Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Afya
Jumamosi, 07 Juni 2008 14:55

Usafi na Utunzaji wa Meno ya Watoto

Karibuni katika sehemu hii nyingine ya mfululizo wa makala za Ijue Afya Yako, ambapo leo nitazungumzia usafi na utunzaji wa meno ya watoto. Ninakaribisha maoni yenu kuhusu makala hizi. E-mail …
Jumamosi, 07 Juni 2008 14:54

Malaria

Hii ni sehemu nyingine ya mfululizo wa makala za Ijue Afya Yako mfululizo ambao huchunguza masuala mbalimbali ya afya ya jamii. Leo tutazungumzia ugonjwa wa Malaria ambao umekuwa tishio kubwa …
Jumamosi, 07 Juni 2008 14:50

Kipindupindu (Waba)

Hamjambo wapenzi wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran popote pale mlipo. Leo tutazungumzia ingawa kwa muhtasari, ugonjwa mwingine unaozikumbwa jamii mbalimbali. Karibuni. *************************Makala yenye manufaa …
Jumamosi, 07 Juni 2008 14:49

Kifua Kikuu

Karibuni wapenzi wa mfululizo wa makala hizi za Ijue Afya yako. Leo tumepata fursa ya kuzungumzia ugonjwa wa kifua kikuu, ambacho maambukizo yake yanaongezeka kwa kasi kubwa ulimwenguni, khususan katika …
Jumamosi, 07 Juni 2008 14:47

Sumu Ndani ya Vyakula - Food Poisoning

Ni matumaini yangu kuwa mu buheri wa afya. Hii ni sehemu nyingine ya makala Ijue Afya Yako, ambapo nitazungumzia kuhusu sumu inayopatikana ndani ya vyakula au kwa kimombo food poisoning, …
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo na mko tayari kufuatili sehemu nyingine ya mfululizo wa makala za Ijue Afya Yako. Leo nitazungumzia kuhusu dawa za kurefusha maisha ya waathirika wa ukimwi …
Jumatatu, 21 Aprili 2008 22:27

Utangulizi 2

Katika sehemu iliyopita ya makala hii ya "Ijue Afya Yako" tulieleza kuwa historia haina taarifa za kutosha kuhusu kaumu na watu waliokuwa wa kwanza kabisa kutibu na kuponya magonjwa. Ukweli …
Jumatatu, 21 Aprili 2008 22:25

Utangulizi 1

Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema Mwenye kurehemuKaribuni wapenzi wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Tumeona ni faida kubwa kwa wote kuweza kuwa na …
Jumatatu, 21 Aprili 2008 22:24

KICHOCHO (BILHARZIA)

Karibuni katika makala nyingine kwenye mfululizo wa makala zenye manufaa tele za Ijue Afya Yako. Leo tutazungumzia Kichocho au kwa jina jingine Bilharzia.***Kichocho ni ugonjwa unaosababishwa na minyoo ambayo humpata …
Page 6 of 6

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …