Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uislamu umeufanya umoja kuwa jambo la wajibu na lazima miongoni mwa Waislamu na waumini na dini nyinginezo za mbinguni zinazomwamini Mwenyezi Mungu Mmoja. Uzito wa jambo hili unaonekana wazi katika …
Mkutano wa 29 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu unaendelea hapa mjini Tehran katika siku yake ya pili leo ukishirikisha wanazuoni, wanafikra na wasomi kutoka nchi 70 duniani. Mkutano huo …
Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Karibuni kuwa nami katika mfululizo mwengine wa vipindi hivi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa Wiki ya Umoja ya kuadhimisha Maulidi, yaani kuzaliwa kwa Nabii wa rehma …
Tumo katika Wiki ya Umoja ambacho ni kipindi cha kati ya tarehe 12 na 17 za Mfunguo Sita Rabiu Awwal kinachosadifiana na kuadhimisha Maulidi na kumbukumbu ya kuzaliwa Bwana Mtume …
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Waislamu wanaweza kujenga "Umma Mmoja wa Kiislamu" kwa kuwa na umoja na mshikamano.
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia udharura wa kuweko umoja na mshikamano katika ulimwengu wa Kiislamu na kusema kuwa, kuendelea vita katika nchi za Syria na …
Jumapili, 27 Disemba 2015 11:18

Rouhani afungua mkutano wa Umoja wa Kiislamu

Duru ya 29 ya mkutano wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu imeanza leo hapa mjini Tehran kwa hotuba ya Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Jumapili, 27 Disemba 2015 06:52

Rais kufungua Mkutano wa Umoja wa Kiislamu leo

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran asubuhi hii anatazamiwa kutoa hotuba katika ufunguzi wa mkutano wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu unaofanyika hapa mjini Tehran.
Wiki ya Umoja wa Kiislamu ambayo huadhimishwa kati ya tarehe 12 na 17 Mfunguo Sita ama Rabiul Awwal  ilianza Alkhamisi iliyopita kwa maadhimisho ya Maulidi ya Mbora wa Viumbe Mtume …
Sheikh al Azhar wa Chuo Kikuu cha kidini cha al Azhar cha Misri amesema kuwa, Bwana Mtume Muhammad SAW ni mlinganiaji mkuu wa umoja na mshikamano baina ya Waislamu Duniani.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha pamoja Madhehebu za Kiislamu amesisitiza udharura wa kuwepo umoja na mshikamano kati ya Waislamu.
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Qur'ani Tukufu na Sunna ni nguzo mbili muhimu za Umoja wa Kiislamu duniani.
Tuko katika siku tukufu za kuadhimisha Maulid ya Mtume Mtukufu wa Uislamu Mohammad al Mustafa SAW. Waislamu wa madhehebu ya Sunni wanaadhimisha siku hiyo tarehe 12 Rabiul Awwal na Waislamu …
Ilikuwa miaka mingi ambapo watu walikuwa wakiishi katika taasubi, itikadi batili na khurafa.  Kwa amri yake Mwenyezi Mungu SWT, katika usiku usiosahaulika, rahma zake zilishuka Hijaz na ulimwengu ukashuhudia kuzaliwa …
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji katika kipindi hiki maalumu kinachojadili mitazamo tofauti inayopindukia mipaka kuhusiana na mwanawake na pia mtazamo wa Kiislamu kuhusiana na kiungo hiki muhimu katika jamii ya mwanadamu. …
Hivi sasa tumo katika Wiki ya Umoja kati ya Waislamu ambayo ilitangazwa na hayati Imam Khomeini kutokana na hitilafu za mapokezi kuhusu siku aliyozaliwa Mtume Muhammad (saw). Wiki hiyo inaanzia …
Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi kingine maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuadhimisha Wiki ya Umoja. Katika kipindi chetu cha leo mbali na kubainisha umuhimu wa kujenga umoja …
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki maalumu. Tumo katika masiku ya kukumbuka kuzaliwa mbora wa viumbe, Mtume Muhammad (saw) na kuanza Wiki ya Umoja. Sambamba na kutoa …
Jumapili, 19 Januari 2014 18:27

Sauti: Wiki ya Umoja

Miongoni mwa mambo muhimu mno yaliyofanywa na mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomeini MA ni ubunifu wake muhimu sana wa kukitangaza kipindi cha baina ya tarehe 12 …
Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi kingine cha Makala ya Wiki ambacho leo kitazungumzia umuhimu wa umoja wa Waislamu na njama za maadui za kuvunja safu …
Page 1 of 2