Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumapili, 19 Januari 2014 18:27

Sauti: Wiki ya Umoja

Sauti: Wiki ya Umoja

Miongoni mwa mambo muhimu mno yaliyofanywa na mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomeini MA ni ubunifu wake muhimu sana wa kukitangaza kipindi cha baina ya tarehe 12 na 17 Mfunguo Sita kuwa Wiki ya Umoja kati ya Waislamu.

Ubunifu huo aliufanya kwa lengo la kuimarisha umoja na mshikamano baina ya Waislamu na kuepusha mizozo baina yao. Alikuwa akihimiza sana kushikamana na kuwa kitu kimoja na kwamba badala ya Waislamu kukaa na kuzozana kuhusu siku aliyozaliwa kiongozi wao Bwana Mtume Muhammad SAW, wakae pamoja na kipindi cha tarehe hizo mbili na kujadiliana kwa pamoja mambo ya kuwaunganisha na kuwaletea maendeleo.

Sheikh Abdul Ghani Khatib wa Qum Iran ni mtaalamu wa masuala ya ulimwengu wa Kiislamu. Haya hapa chini mahojiano aliyofanyiwa na mwandishi wa Radio Tehran kuhusu Wiki ya Umoja...

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)