Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uislamu
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nami katika makala yetu ya leo ambayo inawajieni kwa mnasaba wa kuadhimisha siku ya kuzaliwa Imam Hassan Askari AS. Ni matumaini yangu kuwa mtakuwa …
Jumatatu, 18 Januari 2016 14:00

Hadithi ya Uongofu (29)

Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi hiki kama tulivyotangulia kusema hapo kabla, hujadili maudhui mbalimbali na kunukuu …
Jumatatu, 11 Januari 2016 22:09

Hadithi ya Uongofu (28)

Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi kingine cha Hadithi ya Uongofu, kipindi ambacho hujadili maudhui mbalimbali na kunukuu hadithi zinazohusiana na maudhui hizo. Kipindi chetu …
Hamjambo Wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyoangazia macho chimbuko la makundi yanayowakufurisha Waislamu na kutekeleza jinai na mauaji ya kutisha dhidi yao hii leo ikiwa …
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika mfululizo wa vipindi hivi ambavyo vinaangazia macho chimbuko na kiini cha makundi ya kitakfiri duniani hii leo ikiwa ni sehemu …
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wsikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi vinavyoangazia macho chimbuko la makundi yenye kuwakufurisha Waislamu wengine na kutekeleza jinai na mauaji ya kutisha …
Hamjambo Wapenzi wsikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi vinavyoangazia macho chimbuko la makundi yenye kuwakufurisha Waislamu wengine na kutekeleza jinai na mauaji ya kutisha dhidi yao hii leo …
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika mfululizo wa vipindi ambavyo vinaangazia macho chimbuko na kiini cha makundi ya kitakfiri duniani hii leo ikiwa ni sehemu ya 14 ya makala hizi. …
Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Warakatuh. Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa Maulidi na kukumbuka tukio la kuzaliwa Mbora wa Walimwengu, Muhammad Mwaminifu …
Uislamu umeufanya umoja kuwa jambo la wajibu na lazima miongoni mwa Waislamu na waumini na dini nyinginezo za mbinguni zinazomwamini Mwenyezi Mungu Mmoja. Uzito wa jambo hili unaonekana wazi katika …
Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Siku ya Ijumaa ya mwezi 17 Mfunguo Sita (Rabiul-Awwal) mwaka 83 Hijria, sawa na mwaka 702 Miladia, alizaliwa mja mbarikiwa, Imam Jaafar As-Sadiq (AS); shakhsia mkubwa …
Mkutano wa 29 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu unaendelea hapa mjini Tehran katika siku yake ya pili leo ukishirikisha wanazuoni, wanafikra na wasomi kutoka nchi 70 duniani. Mkutano huo …
Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Karibuni kuwa nami katika mfululizo mwengine wa vipindi hivi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa Wiki ya Umoja ya kuadhimisha Maulidi, yaani kuzaliwa kwa Nabii wa rehma …
Tumo katika Wiki ya Umoja ambacho ni kipindi cha kati ya tarehe 12 na 17 za Mfunguo Sita Rabiu Awwal kinachosadifiana na kuadhimisha Maulidi na kumbukumbu ya kuzaliwa Bwana Mtume …
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Waislamu wanaweza kujenga "Umma Mmoja wa Kiislamu" kwa kuwa na umoja na mshikamano.
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia udharura wa kuweko umoja na mshikamano katika ulimwengu wa Kiislamu na kusema kuwa, kuendelea vita katika nchi za Syria na …
Jumapili, 27 Disemba 2015 11:18

Rouhani afungua mkutano wa Umoja wa Kiislamu

Duru ya 29 ya mkutano wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu imeanza leo hapa mjini Tehran kwa hotuba ya Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Jumapili, 27 Disemba 2015 06:52

Rais kufungua Mkutano wa Umoja wa Kiislamu leo

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran asubuhi hii anatazamiwa kutoa hotuba katika ufunguzi wa mkutano wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu unaofanyika hapa mjini Tehran.
Wiki ya Umoja wa Kiislamu ambayo huadhimishwa kati ya tarehe 12 na 17 Mfunguo Sita ama Rabiul Awwal  ilianza Alkhamisi iliyopita kwa maadhimisho ya Maulidi ya Mbora wa Viumbe Mtume …
Jumamosi, 26 Disemba 2015 14:03

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (112)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi kingine cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain kinachokujieni moja kwa moja kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …