Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Afya
Jumatano, 17 Aprili 2013 15:58

Maadhimisho ya Siku ya Afya Duniani + Sauti

Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni kujumuika nami katika kipindi cha Ijuwe Afya Yako. Wiki hii tutaangazia yaliyojiri katika maadhimisho ya Siku ya Afya Duniani, maadhimisho ambayo hufanyika duniani kote …
Jumanne, 16 Aprili 2013 16:20

Tafiti mpya mbalimbali za Afya

Assalam Aleykum wasikilizaji wapenzi ni matumaini yangu kuwa mu salama salimini na karibuni kujiunga nami katika kipindi kingine cha 'Ijue Afya Yako.' Katika kipindi chetu cha leo tutatupia jicho baadhi …
Jumatano, 10 Aprili 2013 18:08

Athari za sigara katika ugonjwa wa kisukari

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi kingine cha Ijuwe Afya Yako. Kama tulivyoahidi wiki iliyopita  pamoja na mambo mengine leo tatazungumzia jinsi sigara, pombe, vyakula …
Jumatano, 27 Machi 2013 16:02

Ugonjwa wa Kisukari (2)

Ahlan Wasahlan wasikilizaji wapenzi na maashiki wa kipindi cha Ijue Afya Yako. Ni matumaini yangu kuwa nyote hamjambo na karibuni katika kipindi kingine ambapo leo pia tutaendelea kuzungumzia ugonjwa wa …
Jumamosi, 23 Machi 2013 09:55

Ugonjwa wa Kisukari (1)

Ni matumaini yangu kuwa mu bukheri wa afya wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nasi katika kipindi kingine cha Ijuwe Afya Yako. Wiki iliyopita tulimaliza kuzungumzia magonjwa ya moyo na wiki …
Jumatatu, 18 Machi 2013 16:36

Maambukizo katika kuta za ndani ya moyo

Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na ni matumaini yangu kuwa mu salama salmini popote pale mnapotegea sikio mtangazo ya Redio Tehran na karibuni katika kipindi kingine cha 'Ijue Afya Yako'. Katika …
Jumatatu, 11 Machi 2013 14:05

Tundu katika kuta za chini za moyo

Ahlan Wasahlan wasikilizaji wapenzi na karibuni katika kipindi kingine cha 'Ijue Afya Yako'. Kipindi ambacho lengo lake ni kujadili masuala mbalimbali yanayohusu afya na tiba ili kupata ufahamu zaidi juu …
Jumatatu, 04 Machi 2013 14:31

Matatizo ya Moyo ya Kuzaliwa

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena kujumuika nasi katika kipindi kingine cha Ijue Afya yako. Leo tutazungumia baadhi ya matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo yaani …
Jumanne, 19 Februari 2013 15:48

Namna ya kutibu mshituko wa moyo

Ahlan wa sahlan wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili na maashiki wa kipindi cha Ijue Afya Yako. Ni wakati mwingine umewadia wa kujumuika nanyi tena katika kipindi hiki kinachozungumzia masuala …
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi kingine cha 'Ijuwe Afya Yako.' Katika kipindi chetu cha leo tutajadili mshituko wa moyo, ambao ni miongoni …
Jumatano, 30 Januari 2013 20:47

Kifua Kikuu TB (2)

Ahlan Wasahlan wasikilizaji wapenzi na karibuni katika kipindi kingine cha 'Ijue Afya Yako'. Kipindi ambacho lengo lake ni kujadili masuala mbalimbali yanayohusu afya na tiba ili kupata ufahamu zaidi juu …
Jumamosi, 19 Januari 2013 10:43

Kifua Kikuu TB (1) + Sauti

Ahlan Wasahlan wasikilizaji wapenzi na maashiki wa kipindi cha Ijue Afya Yako. Ni matumaini yangu kuwa nyote hamjambo na karibuni katika kipindi kingine ambapo kama tulivyoahidi huko nyuma, kwenye kipindi …
Jumamosi, 12 Januari 2013 11:01

Uhusiano wa Vyakula na Afya Zetu

Ahlan wasahlan wapenzi wasikilizaji ni matumaini yangu kuwa hamjambo na karibuni kujiunga nami katika kipindi kingine cha Ijue Afya Yako. Kipindi ambacho lengo lake kuu ni kujadili masuala mbalimbali yatakayotupa …
Jumamosi, 05 Januari 2013 10:44

Mambo yanayoathiri afya zetu

Ahlan Wasahlan wasikilizaji wapenzi ni matumaini yangu kuwa hamjambo na hivi sasa mpo kando ya redio zenu mkisubiri kwa hamu kipindi cha "Ijue Afya Yako". Kipindi ambacho lengo lake kuu …
Jumatano, 19 Disemba 2012 15:18

Afya ni nini? + Sauti

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na ni matumaini yangu kuwa hamjambo popote pale mlipo. Karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki kipya cha "Ijue Afya Yako", kipindi ambacho kitakuwa kikijadili magonjwa na …
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nami katika kipindi hiki maalumu kwa mnasaba wa siku ya kimataifa isiyokuwa na sigara. Ni matarajio yangu kuwa mtaendelea kuwa kando ya redio zenu …
Jumamosi, 07 Juni 2008 15:08

Athari za Vita kwa Watoto

Karibuni wapenzi wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Juma hili tutatupia jicho athari za vita kwa watoto. Tutaanglia kiujumla namna watoto wanavyoathirika kimwili na kiakili …
Jumamosi, 07 Juni 2008 15:06

Upungufu wa Damu (ANAEMIA)

Hii ni sehemu nyingine ya mfululizo wa makala za Ijue Afya Yako. Juma hili nitazungumzia Anaemia au upungufu wa damu ambao umekuwa tatizo kwa jamiii mbalimbali ulimwenguni, khususan katika nchi …
Jumamosi, 07 Juni 2008 14:58

UKIMWI

Karibuni katika sehemu hii nyingine ya mfululizo wa makala za Ijue Afya Yako ambapo hapa tutajadili kwa ufupi kuhusu ugonjwa angamizi wa UKIMWI. Kama mnavyojua hadi hii leo haujapata tiba …
Assalaamu Alaykum. Juma hili nimekutayarishieni makala maalumu ambayo itazungumzia athari za kiafya za madawa ya kulevya kwa mwili wa mwanadamu sambamba na maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kupambana na …
Page 5 of 6

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …