Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Afya
Shirika la Afya duniani WHO limesema mlipuko wa ugonjwa wa Ebola utaendelea kwa kipindi kadhaa huku likitanabaisha kuwa mlipuko huo wa sasa ni mkubwa kuliko ilivyodhaniwa hapo awali. Taarifa hiyo …
Jumamosi, 16 Agosti 2014 13:24

Food Poisoning (Kudhuriwa na chakula)

Ahlan Wasahlan wasikilizaji wapenzi na karibuni katika kipindi kingine cha Ijue Afya Yako. Kipindi ambacho lengo lake ni kujadili masuala mbalimbali yanayohusu afya na tiba ili kupata ufahamu zaidi juu …
Ijumaa, 15 Agosti 2014 12:19

WHO: Ebola haienei kwa safari za ndege

Shirika la afya duniani, WHO limesema ni uwezekano mdogo sana wa maambukizi ya kirusi cha Ebola pindi mtu anaposafiri kwa ndege au kupokea wasafiri wanaotoka nchi zenye maambukizi ya ugonjwa …
Jumatano, 13 Agosti 2014 21:11

UN yachukua hatua kudhibiti Ebola

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amemteua Dkt. David Nabarro kama mratibu mwandamizi wa Umoja wa Mataifa kuhusu ugonjwa wa Ebola. Ban amesema Dkt. Nabarro atawajibika kuhakikisha mfumo …
Jopo la wataalamu wa maadili ya utabibu ambalo linaendelea na mkutano wake mjini Geneva, limefikia uamuzi kuwa, matibabu ya majaribio ambayo madhara yake bado hayajulikani, yanaweza kutumiwa ili kunusuru maisha …
Jumapili, 10 Agosti 2014 09:36

WHO: Ebola inahatarisha afya ya umma duniani

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa kuna udharura wa kukabiliana na ugonjwa wa Ebola duniani wakati huu ambapo umeshasababisha vifo vya watu zaidi ya 900 huko Afrika Magharibi huku …
Assalam Aleykum wasikilizaji wapenzi na karibuni katika mfululizo unaozungumzia swaumu na siha ambapo leo tutazungumzia namna ya kuzuia kiu wakati wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani. &&&&&& Maji huunda karibu asilimia …
Jumapili, 13 Julai 2014 21:26

Athari ya Funga Katika Kutibu Maradhi

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi cha Ijuwe Afya Yako. Tunaendelea na mfululizo wa Swaumu na Siha ambao tumewaandalieni katika mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani. …
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na ni matumaini yetu kuwa mnaendelea vyema na mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani ambao licha ya kuwa na faida za kiroho pia una faida kwa …
Jumatano, 25 Juni 2014 12:25

Tafiti na habari tofauti za tiba na afya

Ni matumaini yangu kuwa mu bukheri wa afya wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi chenu hiki kinachojadili masuala mbalimbali yanayohusu siha. Kama mjuavyo hii ni wiki yetu ya mwisho kulekea …
Jumatatu, 16 Juni 2014 14:14

Sigara na Madhara yake

Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni kutegea sikio kipindi kingine cha Ijue Afya Yako. Leo tutazungumzia madhara ya kuvuta sigara, tabia ambayo imezoeleka na watu wengi ingawa ina madhara mengi. …
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi chetu ambapo leo tutazungumzia faida za baadhi ya vyakula kwa afya na siha ya mwanadamu. Kama mnavyojua kula ni …
Ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani (WHO) imeeleza kuwa, watu wasiopungua 208 wamefariki dunia kutokana na ugonjwa wa kuambukiza wa Ebola nchini Guinea Conakry. WHO aidha imesema, watu 328 …
Shirika la Afya Duniani WHO limetoa wito wa kuongezwa ushuru tumbaku ili kupunguza uvutaji sigara ambao umebainika kusababisha  vifo ya vya watu milioni sita kila mwaka. Katika taarifa kwa mnasaba …
Jumanne, 27 Mei 2014 19:39

Ugonjwa wa Ebola waibuka Sierra Leone

Shirika la Afya Duniani, WHO limesema kuwa limefahamishwa kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Sierra Leone. WHO imesema habari za awali zimebaini kisa kimoja cha kirusi hatari cha Ebola …
Jumapili, 25 Mei 2014 20:21

Maradhi ya fizi na meno

Ni matumaini yangu mu wazima wa afya wapenzi wasikilizaji, na karibuni kujumuika nami katika makala nyingine ya Ijue Afya Yako. Wiki iliyopita tulizungumzia usafi wa kinywa, umuhimu wake na pia …
Jumanne, 20 Mei 2014 16:28

Usafi na Kinywa na utunzaji wa meno

Assalamu aleykum wasikiliziaji wapenzi na karibuni katika kipindi kingine cha Ijuwe Afya yako. Kipindi ambacho hujadili masuala mbalimbali yanayohusu afya na tiba kwa lengo la kupata maarifa ya kuzitunza vyema …
Jumatano, 14 Mei 2014 12:14

Homa ya Dengue

Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na ni wakati mwingine umewadia wa kuwa nanyi katika dakika hizi chache za kujadili masuala mbalimbali ya afya. Katika siku za hivi karibuni ripoti zinaeleza kuwa …
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji. Katika kipindi chetu cha leo tutaendelea kujadili faida za baadhi ya vyakula na tutaeleza faida za fenesi, parachichi na asali. Tafadhali usiondeoke kando …
Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nami tena katika sehemu nyingine ya kipindi chetu cha Ijue Afya Yako. Leo tutazungumzia umuhimu wa ndizi, mtindi na machungwa kwa miili yetu. …
Page 2 of 6

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …