Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH limewatia mbaroni wanajeshi 10 wa Marekani baada ya wanajeshi hao kuingia katika maji ya Iran katika Ghuba ya Uajemi. Serikali …
Sehemu ya barua ya Kiongozi Muadhamu kwa vijana wa Magharibi (Video) Part 5
Sehemu ya barua ya Kiongozi Muadhamu kwa vijana wa Magharibi (Video) Part 4
Sehemu ya barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi (Video) Part 3
Sehemu ya Barua ya Kiongozi Muadhamu kwa vijana wa Magharibi (Video) Part 2
Sehemu ya barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi (Video) Part 1
Brigedia Jenerali Amir Ali Hajizadeh, Kamanda wa kikosi cha anga za juu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kambi za makombora za jeshi hilo zilizoko umbali …
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nguvu na uwezo wa vikosi vya ulinzi vya jeshi la Iran si tu kwa ajili ya nchi hii bali pia …
Meli za kigeni ikiwemo manuwari ya kivita ya Marekani zimelazimika kuondoka kwenye eneo la manuva ya kijeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yanayojulikana kwa jina la Muhammad Rasulullah SAW …
Video hii hapa chini inamuonesha ndege akitumia mbinu ya ajabu kuvua samaki. Hilo halitokani na chochote isipokuwa uwezo Mkubwa wa Allah aliyemuumba ndege huyu.  ******* Kwa hakika ametukuka Mwenyezi Mungu …
Jumatatu, 24 Novemba 2014 14:06

Ajali mbaya ya treni nchini Kazakhstan + Video

Hawakukosea waliosema, ajali haina kinga. Lori moja ambalo dereva wake anaonekana alishindwa kulisimamisha kutokana na barabara kuteleza wakati wa theluji kali, limepata ajali mbaya ya kugongwa na treni nchini Kazakhstan.Katika …
Iran imezindua ndege yake isiyo na robani (drone) inayoshabihiana na ile ya Marekani iliyolazimishwa kutua Iran miaka mitatu iliyopita ambayo wataalamu Wairani wamefanikiwa kutengeneza bora zaidi yake. ‘Drone’ hiyo ya …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Bi Amina Mohammad ambaye yuko katika ziara ya kikazi hapa mjini Tehran amezungumza na Idhaa ya Kiswahili, Radio Tehran kuhusu malengo ya safari …
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesambaza mkanda wa video unaoonesha namna wanamapambano wa Izzuddin al Qassam, tawi la kijeshi la harakati hiyo lilivyoendesha operesheni zake kaskazini mwa …
Kanali ya Pili ya televisheni ya utawala wa Kizayuni wa Israel imeutaka utawala huo ufanye uchunguzi kuhusu vipi wanamapambano wa Kiislamu wa Palestina wamefanikiwa kufanya operesheni ya aina yake iliyoangamiza …
Wanaharakati wa ukombozi wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina wamesambaza mkanda wa video katika mitandao ya kijamii ambao ndani yake anaonekana  mama wa Kipalestina akionyesha radiamali (reaction) yake baada …
Makamanda wa mstari wa mbele wa Saraya al Quds, tawi la kijeshi la harakati ya Jihadul Islami ya Palestina wamesambaza mkanda wa video ambao ndani yake wanaishukuru Jamhuri ya Kiislamu …
Brigedi ya Izzuddin Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesambaza mkanda wa video unaoonyesha namna kombora la wanamapambano hao lilivyopiga moja kwa moja …
Ingia chini ya habari hii kuona video inayomuonesha kijana wa Kitunisia ambaye hivi karibuni amerejea nchini Tunisia  akitokea Syria ambako alikuwa akipambana bega kwa bega na makundi ya kigaidi nchini …