kifarsi. Somo letu la leo ni la 72. Ni alhamisi baada ya adhuhuri. Kwa kawaida, usiku wa kuamkia Ijumaa wairani hawakai nyumbani. Baadhi huenda misikitini kuhudhuria hafla za kidini na katika mazingira hayo ya kimaanawi husoma Quran Tukufu na kumuomba Mwenyezi Mungu haja zao. Wengine nao huenda na jamaa na marafiki kwenye mabustani au vitongoji vya miji. Mjini Tehran kuna mabustani mengi. Baadhi ya familia hutayarisha chakula cha jioni katika mabustani. Wengine huenda kula chakula cha jioni katika nyumba za jamaa na marafiki. Kwa ujumla Alhamisi usiku huwa usikuwa wenye harakati mbali mbali kote Iran. Said ambaye anasema darasa moja na Mohammad amereijea kutoka Shiraz. Romin na Hamid na na marafiki zao kadhaa wamepanga kuenda kumtembelea Said Alhamisi usiku. Hamid anapendekeza kuwa Mohammad aandamane nao. Anampigia simu ili amfahamishe. Jiunge nasi tujue watazungmza nini. Lakini kwanza sikiliza kwa makini misamiatia itakayotumika katika somo letu la leo.

Hallo---Karibu بفرماییدMimi nina zungmza----mimi ninataka kuzungmza---chuma----417---subiri گوشی ( ibara hii hutumika katika mazungmzo ya simu pekee)--- muda--- لحظه muda mfupi--- خدمتز - chukua ( گوشی چند لحظه خدمتتان )------ vipi hali yako? Wewe hali yako vipi? ----wewe ni? ---- hali yangu nzuri---- si mbaya---- kuna habari gani?----leo usiku----sisi tunaenda-----sisi tunaenda----sisi tunataka kuenda----(Kikao cha usiku) kukesha شب نشینی---- nyumba----wewe utakuja---nyingine (hapa inatumika kusisitiza)---ugenini--- kawaida----baada ya---- chakula cha jioni au dhifa--- marafiki----wao wanakuja---kutakuwa na furahaخوش می گذرد ---- mwaliko----mini sina---si lazima----mimi nimepiga simu----sisi tutakuja----mimi nimesema----watu kadhaa kutoka---saa ngapi?-wewe utaenda----nyinyi mtaenda----karibu au takriban----9---kesho---likizo----sisi tupo----sisi tunaweza kuwepo----kweli----wiki---kabla----yeye alirejea----ndio----mwezi----kabla au iliyopita----kutoka mwezi moja uliopita----sisi hatukuona----sisi tunaenda----wewe waja----mimi sina----kazi----muhimu----shati----mimi nitapiga pasi----mimi lazima nipige pasi----hadi----mimi nitakuwa tayari----mimi ninakusubiri---barabar----mwanzaoni mwa barabara---bila shaka----kwaheri.

Mwendeshaji: Hamid anapiga simu katika bweni la chuo kikuu cha Tehran. Simu inapokelewa kwana na opareta na baada ya hapo anazugmza na Mohammad. Sikiliza kwa makini.

Opareta: Hallo. Karibu.
Hamid: Hallo. Hujambo. Nataka kuzungmza na Bw. Mohammad. Chumba 714.
Opareta: Sijambo. Subiri kidogo. سلام . گوشی چند لحظه خدمتتان .
(baada ya muda mfupi) Mohammad: Hallo. Karibu.
Hamid: Hujambo Mohammad. Vipi hali yako?
Mohammad: Sijambo Hamid---ni wewe? Vipi hali yako?
Hamid: Hali yangu si mbaya.
Mohammad: Kuna habari gani?
Hamid: Leo usiku ninataka kuenda kikao cha usiku katika nyumba ya Said. Wewe pia waja?
Mohammad: Kikao hiki cha usiku ni nini?
Hamid: Kikao cha usiku ni kuwa tunaenda ugeni wa kawaida baada ya chakula cha jioni. Marafiki wengine pia watakuja. Kutakuwa na furaha.
Mohammad: Lakini mimi sina mwaliko.
Hamid: Kukesha si lazima uwe na mwaliko.
Mohammad: Utaenda saa ngapi.
Hamid: Karibu saa tatu kesho pia itakuwa likizo. Tunaweza kuwa pamoja masaa kadhaa.
Mohammad: Kweli, Wiki iliyopita Said alikuwa Shiraz. Amerejea kutoka Shiraz?
Hamid: Ndio. Kwa vile tokea mwezi moja uliopita sijamuona Said, tunaoenda nyumbani kwao. Utakuja?
Mohammad: SIna kazi Muhimu. Lakin ni piga pasi shati langu. Hadi saa tatu nitakuwa tayari.
Hamid: Vizuri. Basi mimi na Romin tutakusubiri mwanzoni mwa barabara saa tatu.
Mohammad: Sawa, bila shaka. Kwaheri.
Hamid: Kwaheri.
@@@
Sikiliza tena mazungmzao hayo lakini bila tafsiri ya Kiswahili.
@@@..
Mohammad anakata simu na kurejea chumbani kwake, Ana muda wa kuteshoa wa masaa matano kujitayarisha na kusoma. Wairani wana uamaduni mzuri wa kutembeleana na kuwakirimu wageni. Ni matumaini yangu kuwa utapata fursa ya kuja hapa Iran na kushuhudia kwa karibu ukarimu huo. Unaweza kusikiliza vipindi vyetu vyakifarsi kupitia ukurasa wetu wa intaneti wenye anuani ifuatayo: http://kiswahili.irib.ir

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …