Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uislamu
Alkhamisi, 25 Juni 2015 13:10

Katika Msafara wa Ramadhani (1)

Mwenyezi Mungu Mtukufu amejaalia katika maisha ya wanadamu baadhi ya siku, miezi na nyakati zilizojaa baraka na hadhi kubwa. Katika siku na nyakati hizo upepo mwanana kama ule wa alfajiri, …
Jumatano, 24 Juni 2015 14:04

Kipindi maalumu cha Ramadhani

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Tukiendelea na mfululizo wa vipindi maalumu vya mwezi mtukufu wa Ramadhani kutoka Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, hapa …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Yafuatayo hapa chini ni mawaidha ya mwezi mtukufu wa Ramadhani yaliyotolewa na Imam wa Msikiti wa Jamia wa jijini Nairobi Kenya na kurushwa …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Tukiendelea na mfululizo wa vipindi maalumu vya mwezi mtukufu wa Ramadhani kutoka Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, hapa …
Ijumaa, 19 Juni 2015 13:50

Dua za Ramadhani

Mwenyezi Mungu anasema: Au nani Yule anayemjibu mwenye shida pale anapomwomba, na akaiondoa dhiki, na akakufanyeni warithi wa ardhi? Je! Yupo mungu pamoja na Mwenyezi Mungu? Ni machache mnayo yazingatia.
Ijumaa, 19 Juni 2015 13:25

Ramadhani, mwezi wa ibada na toba

Bismillahir Rahmanir Rahim Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuhu na karibuni kujiunga nami katika makala hii maalumu niliyokundalieni kwa mnasaba wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Tunamuomba Mwenyezi Mungu atutakabalie saumu na ibada …
Alkhamisi, 18 Juni 2015 12:02

Kuukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Bismillahir Rahmanir Rahim Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh.Wapenzi wasikilizaji karibuni kusikiliza kipindi hiki tulichowaandalieni kwa mnasaba wa kuwadia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.Kwa mara nyingine tena mbingu zimefunguka na Mwezi Mtukufu wa …
Jumatatu, 15 Juni 2015 10:50

Uislamu na Mtindo wa Maisha (73)

Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya kipindi cha Uislamu na Mtindo wa Maisha. Karibuni kuwa nasi tena katika kipindi cha wiki hii cha …
Ijumaa, 12 Juni 2015 11:35

Uislamu na Mtindo wa Maisha (72)

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya kipindi cha Uislamu na Mtindo wa Maisha ambacho leo kitajadili jinsi ya kuamiliana na watu wa aina mbalimbali …
Jumatano, 10 Juni 2015 18:37

Hadithi ya Uongofu (7)

Assalaamu Alaykum Wapenzi Wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu ambacho hukujieni saa na wakati kama huu kutoka hapa mjini Tehran, Idhaa ya Kiswahili …
Jumatano, 10 Juni 2015 10:32

Uislamu na Mtindo wa Maisha (71)

Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika sehemu ya 71 ya Uislamu na Mtindo wa Maisha. Katika vipindi kadhaa vilivyopita tulizungumzia namna ya kuamiliana na makundi mbalimbali ya watu …
Jumatatu, 08 Juni 2015 15:48

Uislamu na Mtindo wa Maisha (70)

Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya kipindi cha Uislamu na Mtindo wa Maisha ambacho leo kitaendelea kujadili umuhimu wa kufanya ihsani na wema katika …
Jumapili, 07 Juni 2015 13:54

Hadithi ya Uongofu (6)

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo Wapenzi Wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu kilichopita kilijadili na kuzungumzi suala la kutumia akili na …
Jumamosi, 06 Juni 2015 15:15

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (89)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu nyingine ya kipindi cha Mswali Yetu na Majibu ya Thaqalain kinachokujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Siku ya Alkhamisi ya tarehe 4 Juni inasadifiana na kumbukumbu za siku ya kufariki dunia Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu …
Jumatano, 03 Juni 2015 10:10

Uzawa wa Imam Mahdi (AF)

Tuko katika siku ya 15 ya mwezi mtukufu wa Shaaban ambayo ni siku ya kuzaliwa Mtukufu Imam wa Zama Imam Mahadi (-Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake-af). Katika alfajiri ya siku …
Jumatatu, 01 Juni 2015 14:07

Uislamu na Mtindo wa Maisha (69)

Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Hamjambo na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi cha Uislamu na Mtindo wa Maisha. Kipindi chetu leo kitazungumzia umuhimu wa kuwasaidia wanadamu wenzetu na udharura wa …
Jumapili, 31 Mei 2015 13:02

Hadithi ya Uongofu (5)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu kilichopita, kilizungumzia faida na athari za kumtaja na kumdhukuru Mwenyezi Mungu. Sehemu …
Assalaam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatu wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Kilichoko hewani ni kipindi cha itikadi ambacho hukujieni …
Alkhamisi, 28 Mei 2015 13:56

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (87)

Assalaam Aleikum wasikilizaji wapenzi wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Swali tutakalolijibu katika kipindi cha juma hili cha Maswali Yetu …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …