Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uislamu
Hamjambo wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi vinavyoangazia macho chimbuko la makundi yenye kuwakufurisha Waislamu wengine …
Jumatatu, 09 Novemba 2015 10:31

Hadithi ya Uongofu (21)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu cha juma hili ambacho ni sehemu ya 21 ya …
Jumatatu, 09 Novemba 2015 10:26

Hadithi ya Uongofu (20)

Ni wasaa na wakati mwingine mpenzi msikilizaji unapokutana nami katika kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu, kipindi ambacho hujadili maudhui mbalimbali na kukunukulieni hadithi za Bwana Mtume SAW na Ahlul …
Filamu ya Muhammad Rasulullah" ambayo ndiyo kubwa zaidi iliyowahi kutengenezwa katika ulimwengu wa Kiislamu ilionyeshwa jana kwa mara ya kwanza nchini Lebanon.Filamu hiyo ya Muhammad, Mtume wa Mwenyezi Mungu ambayo …
Alkhamisi, 05 Novemba 2015 12:48

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain 107

Assalaama Aleikum wapenzi wasikiliza na karibuni kusikiliza yale tuliyokuandalieni kwenye kipindi hiki cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambacho kinakujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu …
Alkhamisi, 05 Novemba 2015 12:47

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain 106

Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu ya 106 ya kipindi hiki cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambacho kinakujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya …
Alkhamisi, 05 Novemba 2015 12:47

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain 105

Assalam Aleikum wapenzi wasikilizaji. Karibuni tena kusikiliza sehemu nyingine ya mfululizo wa vipindi vya Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambapo leo tuko katika sehemu ya 105 ya mfulululizo huu. …
Alkhamisi, 05 Novemba 2015 12:46

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain 104

Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi kingine cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambacho kinakujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutoka …
Alkhamisi, 05 Novemba 2015 12:45

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain 103

Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka hapa mjini Tehran. Katika kipindi hiki tutaendelea kujadili swali tulilouliza katika vipindi viwili …
Alkhamisi, 05 Novemba 2015 12:45

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain 102

Assalaama Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Kama mnavyokumbuka katika kipindi cha wiki iliyopita tulijadili swali kuhusiana na …
Alkhamisi, 05 Novemba 2015 12:42

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain 101

Assalaam Aleikum wasikilizaji wapenzi na karibuni kusikiliza sehemu ya 100 ya kipindi hiki cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambacho kinakujieni moja kwa moja kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti …
Alkhamisi, 05 Novemba 2015 12:30

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain 100

Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu ya 100 ya kipindi hiki mkipendacho cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambacho kinakujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri …
Alkhamisi, 05 Novemba 2015 11:31

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain 99

Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza lipindi kingine cha maswali yetu na Majibu ya Thaqalain kinachokujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Swali la …
Alkhamisi, 05 Novemba 2015 11:29

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain 98

Assalaama Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Karibuni kusikiliza kipindi kingine cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain …
Alkhamisi, 05 Novemba 2015 11:28

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain 97

Assalaam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatuh wasikilizaji wapenzi wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka hapa mjini Tehran. Katika sehemu hii ya 97 ya kipindi cha …
Alkhamisi, 05 Novemba 2015 11:17

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain 96

Assalaam aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu nyingine ya kpindi hiki cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain kinachokujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya …
As-Salamu Alaykumu wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi vinavyoangazia macho chimbuko la makundi yenye kuwakufurisha Waislamu …
Hamjambo Wapenzi wsikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi vinavyoangazia macho chimbuko la makundi yenye kuwakufurisha Waislamu wengine na kutekeleza jinai na mauaji ya kutisha dhidi yao hii leo …
Alkhamisi, 22 Oktoba 2015 12:25

Hadithi ya Uongofu (17)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu cha juma hili kitazungumzia na kubainisha adabu za kusoma Qur'ani Tukufu kwa …
Jumanne, 20 Oktoba 2015 12:21

Hadithi ya Uongofu (16)

Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale yanapokufikieni matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Tumekutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …