Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uislamu
Jumatatu, 15 Disemba 2014 14:52

Uislamu na Mtindo wa Maisha (47)

Ni wasaa mwingine wa kuwa nami tena katika sehemu nyingine ya makala ya Uislamu na Mtindo wa Maisha. Kipindi chetu cha leo kitazungumzia jinsi wazazi wanavyopaswa kuamiliana na watoto wao. …
Jumamosi, 13 Disemba 2014 10:08

Uislamu Chaguo Langu (95)

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii inayowaangazia watu ambao baada ya utafiti wa kina na wa wazi huamua kufuata njia ya haki na iliyojaa nuru katika …
Jumamosi, 13 Disemba 2014 08:55

Arubaini ya Imam Hussein AS 1436 Hijria

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Takribani miaka 1375 iliyopita, ilifanyika majlisi ya kwanza ya siku ya Arubaini tangu kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) Imam Hussein bin …
Jumatano, 10 Disemba 2014 11:46

Maswali Yetu na majibu ya Thaqalain (69)

Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu ya 69 ya kipindi hiki cha Maswali yetu na Majibu ya Thaqalain ambacho kinakujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya …
Jumanne, 09 Disemba 2014 15:39

Maua mawili ya Mtume wa Allah (20) + Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao huu wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu …
Jumatatu, 08 Disemba 2014 15:20

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (68)

Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi kingine cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambacho hukujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutoka …
Jumatatu, 08 Disemba 2014 15:14

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (67)

Assalaama Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi cha juma hili cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain. Swali la kipindi cha juma hili ni, je, kuna udharura wowote wa …
Jumatatu, 08 Disemba 2014 15:11

Uislamu na Mtindo wa Maisha (46)

Hamjambo wafuatiliaji wa makala hii ya Uislamu na Mtindo wa Maisha. Wiki hii kipindi chetu kitazungumzia umuhimu wa kuheshimu ahadi na mapatano katika uhusiano wa kifamilia. >> Kutekeleza ahadi kuna …
Jumanne, 02 Disemba 2014 15:53

Maua mawili ya Mtume wa Allah (19) + Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao huu wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu …
Jumatatu, 01 Disemba 2014 15:02

Uislamu na Mtindo wa Maisha (45)

Hamjambo wafuatiliaji wa makala hii na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya mfululizo wa kipindi hiki cha Uislamu na Mtindo wa Maisha. Kipindi chetu cha leo kitazungumzia udharura …
Jumatano, 26 Novemba 2014 12:55

Maua mawili ya Mtume wa Allah (18) + Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao huu wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu …
Jumatatu, 24 Novemba 2014 17:06

Uislamu na Mtindo wa Maisha (44)

Assalamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki cha Uislamu na Mtindo wa Maisha. Karibuni katika sehemu nyingine ya mfululizo wa kipindi hiki kinachowajia mara moja kwa wiki. Kipindi chetu cha leo …
Ijumaa, 21 Novemba 2014 19:03

Maua mawili ya Mtume wa Allah (17) + Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao huu wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu …
Ijumaa, 21 Novemba 2014 18:57

Uislamu Chaguo Langu (94)

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki ambacho huangazia watu ambao waliamua kufuata njia iliyojaa nuru katika maisha ya dunia na kesho akhera yaani Uislamu baada ya …
Jumatano, 19 Novemba 2014 11:58

Uislamu na Mtindo wa Maisha (43)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya makala ya Uislamu na Mtindo wa Maisha. Bado tunazungumzia sifa za familia yenye mlingano katika …
Jumatatu, 10 Novemba 2014 16:24

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (66)

Asaalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Kipindi kilicho hewani kama kawaida ya siku na wakati kama huu ni kipindi cha Maswali …
Jumatatu, 10 Novemba 2014 16:22

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (65)

Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu ya 65 ya kipindi hiki cha Maswali yetu na Majibu ya Thaqalain. Kama kawaida ya kipindi hiki tutatumia aya na hadithi tukufu …
Jumatatu, 10 Novemba 2014 16:15

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (64)

Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi cha juma hili cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain. Kama ilivyo kawaida ya kipindi hiki, tutategemea nguzo na minara miwili ya …
Jumatatu, 10 Novemba 2014 15:08

Uislamu na Mtindo wa Maisha (42)

Kama bado mnakumbuka katika vipindi kadhaa vilivyopita tumezungumzia sifa za familia yenye mlingano katika mtindo wa maisha wa Kiislamu. Kipindi chetu cha leo kitaendelea kujadili suala hilo hususan misingi inayotawala …
Jumamosi, 08 Novemba 2014 11:08

Uislamu Chaguo Langu (93)

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii inayoangazia watu ambao baada ya kufanya utafiti wa kina huamua kufuata njia ya haki na iliyojaa nuru katika maisha ya …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …