Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumapili, 27 Disemba 2015 17:41

Ustadh Abu Ayman Khamis wa Arusha Tanzania azungumza na Salum Bendera wa Radio Tehran kuhusu Wiki ya Umoja

Ustadh Abu Ayman Khamis wa Arusha Tanzania azungumza na Salum Bendera wa Radio Tehran kuhusu Wiki ya Umoja

Tumo katika Wiki ya Umoja ambacho ni kipindi cha kati ya tarehe 12 na 17 za Mfunguo Sita Rabiu Awwal kinachosadifiana na kuadhimisha Maulidi na kumbukumbu ya kuzaliwa Bwana Mtume SAW kwa mujibu wa riwaya mbili tofauti za Waislamu. Imam Ruhullah al-Musawi al-Khomeini (MA) Mwasisi na Mwanzilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alikitangaza kipindi kuwa Wiki ya Umoja, ili Waislamu badala ya kuvutana na kuanza kukuza tofauti za tarehe za kuzaliwa Bwana Mtume SAW wakae pamoja na kujadili umuhimu wa umoja na changamoto mbalimbali zinazowakabili Waislamu na ulimwengu wa Kiislamu kwa ujumla. Salum Bendera amezungumza na Ustadh Abu Ayman Khamis msomi na mwanaharakati wa Kiislamu wa Arusha Tanzania ambaye kwa kuanzia anaeleza mtazamo wake kuhusiana na Wiki ya Umoja…..

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)