Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uislamu
Tarehe 20 Jamadu Thani Hijiria imepambwa kwa uzawa wa Bibi Fatimat az-Zahra (sa) Binti ya Mtume Mtukufu (saw). Uzawa wa mtukufu huyo lilikuwa tukio muhimu lililotokea katika miaka ya ujumbe …
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuungana nami katika sehemu ya 28 ya makala ya chimbuko la utakfiri yanayozungumzia chanzo cha makundi yanayowakufurisha Waislamu wengine na kutenda …
Tarehe 29 Isfand mwaka 1329 Hijria Shamsia sawia na Machi 20 1950 ni moja ya siku zenye kukumbukwa katika historia ya mapambano ya taifa la Iran na madola ya kibeberu. …
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuungana nami tena katika sehemu ya 27 ya mfululizo wa makala hizi zinazozungumzia wimbi la makundi yanayowakufurisha Waislamu wengine na kutenda jinai za kutisha dhidi …
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki maalumu nilichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatima Zahra (a.s) binti mtukufu wa Bwana Mtume (s.a.w) …
Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuungana nami tena katika sehemu ya 26 ya mfululizo wa makala hizi zinazozungumzia wimbi la makundi yanayowakufurisha Waislamu wengine na kutenda …
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuungana nami tena katika sehemu ya 25 ya mfululizo wa makala hizi zinazozungumzia wimbi la makundi yanayowakufurisha Waislamu wengine na kutenda jinai za kutisha dhidi …
Ni yangu matumaini kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi cha 24 cha makala yanayozungumzia chanzo cha utakfiri katika ulimwengu wa Kiislamu. Katika kipindi kilichopita tuliangazia macho namna …
Jumanne, 23 Februari 2016 14:31

Hadithi ya Uongofu (33)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Katika vipindi vyetu kadhaa vilivyopita tulinukuu baadhi ya hadithi zinazohusiana na …
Jumatatu, 22 Februari 2016 13:01

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (114)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswaili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni moja kwa moja kutoka mjini Tehran. Tuna furaha kukutana tena katika sehemu hii ya …
Jumatano, 17 Februari 2016 14:27

Hadithi ya Uongofu (31)

Ni wasaa na wakati mwingine wapenzi wasikilizaji wa kuwa nanyi katika kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Katika kipindi chetu kilichopita nilikunukulieni baadhi ya hadithi zinazohusiana na kutatua shida za …
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi hiki kinachozungumzia chanzo cha makundi yanayowakufurisha Waislamu wengine na kutenda jinai za kutisha dhidi yao, hii leo ikiwa ni sehemu ya 23 ya …
Jumapili, 14 Februari 2016 11:38

Kumbukumbu ya Kuzaliwa Bibi Zaynab al Kubra AS

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki maalumu nilichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyozaliwa Bibi Zaynab al-Kubra (a.s) binti ya Imam Ali bin Abi Talib …
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi cha 22 cha makala yanayozungumzia chanzo cha utakfiri katika ulimwengu wa Kiislamu. Katika kipindi kilichopita tulizungumzia tofauti kubwa zilizopo baina ya Masalafi …
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi cha 21 cha makala ya yanayozungumzia chanzo cha utakfiri katika ulimwengu wa Kiislamu. Katika kipindi kilichopita tulizungumzia mirengo …
Jumatatu, 01 Februari 2016 15:28

Hadithi ya Uongofu (30)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kama mnakumbuka, kipindi chetu cha wiki iliyopita kilijadili na kuzungumzia suala la kutatua shida …
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyoangazia macho chimbuko la makundi yenye kuwakufurisha Waislamu wengine na kutekeleza jinai na mauaji ya …
Hamjambo Wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyoangazia macho chimbuko la makundi yenye kuwakufurisha Waislamu wengine na kutekeleza jinai na mauaji ya kutisha dhidi yao hii …
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyofariki dunia Bibi Fatima al Maasuma, Alayha Salam, mmoja wa wajukuu wa Mtume Mtukufu …
Jumanne, 19 Januari 2016 12:09

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (113)

Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu ya 113 ya kipindi hiki cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambacho kinakujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …