Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uislamu
Maombolezo ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussein bin Ali AS yanaendelea katika maeneo mbalimbali. Mwaka huu mwezi wa Muharram na maadhimisho ya mapambano ya Imam Hussein (AS) yameanza katika …
Jumamosi, 17 Oktoba 2015 14:14

Mawaidha ya Muharram 1437 Hijria

Mawaidha ya Muharram na Sheikh Ali Ammar Mwazoa wa Tanga, Tanzania. Ingia hapa chini kusikiliza mawaidha hayo. Unaweza pia kupakua (download) na kwa ajili ya kuyasikiliza nje ya Intaneti.
Mawaidha ya Muharram na Sheikh Ali Ammar Mwazoa wa Tanga, Tanzania. Ingia hapa chini kusikiliza mawaidha hayo. Unaweza pia kupakua (download) na kwa ajili ya kuyasikiliza nje ya Intaneti.
Jumamosi, 17 Oktoba 2015 13:52

Msafara wa Nuru

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Kwa kuwadia mwezi wa Muharram, kumbukumbu ya hamasa inayobakia milele ya Karbala hujirudia tena akilini. Kila mtu, na kwa njia tofauti hujenga mawasiliano maalumu na Hussein …
Jumamosi, 17 Oktoba 2015 12:18

Hadithi ya Uongofu (15)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu ambacho hukujieni saa na wakati kama huu kupitia Idhaa ya Kiswahili …
Alkhamisi, 15 Oktoba 2015 12:11

Hadithi ya Uongofu (14)

Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya mfululizo wa kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu.Kipindi chetu cha leo na vipindi kadhaa vijavyo vitazungumzia maudhuii …
Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Kwa mara nyengine tena mwezi wa Muharram umewadia. Mwezi ambao unahuisha na kurejesha akilini kumbukumbu ya mapambano adhimu na yenye adhama. Muharram ni mwezi uliofungamana na …
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika makala hii fupi ambayo inawadieni kwa mnasaba wa siku hizi kumi za mwanzo za Mwezi Mtukufu wa Muharram ambapo Waislamu na wapenda haki kote …
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika mfululizo wa vipindi ambavyo vinaangazia macho chimbuko na kiini cha makundi ya kitakfiri duniani hii leo ikiwa ni sehemu ya nane ya makala hazi. …
Jumanne, 13 Oktoba 2015 12:59

Hadithi ya Uongofu (13)

Ni wasaa na wakati mwingine wapenzi wasikilizaji wa kujiunga nami katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu cha leo kitazungumzia maudhui ya bidaa na uzushi …
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika mfululizo wa vipindi hivi ambavyo vinaangazia chimbuko na kiini cha makundi ya kitakfiri duniani hii leo ikiwa ni sehemu ya …
Jumatatu, 05 Oktoba 2015 15:26

Uislamu na Mtindo wa Maisha-83

Kama tulivyosema katika makala zilizotangulia, mtindo wa maisha (Life style) ni mfumo wa maisha unaoumpa mtu, familia au jamii utambulisho makhsusi. Mtindo wa maisha unaweza kuwa jumla ya utendaji na …
Jumapili, 04 Oktoba 2015 22:10

Uislamu na Mtindo wa Maisha (82)

Ni wakati mwingine wa kuwaletea mfululizo wa vipindi hivi vya Uislamu na Mtindo wa Maisha na hii ikiwa ni sehemu ya 82. Kipindi chetu leo kitakamilisha mjadala kuhusu kazi na …
Ijumaa, 02 Oktoba 2015 19:03

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (95)

Asaalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu ya 95 ya kipindi hiki cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain kinachokujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu …
Ijumaa, 02 Oktoba 2015 19:02

Maswali yetu na Majibu ya Thaqalain (94)

Assalam Alaikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu ya 94 ya kipindi hiki cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain kinachokujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu …
Ijumaa, 02 Oktoba 2015 19:01

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (93)

Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na karibuni kusikiliza sehemu ya 93 ya kipindi hiki cha Maswali Yetu na Majibu ya …
Ijumaa, 02 Oktoba 2015 19:00

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (92)

Assalaam Alaikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Swali tutakalolijibu katika kipindi hiki linasema : Je, ni kwa nini …
Ijumaa, 02 Oktoba 2015 12:10

Ghadir, njia nyoofu ya saada ya ufanisi

Assalamu Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Baada ya Mtume Mtukufu (saw) kumaliza Hija yake ya mwisho, aliamua kurejea Madina. Akiwa njiani, kulitoa tukio kubwa ambalo lilibadili kabisa historia. Siku hiyo mtukufu huyo …
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika mfululizo wa vipindi ambavyo vinaangazia macho chimbuko na kiini cha makundi ya kitakfiri duniani hii leo ikiwa ni sehemu ya sita ya makala hizi. …
Jumatano, 23 Septemba 2015 12:30

Ujumbe wa Hija wa Kiongozi Muadhamu 1436 Hijria

Bismillahir Rahmanir Rahim Na hamdu na shukrani zote zinamstahikia Allah, Mola Mlezi wa viumbe wote na rehema na amani ziwe juu ya Bwana wa viumbe wote Muhammad na Aali zake …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …