Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uislamu
As-Salamu Alaykumu wapenzi wasikilizaji na karibuni katika mfululizo wa vipindi ambavyo vinaangazia chimbuko na kiini cha makundi ya kitakfiri duniani hii leo ikiwa ni sehemu ya pili ya makala hazi. …
As-Salamu Alaykumu wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki kipya ambacho kitakuwa kikichunguza chimbuko la makundi ya kitakfiri duniani. Katika kipindi chote cha historia makundi ya kitakfiri na bila kuzingatia …
Tarehe 11 Mfunguo Pili Dhilqaada ni maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Musa ar-Ridha (as), mjukuu wa Mtume Mtukufu (saw). Huyu ni kiongozi ambaye kwa zaidi ya miaka …
Jumapili, 23 Agosti 2015 20:54

Hadithi ya Uongofu (12)

Ni wasaa na wakati mwingine mpenzi msikilizaji wa kujiunga nami katika kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Katika sehemu hii ya 12 ya kipindi chetu juma hili tutazungumzia adabu za …
Jumapili, 23 Agosti 2015 15:03

Uislamu na Mtindo wa Maisha-78

Makala yetu leo itafungua ukurasa mpya wa mtindo wa Maisha wa Kiislamu katika masuala ya uchumi. Karibuni.... Katika fikra na mafundisho ya Uislamu, itikadi na imani za watu huwa mwongozo …
Jumanne, 18 Agosti 2015 17:16

Hadithi ya Uongofu (11)

Ni matumaini yangu kuwa, hujambo mpenzi msikilizaji na karibu kutegea sikio sehemu nyingine ya mfululizo huu wa Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu kilichopita kilizungumzia umuhimu na ulazima wa elimu kuambatana …
Jumanne, 18 Agosti 2015 17:13

Hadithi ya Uongofu (10)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu cha juma hili ambacho ni sehemu ya 10 ya mfululizo huu kitazungumzia …
Jumanne, 18 Agosti 2015 17:01

Hadithi ya Uongofu (9)

Ni wasaa na wakati mwingine mpenzi msikilizaji wa kujiunga nami katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithji ya Uongofu. Kipindi chetu kilichopita kilijadili na kuzungumzia nafasi na daraja waliyonayo …
Jumanne, 18 Agosti 2015 16:55

Hadithi ya Uongofu (8)

Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu kilichopita kilizungumza suala la elimu na umuhimu wa kutafuta …
Jumamosi, 15 Agosti 2015 13:02

Uislamu na Mtindo wa Maisha-77

Katika makala kadhaa zilivyopita tulizungumzia jinsi Mwislamu anavyopaswa kuamiliana na mazingira katika mtindo wa maisha wa dini hiyo. Leo tutatupia jicho mwenendo wa mwanadamu na wanyama katika mtindo wa maisha …
Jumatano, 12 Agosti 2015 17:23

Katika Msiba wa Swadiqu Aali Muhammad (saw)

Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika makala hii maalimu inayokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka tukio chungu la kuuawa shahidi Imam Jafar Swadiq (as) ambaye ni mmoja kati ya Maimamu watoharifu …
Jumatano, 12 Agosti 2015 16:41

Mtindo wa Maisha wa Kiislamu-76

Kama bado mnakumbuka, katika nakala iliyopita tulizungumzia majukumu ya mwanadamu kuhusu suala la kulinda mazingira na tukasema kwamba, Mwislamu anayatambua mazingira kuwa ni amana ya Mwenyezi Mungu kwake ambayo anapaswa …
Alkhamisi, 06 Agosti 2015 13:37

Uislamu na Mtindo wa Maisha-75

Katika makala ya wiki iliyopita tulisema kuwa mwanadamu ana majukumu ya kufanya mkabala wa mazingira na maumbile ya dunia na kwamba matumizi ya neema hiyo kubwa yana sheria na kanuni …
Jumatano, 29 Julai 2015 13:44

Uislamu na Mtindo wa Maisha-74

Moja kati ya malengo ya dini tukufu ya Uislamu ni kumlea mwanadamu na kuimarisha itikadi yake ya kumwamini Mungu Mmoja. Suala hilo limepewa umuhimu mkubwa sana katika Uislamu na lilichukua …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hapa chini tumekuwekeeni mawaidha ya mwezi huu mtukufu wa Ramadhani yaliyotolewa na Sheikh Ahmad Abdallah Janga wa Muassat al mostafa al Khayriyyah, Tanga …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hapa chini tumekuwekeeni mawaidha ya mwezi huu mtukufu wa Ramadhani yaliyotolewa na Sheikh Ahmad Abdallah Janga wa Muassat al mostafa al Khayriyyah, Tanga …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Mwezi 15 Ramadhani ni siku inayosadifiana na maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Imam Hasan al Mujtaba, mjukuu mpenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW. …
Jumanne, 30 Juni 2015 22:30

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (90)

Assalaam aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka hapa mjini Tehran. Ni matumaini yetu kuwa mko tayari kabisa kusikiliza sehemu hii …
Jumanne, 30 Juni 2015 16:08

Fadhila za Saumu ya Ramadhani (2)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Yafuatayo hapa chini ni mawaidha ya mwezi mtukufu wa Ramadhani yaliyotolewa na al Ustadh Abdul-Latif Issa Swaleh wa Dar es Salaam, Tanzania. Mada …
Jumapili, 28 Juni 2015 13:35

Fadhila za Saumu ya Ramadhani (1)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Yafuatayo hapa chini ni mawaidha ya mwezi mtukufu wa Ramadhani yaliyotolewa na al Ustadh Abdul-Latif Issa Swaleh wa Dar es Salaam, Tanzania. Mada …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …