Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Afya
Jumapili, 06 Oktoba 2013 19:57

Ugonjwa wa Zinaa wa Chlamydia

Ni matumaini yangu kuwa, u-bukheiri wa afya mpenzi msikilizaji na uko tayari kutegea sikio sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Ijuwe Afya Yako. Leo katika sehemu hii ya pili ya …
Jumapili, 08 Septemba 2013 07:46

Kirusi hatari chaua watu 2 Saudi Arabia

Wanawake wawili wameaga dunia nchini Saudi Arabia baada ya kuambukizwa kirusi hatari kijulikanacho kwa jina la Middle East Respiratory Syndrome Coronavirus (MERS-CoV). Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya Saudi Arabia …
Jumapili, 18 Agosti 2013 07:59

Polio yaenea Somalia, kesi 105 zaripotiwa

Somalia imekumbwa na maambukuzi makubwa ya a ungonjwa wa kupooza, polio, ambapo nchi hiyo imeripotiwa kuwa na kesi nyingi zaidi za ugonjwa huo kuliko maeneo mengine ya dunia. Imearifiwa kuwa …
Jumamosi, 10 Agosti 2013 09:52

Chanjo ya malaria yapatikana

Wanasayansi nchini Marekani wamesema kuwa wamegundua aina ya chanjo ambayo mtu akipatiwa hataugua tena ugonjwa huo wa malaria maisha yake yote. Ugunduzi huo ambao tayari umefanyiwa majaribio kwa watu kadhaa …
Alkhamisi, 08 Agosti 2013 16:03

WHO yahimiza unyonyeshaji watoto duniani

Shirika la Afya Duniani, WHO, limetoa taarifa na kusema maziwa ya mama ndicho chanzo bora zaidi cha lishe kwa watoto wachanga. Taarifa hiyo imetolewa kwa mnasaba wa Agosti Mosi hadi …
Jumatano, 31 Julai 2013 14:38

Ugonjwa wa zinaa wa Kaswende (Syphilis)

Ahlan Wasahlan wasikilizaji wapenzi na karibuni katika kipindi kingine cha 'Ijue Afya Yako'. Kipindi ambacho lengo lake ni kujadili masuala mbalimbali yanayohusu afya na tiba ili kupata ufahamu zaidi juu …
Jumatano, 31 Julai 2013 14:36

Ugonjwa wa zinaa wa Chlamydia

Ni matumaini yangu kuwa, u-bukheiri wa afya mpenzi msikilizaji na uko tayari kutegea sikio sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Ijuwe Afya Yako. Leo katika sehemu hii ya pili ya …
Shirika la Afya Duniani (WHO) limezitaka serikali duniani kuvipa uzito mkubwa virusi aina tano ambavyo vinasabisha tatizo la Hepatitis au homa ya manjano na baadaye kuathiri maini. Inaelezwa kwamba, kiasi …
Jumatatu, 22 Julai 2013 18:37

Saumu na Siha (3)

Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi wa kipindi cha Ijue Afya Yako,  na ni matumaini yangu kuwa hamjambo. Bado tuko katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani na kipindi cha afya pia kinaendelea kuwaleteeni …
Jumanne, 16 Julai 2013 15:26

Saumu na Siha (2)

Ni matumaini yangu hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika mfululizo mwingine wa swaumu na siha. Wiki iliyopita tulizungumzia juu ya faida za swaumu kiafya na katika kipindi chetu cha leo …
Jumanne, 16 Julai 2013 15:20

Saumu na Siha (1)

Assalam aleykum wasikilizaji wapenzi wa kipindi cha Ijue Afya Yako, kipindi ambacho huzungumia masuala tofauti yanayohusu siha ya mwili wa binadamu pamoja na mazingira yanayomzunguka, lengo likiwa ni kuimarisha afya …
Jumatano, 19 Juni 2013 12:05

Matibabu ya Ugonjwa wa Kisonono + Sauti

Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni tena kujumuika nami katikakipindi cha Ijue Afya Yako.Kama mnakumbuka wiki iliyopita tulianza kuzungumzia magonjwa ya zinaa yaani sexually transmitted diseases (STD) na tulianza kuzungumzia ugonjwa …
Ahlan wa Sahlan wapenzi wasikilizaji na ni wasaa na wakati mwingine wa kuwa nanyi tena katikakipindi cha Ijue Afya Yako.Baada ya kumaliza kuzungumzia uzito wa kupindukia na namna ya kupunguza …
Assalam Aleykum wasikilizaji wapenzi na karibuni tena kujiunga nami katika kipindi hiki cha Ijue Afya yako. Kipindi ambacho huzungumzia masuala mbalimbali yanayohusu siha kwa lengo la kutoa ufahamu ili jamii …
Alkhamisi, 06 Juni 2013 11:12

Jinsi ya Kupunguza Uzito (2)

Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi wa kipindi cha afya. Nina wingi wa matumaini kuwa mu bukheri wa afya mkiitegea sikio Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. …
Alkhamisi, 30 Mei 2013 11:56

Jinsi ya Kupunguza Uzito (1)

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni katika kipindi kingine cha Ijue Afya Yako. Kama mnakumbuka katika vipindi viwili vilivyopita tulizungumzia unene wa kupindukia na pia katika kipindi …
Alkhamisi, 30 Mei 2013 11:12

Tatizo la Unene wa Kupindukia (2)

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachozungumzia masuala ya afya. Bila shaka mnakumbuka kuwa, wiki iliyopita tulianza kuzungumzia tatizo la unene …
Jumatatu, 27 Mei 2013 14:26

Tatizo la Unene wa Kupindukia (Obesity)

Assalam aleykum wasikilizaji wapenzi na ni matumaini yangu kuwa hamjambo na karibuni kujiunga nami katika kipindi cha Ijuwe Afya Yako. Hii leo tutazungumzia tatizo la unene uliopitiliza au obesity. Kwanza …
Jumatatu, 06 Mei 2013 14:21

Tafiti Mbalimbali za Afya + Sauti

Ahlan wa Sahlan wapenzi wasikilizaji, ni wakati mwingine wa kujumuika nami katika kipindi cha Ijue Afya Yako, kipindi ambacho huzungumzia masuala mbalimbali  ya tiba na afya lengo likiwa ni kushajiisha …
Jumanne, 23 Aprili 2013 12:22

Shinikizo la Damu (Hypertension)

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wasikilizaji wapenzi, karibuni tena mjumuike nami katika kipindi cha Ijue Afya Yako. Juma hili tutazungumzia shinikizo la damu, ugonjwa ambao Shirika la Afya Dunia linasema …
Page 4 of 6

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …