Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uislamu
As-Salamu Alaykumu wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi vinavyoangazia macho chimbuko la makundi yenye kuwakufurisha Waislamu …
Jumanne, 22 Septemba 2015 15:52

Dondoo za Hija (10)

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Leo tarehe 10 Dhulhija ni sikukuu ya Idul Adh'ha. Adil Adh'ha ni sikukuu ya kujikomboa mwanadamu na sikukuu ya imani na kumpenda haswa Mwenyezi Mungu SW. …
Jumanne, 22 Septemba 2015 15:51

Dondoo za Hija (9)

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Kandokando ya Al Kaaba kuna kijiduara kinachoitwa Hijr Ismail ambako ndipo lilipo kaburi la Hajar mkee wa Nabii Ibrahim al Khalil, Nabii Ismail na Mitume wengine …
Jumanne, 22 Septemba 2015 15:34

Maoni ya wanabaraza kuhusu Hija 1436

Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Hapa chini tumekuwekeeni kipindi maalumu tulichokuandalieni kwa ajili ya msimu mtukufu wa Hija wa mwaka huu wa 1436 Hijria. Ni kipindi kilichokusanya maoni tofauti kuhusiana na …
Jumanne, 22 Septemba 2015 15:22

Dondoo za Hija (8)

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Katibuni katika mfululizo wa vipindi vyetu vifupi vya Dondoo za Hija, leo tutaangazia moja ya mawaqif za Hija.Mwenye kuhiji anapaswa kusimama maeneo matatu. Anasimama Arafat, Mashaar …
Jumatatu, 21 Septemba 2015 18:47

Dondoo za Hija (7)

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Leo ni tarehe 7 Dhulhijjah. Katika utamaduni wa Uislamu wapenzi wasikilizaji, kiini cha ibada kiroho ni kumuelekea Mwenyezi Mungu, na kiini chake cha siasa ni kuwajali …
Nchini Iran wiki tuliyoko inajulikana kama ‘Wiki ya kujihami kutakatifu’ kwa mnasaba wa kukumbuka watati utawala wa Kibaath wa Iraq ulipoanzisha vita dhidi ya Iran mwaka 1980. Wananadharia na wataalamu …
Jumatatu, 21 Septemba 2015 13:55

Kufa shahidi Imam Muhammad Baqir (AS)

Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Tarehe 7 Mfunguo Tatu Dhulhijjah inasadifiana na siku aliyokufa shahidi Imam Muhammad Baqir (AS). Imam mtukufu ambaye, alikuwa nuru iliyoangaza kwenye giza totoro la zama zilizotawaliwa …
Jumapili, 20 Septemba 2015 13:22

Uislamu na Mtindo wa Maisha (81)

Kama bado mnakumbuka katika makala ya wiki iliyopita tulizungumzia umuhimu wa mali na utajiri na utumiaji wake katika shughuli za uzalishaji. Wiki hii tutajadili nafasi na umuhimu wa jinsi ya …
Jumapili, 20 Septemba 2015 12:27

Safari ya kuelekea kwenye ardhi ya wahyi

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Tumo katika siku za mwanzoni mwa mwezi mtukufu wa Mfunguo Tatu Dhulhija. Hiki ni kipindi cha ibada ya Hija ambamo miji miwili mitakatifu ya Makka na …
Jumapili, 20 Septemba 2015 11:04

Dondoo za Hija (6)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika sehemu hii ya 6 ya mfululizo huu wa makala fupifupi za Dondoo za Hija.Hija ni ibada yenye siri na maajabu mengi. …
Jumamosi, 19 Septemba 2015 17:28

Dondoo za Hija (5)

Hambambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio makala hizi fupifupi zinazozungumzia fadhila za ibada ya hija, ambazo zinakujieni kwa mnasaba wa siku hizi adhimu za ibada hiyo ambayo ni moja …
Jumamosi, 19 Septemba 2015 17:15

Dondoo za Hija (4)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki kifupi kuhusu Hija. Leo tutaangazia Hija iliyokubaliwa au Haj maqbul. Haj Maqbul ni Hija ambayo hujidhihirisha pale mwanadamu anapojikomboa kutoka kujisifu …
Alkhamisi, 17 Septemba 2015 19:52

Dondoo za Hija (3)

Assalaamu alaykumu wapenzi wasikilizaji. Katika kipindi cha miaka kumi ya kuwa kwake mjini Madina, Mtume SAW hakuwa amehiji hadi pale iliposhuka aya ya 27 ya Surat al-Haj inayosema:"Na watangazie watu …
As-Salamu Alaykumu wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi vinavyoangazia macho chimbuko la makundi yenye kuwakufurisha Waislamu …
Jumanne, 15 Septemba 2015 17:29

Dondoo za Hija (2)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Wapenzi wasikilizaji Qur'ani tukufu imeiarifisha al Kaaba kuwa ndiyo nyumba ya kwanza ya Tauhidi na kumpwekesha Mwenyezi Mungu na ya kale zaidi ya …
Jumanne, 15 Septemba 2015 17:08

Dondoo za Hija (1)

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Katika siku hizi wimbi bora zaidi ni lile ya sauti za Labbaika zinazotolewa na mahujaji wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu, al Kaaba wakijibu wito wa Nabii …
Jumamosi, 12 Septemba 2015 16:47

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (91)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu ya 91 ya kipindi hiki cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambacho hukujieni wakati na siku kama hii, kupitia Idhaa ya …
As-Salamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kuungana nami katika sehemu ya tatu ya makala hii inayoangazia macho wimbi la utakfiri kwa ajili ya kutekeleza uharibifu katika nchi za Kiislamu. Katika …
Jumapili, 06 Septemba 2015 18:30

Uislamu na Mtindo wa Maisha-80

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Ni wakati mwingine wa kuwaletea sehemu nyingine ya makala ya Uislamu na Mtindo wa Maisha. Wiki hii tutazungumzia umuhimu wa mali, utajiri na shughuli za uzalishaji …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …