Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatano, 14 Oktoba 2015 22:01

Iran yaonyesha moja ya kambi zake za makombora zilizoko mita 500 chini ya ardhi + Video

Iran yaonyesha moja ya kambi zake za makombora zilizoko mita 500 chini ya ardhi + Video

Brigedia Jenerali Amir Ali Hajizadeh, Kamanda wa kikosi cha anga za juu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kambi za makombora za jeshi hilo zilizoko umbali wa mita 500 chini ya ardhi ziko tayari wakati wote kwa ajili ya kukabiliana na vitisho vya maadui.
Amesema hayo leo wakati alipohojiwa na shirika la habari la IRIB na kuongeza kuwa, makombora ya masafa tofauti ya jeshi hilo yako tayari katika kambi zote kwa ajili ya kufyatuliwa, na yanasubiri amri tu ya Amirijeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

 

Picha zaidi zinapatikana hapa

 

Kwa habari kamili ingia hapa

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)