Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Afya
Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, mwili wako unahitaji virutubishi ili kusaidia ukuaji wa mwili, kama …
Jumatano, 04 Machi 2015 12:29

Afya Maambukizo katika njia ya Mkojo (UTI)

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi chenu chenye faida tele cha Ijue Afya Yako. Leo tutazungumzia tatizo la maambukizi katika njia ya mkojo Urinary Tract …
Jumanne, 17 Februari 2015 12:48

Aleji au mzio unaosababishwa na dawa

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi kingine cha Ijue Afya yako. Wiki iliyopita tulianza kuzungumzia tatizo la aleji au mzio, mada ambayo leo pia tutaendelea …
Jumatatu, 19 Januari 2015 15:25

Tatizo la mzio au allergy

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi kingine cha Ijue Afya Yako. Leo tutatungumzia tatizo la mzio au alegi. Ili kufahamu tatizo hilo na kujua jinsi …
Jumanne, 06 Januari 2015 14:03

Homa ya Mapafu Kwa watoto (Pneumonia)

Ni wakati mwingine umewadia wapenzi wasikilizaji wa kutegea sikio kipindi cha Ijue Afya Yako. Wiki hii tunaendelea kuzungumzia magonjwa ya watoto wadogo na leo tutajadili ugonjwa wa homa ya mapafu …
Jumapili, 04 Januari 2015 21:31

Ugonjwa sugu wa figo (Chronic Kidney Disease)

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikiliza, na katika kipindi chetu cha leo tunaendelea kujadili magonjwa ya figo na leo tutazungumzia ugonjwa sugu wa figo au chronic kidney disease kwa …
Jumapili, 04 Januari 2015 21:29

Matibabu ya ugonjwa wa figo

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi chenu hiki cha Ijue Afya Yako. Wiki iliyopita tulieleza kwa urefu kuhusu ugonjwa wa figo na kufafanua jinsi mtu …
Assalam aleykum wasikilizaji wapenzi na karibuni katika kipindi kingine cha Ijue Afya Yako. Kipindi ambacho hujadili na kuzungumzia masuala mbalimbali yanayohusu afya na tiba yakiwemo magonjwa na namna ya kujikinga …
Jumatano, 17 Disemba 2014 15:01

Jinsi ya Kujikinga na Madhara ya Jua

Assalam Aleykum wasikilizaji wapenzi na karibuni katika kipindi kingine cha Ijuwe Afya Yako. Wiki hii kama tulivyoahidi katika kipindi chetu kilichopita tutazungumzia jinsi ya kujikinga na madhara ya jua na …
Jumatatu, 15 Disemba 2014 14:41

Mapunye na athari kwa ngozi yako

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi kingine cha Ijue Afya Yako. Katika kuhitimisha kujadili maradhi ya ngozi leo tunaangalia maradhi ya fangasi ya mapunye yanayoshambulia …
Alkhamisi, 11 Disemba 2014 10:55

Ugonjwa wa Polio

Ni matumaini yangu mu wazima wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi kingine cha Ijuwe Afya Yako. Katika muendelezo wa kujadili magonjwa ya watoto leo tunazungumzia ugonjwa wa polio ambao hujulikana …
Jumatano, 03 Disemba 2014 16:17

Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Ukimwi

Assalam aleykum wapenzi wasikilizaji popoto pale mlipo. Tarehe Mosi Disemba ni Siku ya Kimataifa ya Ukimwi ambayo huadhimishwa duniani kote ili mbali na kuwaunga mkono wanaoishi na virusi vya HIV, …
Jumatano, 03 Disemba 2014 10:12

Saratani ya Ngozi (Melanoma)

Ahlan wa Sahlan wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi kingine cha Ijuwe Afya Yako. Kama mnakumbuka wiki iliyopita tulianza kujadili magonjwa yanayoshambulia ngozi ambapo tulizungumzia juu ya ugonjwa wa mba …
Jumatano, 12 Novemba 2014 15:53

Vijue vyakula vinavyoimarisha afya ya ngozi

Ni matumiani yangu kuwa mu wazima wapenzi wasikilizaji na ni wakati mwingine umewadia kutegea sikio kipindi chenye faida tele cha Ijue Afya Yako. Leo pamoja na mambo mengine tutazungumzia vyakula …
Tarik Jasarevic Msemaji wa Shirika la Afya Duniani WHO amesema kuwa, ukosefu wa suhula za tiba na hospitali ni miongoni mwa sababu zinazochangia  kuongezeka maradufu waathirika wa homa ya Ebola …
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi kingine cha Ijue Afya Yako. Tutakiendeleza kipindi chetu kwa kuzungumzia matatizo na magonjwa ya wanawake hasa ugonjwa wa saratani. …
Assalam aleykum wasikilizaji wapenzi na karibuni katika kipndi kingine cha Ijue Afya yako. Wiki hii tutazungumzia uvimbe katika mayai ya mwanamke au kwa maneno mengine ovarian cyst, ikiwa ni katika …
Jumatatu, 29 Septemba 2014 15:42

Uvimbe katika mfuko wa uzazi (Fibroid)

Assalam Aleykum wasikilizaji wapenzi na karibu kujiunga nami katika kipindi kingine cha Ijue Afya Yako. Leo tutaendelea kujadili magonjwa yanayowasumbua wanawake ambapo tutazungumzia uvimbe katika mfuko wa kizazi au Fibroid. …
Jumatano, 24 Septemba 2014 19:00

Wahanga wa Ebola huenda wakafikia milioni 1.4

Shirika moja kubwa la afya la Marekani limetoa ripoti likitabiri kwamba, watu wapatao milioni 1.4 huenda wakakumbwa na virusi vya Ebola ifikapo mwezi Januari mwakani kama hatua za haraka hazitachukuliwa …
Jumanne, 19 Agosti 2014 09:33

WHO: Wasafiri wachunguzwe homa ya Ebola

Shirika la Afya Duniani (WHO) limezitaka nchi za magharibi mwa Afrika zilizoathiriwa na ugonjwa wa Ebola kuwachunguza wasafiri wote katika viwanja vya ndege vya kimataifa, bandari na vivuko vikubwa vya …
Page 1 of 6

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …