Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Afya
Jumatatu, 28 Aprili 2014 15:05

Hepatitis A na C

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni katika kipindi cha Ijuwe Afya yako, ambacho lengo lake ni kujadili masuala mbalimbali yanayohusu afya na tiba ili kupata ufahamu zaidi …
Jumatatu, 28 Aprili 2014 15:02

Tiba na Chanjo ya Homa ya Ini

Ahlan wasahlan wasikilizaji wapenzi na karibuni kuungana nami katika kipindi kingine cha Ijue Afya Yako. Wiki iliyopita tulianza kuzungumzia ugonjwa wa homa ya ini au Hepatitis B ambapo tulieleza maambukizo …
Jumatano, 12 Machi 2014 15:22

Homa ya Ini au Hepatitis B

Assalam aleykum Ahlan Wasahlan wasikilizaji wapenzi na karibuni katika kipindi kingine cha 'Ijue Afya Yako'. Kipindi ambacho lengo lake ni kujadili masuala mbalimbali yanayohusu afya na tiba ili kupata ufahamu …
Jumapili, 09 Machi 2014 19:51

Maji na faida zake katika mwili

Assalamu Aleykum wasikilizaji wapenzi na karibuni tena kujiunga nami katika kipindi hiki cha Ijue Afya yako. Kipindi ambacho huzungumzia masuala mbalimbali yanayohusu siha kwa lengo la kuielisha jamii na watu …
Jumatano, 26 Februari 2014 13:59

Tafiti na chunguzi mbalimbali za Tiba na Afya

Assalam Aleykum wasikilizaji wapenzi na karibuni kutegea sikio kipindi cha Ijuwe Afya Yako. Wiki hii tutaangazia tafiti na taarifa tofauti zinazohusiana na afya na tiba zilizotangazwa hivi karibuni na tutaanza …
Jumatano, 12 Februari 2014 15:10

Faida na Madhara ya Chumvi

Ahlan wa sahlan wasikilizaji wapenzi na karibuni kujumuika nami katika kipindi hiki cha Ijuwe Afya Yako ambapo juma hili kitazungumzia faida na madhara ya chumvi. Tangu enzi na enzi, chumvi …
Jumatatu, 27 Januari 2014 14:17

Saratani ya tezi dume au Prostate Cancer

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji, karibuni katika kipindi kingine cha Ijue Afya Yako. Kama tulivyoahidi wiki hii tutazungumzia ugonjwa wa kansa ya tezi tume au Prostate Cancer kwa …
Jumatatu, 13 Januari 2014 12:47

Namna ya kujipima kensa ya matiti

Ni matumaini hamjambo wasikilizaji wapenzi, na karibuni tena katika wasaa mwingine wa kutegea sikio kipindi cha Ijuwe Afya Yako. Kama nilivyoahidi wiki iliyopita, tutaendelea kuzungumzia ugonjwa wa saratani ya matiti …
Jumamosi, 28 Disemba 2013 12:49

Komamanga huzuia kusambaa Kansa ya Matiti

Assalam Aleykum wasikilizaji wapenzi. Ni matumaini yangu kuwa mu salama salimini na karibuni kujiunga nami katika kipindi kingine cha 'Ijue Afya Yako.' Katika kipindi chetu cha leo tutatupia jicho baadhi …
Jumatano, 18 Disemba 2013 15:42

Tafiti mbalimbali za Afya na Tiba

Assalam Aleykum wasikilizaji wapenzi na karibu tena kutegea sikio kipindi cha afya, kipindi ambacho huzungumzia masuala mbalimbali ya tiba na afya na leo tutatupia jicho tafiti mbalimbali katika uwanja huo, …
Jumatano, 18 Disemba 2013 15:15

Tiba ya saratani ya matiti

Ahlan Wasahlan wasikilizaji wapenzi na karibuni katika kipindi kingine cha Ijuwe Afya Yako. Kipindi mbacho hujadili masuala mbalimbali yanayohusu afya na tiba yakiwemo magonjwa, lengo kuu likiwa ni kuimarisha afya …
Jumatano, 18 Disemba 2013 15:01

Satarani ya Matiti (Breast Cancer)

Assalam Aleykum wasikilizaji wapenzi wa kipindi cha Ijue Afya Yako na karibuni katika wasaa mwingine wa kujumuika nanyi katika kipindi hiki. Wiki iliyopita tulianza kuzungumzia ugonjwa wa saratani kwa ujumla …
Jumatano, 18 Disemba 2013 14:49

Kansa au saratani

Assalam aleykum wasikilizaji wapenzi, ni wakati mwingine wa kujumuika nanyi katika kipindi cha Ijue Afya Yako. Kwa muda sasa tumekuwa tukijadili magonjwa ya zinaa na ingawa hatujamaliza kuzungumzia magonjwa hayo …
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na mko tayari kando ya redio zenu ili kufuatilia sehemu nyingine ya mfululizo wa makala za kipindi cha Ijue Afya Yako. Leo nitazungumzia …
Ni matumaini yangu kuwa mu bukheri wa afya wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi kingine cha Ijuwe Afya Yako. Wiki hii tutaeleza hatua ya nne ya dalili za …
Ijumaa, 06 Disemba 2013 18:21

Hatua za Ugonjwa wa UKIMWI

Assalam Alaykum wasikilizaji wapenzi wa kipindi cha Ijue Afya Yako na karibuni tena katika kipindi chetu hiki, ambapo leo katika mwendelezo wa kuzungumzia magonjwa ya zinaa tutajadili ugonjwa wa Ukimwi …
Ijumaa, 06 Disemba 2013 18:17

Ugonjwa wa zinaa wa Trichomoniasis

Assalam Aleykum wasikilizaji wapenzi wa kipindi cha Ijue Afya Yako na karibuni tena katika dakika hizi chache zilizotengewa kipindi hiki. Leo pia tutaendelea kuyajadili magonjwa ya zinaa ambapo tutazungumzia ugonjwa …
Ijumaa, 06 Disemba 2013 18:14

Madhara ya Kaswende katika ubongo

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na hiki ni kipindi kingine cha Ijue Afya Yako. Wiki hii pamoja na mambo mengine tutazungumzia madhara ya kaswende katika mfumo wa fahamu, …
Jumanne, 03 Disemba 2013 15:34

Ugonjwa wa Kaswende (2)

Assalam aleykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi kingine cha Ijuwe Afya Yako. Wiki iliyopita tulianza kuzungumzia ugonjwa wa kaswende ambapo tulielezea visababishi, dalili na aina za ugonjwa …
Jumatatu, 28 Oktoba 2013 13:53

Ugonjwa wa zinaa wa Kaswende (Syphilis)

Ahlan Wasahlan wasikilizaji wapenzi na karibuni katika kipindi kingine cha 'Ijue Afya Yako'. Kipindi ambacho lengo lake ni kujadili masuala mbalimbali yanayohusu afya na tiba ili kupata ufahamu zaidi juu …
Page 3 of 6

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …