Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uislamu
Sheikh al Azhar wa Chuo Kikuu cha kidini cha al Azhar cha Misri amesema kuwa, Bwana Mtume Muhammad SAW ni mlinganiaji mkuu wa umoja na mshikamano baina ya Waislamu Duniani.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha pamoja Madhehebu za Kiislamu amesisitiza udharura wa kuwepo umoja na mshikamano kati ya Waislamu.
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika makala hii maalumu tuliyokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Nabii Issa bin Maryam AS. Tunatoa mkono wa baraka na …
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Qur'ani Tukufu na Sunna ni nguzo mbili muhimu za Umoja wa Kiislamu duniani.
Jumatano, 23 Disemba 2015 10:57

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (111)

Assaalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu nyingine ya vipindi hivi vya Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambavyo hukujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu …
Tuko katika siku tukufu za kuadhimisha Maulid ya Mtume Mtukufu wa Uislamu Mohammad al Mustafa SAW. Waislamu wa madhehebu ya Sunni wanaadhimisha siku hiyo tarehe 12 Rabiul Awwal na Waislamu …
Jumapili, 20 Disemba 2015 10:21

Hadithi ya Uongofu (27)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu cha leo ambacho ni sehemu ya 27 kitajadili maudhui ya mtihani na …
Jumanne, 15 Disemba 2015 10:48

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (110)

Assalaamu Alayikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu ya 110 katika mfululizo huu wa vipindi vya Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambavyo kama mnavyojua hujadili na kujibu maswali mbalimbali …
Jumanne, 15 Disemba 2015 10:18

Hadithi ya Uongofu (26)

Ni wasaa na wakati mwingine wapenzi wasikilizaji wa kuwa nanyi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu, kipindi ambacho hujadili na kuzungumzia masuala mbalimbali na kunukuu baadhi …
Assalaam Alaykum. Tuko katika siku ya mwisho ya mwezi wa Safar, siku ambayo ni kumbukumbu  ya kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Ali bin Mussa Ridha (as) mmoja kati ya …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Mwezi 28 Mfunguo Tano Safar, inasadifiana na siku ya kukumbuka alipofariki dunia Bwana Mtume Muhammad SAW. Siku kama ya leo mwaka wa 11 Hijria, Mtume wa Mwisho …
Jumanne, 08 Disemba 2015 13:33

Hadithi ya Uongofu (25)

Ni wasaa na wakati mwingine wa kuwa nanyi wapenzi wasikilizaji katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu cha juma hili ambacho ni sehemu ya 25 …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Mwezi 28 Mfunguo Tano Safar mwaka wa 50 Hijiria aliuawa shahidi mjukuu wa Bwana Mtume Muhammad SAW na mwana wa Bibi Fatimatuz Zahra …
Jumamosi, 28 Novemba 2015 20:31

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (109)

Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Ni matumaini yetu kwamba hamjambo na mko tayari kabisa kusikiliza sehemu …
Jumamosi, 28 Novemba 2015 20:29

Hadithi ya Uongofu (24)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran popote pale yanapokufikieni matangazo haya hasa huko nyumbani Afrika Mashariki. Ni wakati mwingine wa …
Hamjambo Wapenzi wsikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi vinavyoangazia macho chimbuko la makundi yenye kuwakufurisha Waislamu wengine na kutekeleza jinai na mauaji ya kutisha dhidi yao hii leo …
Jumapili, 22 Novemba 2015 21:46

Hadithi ya Uongofu (23)

Ni matumaini yangu kuwa ubukheiri wa afya mpenzi msikilizaji na karibu kutegea sikio sehemu nyingine ya mfululizo huu wa Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu cha juma hili ambacho ni sehemu …
Jumamosi, 21 Novemba 2015 17:35

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (108)

Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu ya 108 katika mfululizo wa vipindi vya Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambavyo hukujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri …
Jumamosi, 21 Novemba 2015 17:11

Hadithi ya Uongofu (22)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Sehemu ya 22 ya kipindi chetu juma hili itazungumzia dua, kuomba dua na mja …
Hamjambo wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi vinavyoangazia macho chimbuko la makundi yenye kuwakufurisha Waislamu wengine …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …