Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uislamu
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuzaliwa Imam Hussein (as), mjuu wa Bwana Mtume Muhammad (saw), karibuni. Tarehe Tatu mwezi Sha'ban mwaka …
Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika dakika hizi chache za kipindi hiki maalumu ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Hussein Zainul …
Jumamosi, 23 Mei 2015 20:32

Abul Fadhl Abbas AS, shujaa muungwana

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum. Tuko katika siku ya kukumbuka kuzaliwa Hadhrat Abul Fadhl Abbas AS na tunawakaribisha kusikiliza makala hii maalumu ambayo tumekutayarishieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya …
Jumatano, 20 Mei 2015 21:05

Uislamu na Mtindo wa Maisha (68)

Assalamu Alaykum Warahmatullahi Warakatuh. Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya kipindi cha Uislamu na Mtindo wa Maisha. Kipindi chetu cha wiki hii kitaendelea kutupia …
Jumapili, 17 Mei 2015 16:51

Hadithi ya Uongofu (4)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibu katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Sehemu iliyopita ya kipindi hiki ilijadili umuhimu wa kufanya dhikr na kumtaja Mwenyezi Mungu …
Katika siku za kukaribia tarehe 27 Rajab Mohammad SAW alikuwa akienda katika pango la Hiraa na katika baadhi ya nyakati alikuwa akikaa siku kadhaa katikaeneo hilo. Alikuwa akimfahamisha mke wake  …
Jumanne, 12 Mei 2015 13:34

Uislamu na Mtindo wa Maisha (67)

Ni wakati mwingine wa kuwaletea mfululizo wa kipindi cha Uislamu na Mtindo wa Maisha. Kipindi chetu wiki hii kitatupia jicho mafundisho ya Uislamu kuhusu adabu na taratibu za kuishi na …
Jumapili, 10 Mei 2015 15:06

Hadithi ya Uongofu (3)

Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu kilichopita kilijadili na kuzungumzia suala la kujitambua na jinsi …
Jumamosi, 09 Mei 2015 13:55

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (86)

Asalaama Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi kingine cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambacho kinakujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Kama …
Jumamosi, 09 Mei 2015 13:53

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (85)

Assalam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu ya 85 ya kipindi hiki cha Maswali Yetu na majibu ya Thaqalain kinachokujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu …
Jumapili, 03 Mei 2015 18:43

Hadithi ya Uongofu (2)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Katika sehemu ya kwanza ya kipindi hiki tulibainisha mambo jumla kuhusiana na hadithi, nafasi …
Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibu kuwa nami katika kipindi hiki maalumu ambacho kwa leo kitazungumzia nafasi ya haki za binadamu katika utawala wa Amirul Muuminiin Ali AS, kwa mnasaba …
Jumanne, 28 Aprili 2015 18:53

Uislamu na Mtindo wa Maisha (66)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni wasomaji na wafuatiliaji wa mtandao wa matangazo ya Idhaa ya Kiswahili redio Tehran na hii ikiwa ni sehemu nyingine ya kipindi cha …
Jumapili, 26 Aprili 2015 17:59

Hadithi ya Uongofu (1)

Assalaamu Alaykum Wapenzi Wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki kipya cha Hadithi ya Uongofu ambacho kimechukua nafasi ya makala ya Utawala wa Kizayuni, Mzaliwa wa ugaidi iliyomalizika juma lililopita. Katika …
Jumapili, 26 Aprili 2015 17:18

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao huu wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu …
Jumapili, 26 Aprili 2015 17:17

Maua mawili ya Mtume wa Allah (30) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao huu wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu …
Jumapili, 26 Aprili 2015 17:14

Maua mawili ya Mtume wa Allah (29) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao huu wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu …
Jumatatu, 20 Aprili 2015 16:04

Uislamu na Mtindo wa Maisha (65)

Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya kipindi cha Uislamu na Mtindo wa Maisha. Kipindi chetu cha wiki hii kitaendelea kujadili misingi ya mahusiano ya …
Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Wapenzi wasikilizaji, katika usiku kama wa leo anga kimya na tulivu ya mji wa Madina iliajabia nuru iliyoangaza kwenye nyumba ya Imam Sajjad (AS); nuru ambayo …
Jumatano, 15 Aprili 2015 17:12

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (84)

Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu nyingine ya kipindi kinachohusiana na masuala ya kiitikadi cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain kinachokujieni kutoka Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …