Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumapili, 15 Disemba 2013 21:37

Bustani ya Uongofu (40)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Ni wasaa na wakati mwingine wa kujiunga nami katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Bustani ya Uongofu. Kipindi chetu cha leo ambacho ni sehemu ya …
Jumapili, 08 Disemba 2013 20:26

Bustani ya Uongofu (39)

Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Bustani ya Uongofu. Katika sehemu hii ya 39 tutaendelea kuzungumzia suala la umoja na …
Jumanne, 03 Disemba 2013 14:21

Bustani ya Uongofu (38)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi chetu hiki cha Bustani ya Uongofu. Wiki hii kama nilivyokuahidi juma lililopita, tutaendelea kuzungumzia maudhui ya umoja na mshikamano …
Jumapili, 24 Novemba 2013 11:05

Bustani ya Uongofu (37)

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Bustani ya Uongofu; kipindi ambacho hutupia jicho na kujadili mitazamo ya Bwana Mtume saw na Ahlul Bayt wake …
Jumapili, 17 Novemba 2013 14:14

Bustani ya Uongofu (36)

Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Bustani ya Uongofu. Katika sehemu hii ya 36 ya mfululizo huu tutaendelea na maudhui …
Jumatatu, 04 Novemba 2013 08:28

Bustani ya Uongofu (35)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi kingine cha Bustani ya Uongofu, kipindi ambacho kama tulivyotangulia kusema katika vipindi vyetu vilivyopita, lengo lake ni kujadili mitazamo ya Mtume saw …
Jumatatu, 28 Oktoba 2013 13:36

Bustani ya Uongofu (34)

Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Bustani ya Uongofu hii ikiwa ni sehemu ya 34 ya mfululizo huu, ambapo tutaendelea …
Jumatatu, 21 Oktoba 2013 17:31

Bustani ya Uongofu (33)

Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya mfululizo wa kipindi hiki cha Bustani ya Uongofu, kipindi  ambacho lengo lake ni kujaribu kutupia jicho mitazamo …
Jumapili, 29 Septemba 2013 16:02

Bustani ya Uongofu (32)

Ni wasaa na wakati mwingine mpenzi msikilizaji wa kujiunga nami katika kipindi hiki cha Bustani ya Uongofu kinachokujia kupitia idhaa  Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Ni …
Jumatano, 25 Septemba 2013 13:36

Bustani ya Uongofu (31)

Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya mfululizo wa kipindi hiki cha Bustani ya Uongofu. Sehemu hii ya 31 ya kipindi hiki itaendelea kuzungumzia …
Jumatano, 18 Septemba 2013 19:46

Bustani ya Uongofu (30)

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabakaatuh. Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya mfululizo huu wa Bustani ya Uongofu. Sehemu hii ya 30 ya kipindi hiki …
Jumatano, 11 Septemba 2013 15:06

Bustani ya Uongofu (29)

Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Bustani ya Uongofu ambacho hujadili na kuzungumzia mitazamo ya Mtume SAW na Ahlul Bayt …
Jumatano, 11 Septemba 2013 15:05

Bustani ya Uongofu (28)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya mfululizo wa kipindi hiki cha Bustani ya Uongofu. Kipindi chetu cha juma hili ambacho ni sehemu ya 28 ya mfululizo …
Jumatano, 11 Septemba 2013 15:04

Bustani ya Uongofu (27)

Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya mfululizo wa kipindi hiki cha Bustani ya Uongofu ambacho kama kawaida hutupia jicho mitazamo ya Mtume SAW na Ahlul Bayt …
Jumatano, 11 Septemba 2013 15:03

Bustani ya Uongofu (26)

Assalaamu alaykumu wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nami tena katika kipindi hiki cha Bustani ya Uongofu ambacho tulikisimamisha kwa muda wa mwezi mmoja ili kupisha vipindi maalumu vya mwezi Mtukufu …
Jumamosi, 06 Julai 2013 11:16

Bustani ya Uongofu (25)

Bismillahir Rahmanir Rahim Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Bustani ya Uongofu ambacho hukujieni saa na wakati kama huu kutoka hapa mjini Tehran, …
Jumanne, 18 Juni 2013 16:20

Bustani ya Uongofu (24)

Bismilalahir Rahmanir Rahim Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale yanapokufikieni matangazo haya ya Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Wapenzi wasikilizaji bila …
Alkhamisi, 13 Juni 2013 16:14

Bustani ya Uongofu (23)

Bismilalahir Rahmanir Rahim Ni matumaini yangu kuwa, hujambo mpenzi msikilizaji popote pale yanapokufikia matangazo haya ya Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hususan huko nyumbani …
Alkhamisi, 13 Juni 2013 11:33

Bustani ya Uongofu (22)

Bismillahir Rahmanir Rahim Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kujiunga nami tena  katika sehemu nyingine ya mfululizo wa kipindi hiki cha Bustani ya Uongofu. Kipindi chetu cha leo  ambacho …
Alkhamisi, 06 Juni 2013 10:50

Bustani ya Uongofu (21)

Bismillahir Rahmanir Rahim Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami tena  katika sehemu nyingine ya mfululizo wa kipindi hiki cha Bustani ya Uongofu. Kipindi chetu cha …
Page 2 of 3