Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uislamu
Ilikuwa miaka mingi ambapo watu walikuwa wakiishi katika taasubi, itikadi batili na khurafa.  Kwa amri yake Mwenyezi Mungu SWT, katika usiku usiosahaulika, rahma zake zilishuka Hijaz na ulimwengu ukashuhudia kuzaliwa …
Tarehe 17 Rabiul-Awwal mwaka 83 Hijiria, sawa na mwaka 702 Miladia, ulimwengu ulipambika kwa uzazi mtakatifu. Katika siku hiyo inayosadifiana na kuzaliwa Mtukufu Mtume Muhammad (saw), alizaliwa pia Imam Swadiq …
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji katika kipindi hiki maalumu kinachojadili mitazamo tofauti inayopindukia mipaka kuhusiana na mwanawake na pia mtazamo wa Kiislamu kuhusiana na kiungo hiki muhimu katika jamii ya mwanadamu. …
Hivi sasa tumo katika Wiki ya Umoja kati ya Waislamu ambayo ilitangazwa na hayati Imam Khomeini kutokana na hitilafu za mapokezi kuhusu siku aliyozaliwa Mtume Muhammad (saw). Wiki hiyo inaanzia …
Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi kingine maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuadhimisha Wiki ya Umoja. Katika kipindi chetu cha leo mbali na kubainisha umuhimu wa kujenga umoja …
Jumatatu, 05 Januari 2015 14:51

Uislamu na Mtindo wa Maisha (50)

Kama bado mnakumbuka katika kipindi kilichopita cha Uislamu na Mtindo wa Maisha tuliendelea kuzungumzia jinsi wazazi wawili wanavyopaswa kuamiliana na watoto wao. Hata hivyo suala lenye umuhimu mkubwa katika uwanja …
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki maalumu. Tumo katika masiku ya kukumbuka kuzaliwa mbora wa viumbe, Mtume Muhammad (saw) na kuanza Wiki ya Umoja. Sambamba na kutoa …
Jumamosi, 03 Januari 2015 11:48

Maua mawili ya Mtume wa Allah (22) + Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao huu wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu …
Jumamosi, 03 Januari 2015 09:52

Uislamu Chaguo Langu (98 - Mwisho)

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huwaangazia watu ambao baada ya kufanya utafiti wa kina huamua kufuata njia iliyojaa nuru maishani yaani Uislamu. Katika makala …
Jumatano, 31 Disemba 2014 11:44

Kuanza Uimamu wa Nuru ya Uadilifu

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni wapenzi wasikilizaji katika kipindi hiki maalumu ambacho ndani yake tutazungumzia siku alipochukua Uimamu, Imam wa Zama, Imam Mahdi AS.Hivi sasa tumo kwenye …
Jumatatu, 29 Disemba 2014 15:37

Uislamu na Mtindo wa Maisha (49)

Hamjambo wafuatiliaji wa kipindi hiki cha Uislamu na Mtindo wa Maisha. Kipindi chetu leo kitaendelea kuzungumzia jinsi wazazi wanavyopasa kuamiliana na watoto wao na kuwapa malezi sahihi. Ni matarajio yetu …
Jumamosi, 27 Disemba 2014 08:43

Uislamu Chaguo Langu (97)

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki ambacho huwaangazia watu ambao baada ya kufanya utafiti wa kina huamua kufuata njia iliyojaa nuru maishani yaani Uislamu. Katika makala …
Jumamosi, 27 Disemba 2014 08:41

Uislamu Chaguo Langu (96)

      Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huwaangazia watu ambao baada ya kufanya utafiti wa kina huamua kufuata njia ya haki maishani yaani …
Jumatano, 24 Disemba 2014 15:58

Isa AS, Mtume Mkubwa wa Mwenyezi Mungu

Karibuni wasikilizaji wapenzi katika kipindi hiki maalumu cha kuzungumzia kuzaliwa Nabii Isa AS.
Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji ni wakati mwingine tena wa kuwaleteeni kipindi hii maalumu ambacho kwa leo kitazungumzia maadhimisho ya kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Ali bin Mussa Ridha (as) …
Jumatano, 24 Disemba 2014 07:10

Uislamu na Mtindo wa Maisha(48)

Hamjambo na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya makala ya Uislamu na Mtindo wa Maisha. Makala yetu leo inaendelea kuzungumzia misingi ya jinsi ya kuamiliana na watoto kwa …
Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji. Tunatoa mkono wa pole kwa wapenzi na wafuasi wote wa Ahlul Beit wa Mtume Mtulkufu SAW kwa mnasaba huu mchungu wa kukumbuka kuuawa shahidi Imam wa …
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyoaga dunia na kurejea kwa Mola wake, mbora wa viumbe Mtukufu Mtume Muhammad …
Jumatano, 17 Disemba 2014 14:43

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (70)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikiliza wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na karibuni kusikiliza sehemu ya 70 ya kipindi hiki cha Maswali Yetu na majibu ya …
Jumanne, 16 Disemba 2014 15:35

Maua mawili ya Mtume wa Allah (21) + Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao huu wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …