Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uislamu Chaguo Langu
Jumanne, 30 Aprili 2013 15:56

Uislamu Chaguo Langu (38) + Sauti

Sikiliza Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Ingawa tunaendelea kushuhudia ongezeko kubwa la chuki dhidi ya Uislamu katika nchi za Magharibi lakini katika upande wa pili wimbi la kuutaka Uislamu nalo ni kubwa …
Jumapili, 21 Aprili 2013 19:54

Uislamu Chaguo Langu (37) + Sauti

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Taasisi ya Brands Futures Group muelekeo wa kupenda masuala ya kidini umeongezeka miongoni mwa raia wa  nchi za magharibi hasa …
Jumatatu, 08 Aprili 2013 18:12

Uislamu Chaguo Langu (36) + Sauti

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hatua ya watu wa jamii za Magharibi hasa vijana kuelekea katika Uislamu ni ukweli ambao hauwezi kupingika. Kuna njama za vyombo vya habari vya Kimagharibi pamoja …
Jumatano, 03 Aprili 2013 15:23

Uislamu Chaguo Langu (35)

Bismillahir Rahmanir Rahim Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Moja kati ya mahitaji muhimu zaidi ya mwanaadamu ni haja ya kumjua na kumwabudu Mola Muumba wa dunia. Baada ya kudhihiri dini za …
Jumatano, 03 Aprili 2013 15:22

Uislamu Chaguo Langu (34)

Bismillahir Rahmanir Rahim Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Uislamu una sifa za kipekee na kila mojawapo ya sifa hizo ni motisha yenye nguvu ya kuhamasisha utafiti wenye lengo la kuelekea katika …
Jumatano, 03 Aprili 2013 15:20

Uislamu Chaguo Langu (33)

Bismillahir Rahmanir Rahim Uislamu daima unajulikana kama dini hai na inayoenda sambamba na zama na kwa mujibu wa mahitaji ya karne mbali mbali. Pamoja na kuwa katika kipindi chote cha …
Jumatano, 03 Aprili 2013 15:10

Uislamu Chaguo Langu (32)

Bismillahir Rahmanir Rahim Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Bi. Yvette Baldacchino ni mtaalamu mwandamizi wa sheria katika Chuo Kikuu cha Sydney na ambaye baada ya kujitenga na pote la Kikatoliki, aliamua …
Jumatano, 03 Aprili 2013 15:07

Uislamu Chaguo Langu (31)

Bismillahir Rahmanir Rahim Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Allah SWT katika mwisho wa aya ya 17 na aya ya 18 ya Sura Zummar anasema: Basi wabashirie waja wangu. Ambao husikiliza maneno, …
Jumatano, 03 Aprili 2013 15:05

Uislamu Chaguo Langu (30)

Bismillahir Rahmanir Rahim Sekta ya sinema ya Hollywood na hali inayotawala hapo ni jambo lililowazi kabisa. Kuhimiza na kueneza ufisadi na ufuska pamoja na mafunzo yaliyodhidi ya dini na yanayokiuka …
Jumapili, 24 Februari 2013 22:19

Uislamu Chaguo Langu 29

Gazeti la New York Times katika ripoti yake ya hivi karibuni liliandika kuwa: "Utafiti unaonyesha kuwa Uislamu unaenea kwa kasi Marekani na ukweli huu umewatia wasi wasi mkubwa watu wenye …
Jumapili, 24 Februari 2013 21:46

Uislamu Chaguo Langu 28

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatu wapenzi wasikilizajiUislamu ndio dini ya mwisho na kamili zaidi ambayo inampa mwanaadamu saada na ufanisi. Mafundisho ya Kiislamu yanaweza kukidhi kikamilifu mahitajio ya mwanaadamu katika nyanja …
Jumamosi, 19 Januari 2013 10:59

Uislamu Chaguo Langu 27 + Sauti

      Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii inayowaangazia watu ambao baada ya utafiti wa kina huamua kufuata njia iliyojaa nuru maishani yaani Uislamu. Bi. …
Jumamosi, 19 Januari 2013 10:58

Uislamu Chaguo Langu 26

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki ambacho huwaaangazia watu ambao baada ya kufanya uchunguzi na utafiti wa kina huamua kufuata njia ya haki na iliyojaa nuru …
Jumamosi, 19 Januari 2013 10:54

Uislamu Chaguo Langu 25

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika maka hii ya 'Uislamu Chaguo Langu' ambayo huwaangazia watu ambao baada ya kufanya utafiti huamua kufuata njia ya haki na iliyojaa nuru …
Jumamosi, 12 Januari 2013 11:37

Uislamu Chaguo Langu 24

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ya "Uislamu Chaguo Langu" ambayo huangazia watu ambao baada ya kufanya uchunguzi wa kina huamua kufuata njia ya haki na …
Jumamosi, 12 Januari 2013 11:28

Uislamu Chaguo Langu 23

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia maisha ya watu ambao baada ya kufanya utafiti wa kina huamua kufuata njia ya haki na iliyojaa nuru …
Jumatatu, 03 Disemba 2012 14:52

Uislamu Chaguo Langu 22

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala nyingine ya 'Uislamu Chaguo Langu' ambayo huwaangazia watu ambao, baada ya kufanya utafiti wa kina huamua kubadilisha mkondo potofu maishani na …
Jumatatu, 03 Disemba 2012 14:50

Uislamu Chaguo Langu 21

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika katika kipindi hiki maalumu kuhusu watu ambao baada ya kufanya utafiti wa kina wameamua kusilimu na kuikumbatia dini tukufu ya Kiislamu. Katika …
Jumatatu, 03 Disemba 2012 14:47

Uislamu Chaguo Langu 20 + Sauti

Kuongezeka idadi ya Waislamu Marekani na hasa kuenea Uislamu miongoni mwa jamii za waliowachache katika nchi hii ni ukweli ambao umewavutia wengi. Mshikamano unaozidi kuimarika wa Waislamu ni jambo ambalo …
Jumatatu, 03 Disemba 2012 14:43

Uislamu Chaguo Langu 19 + Sauti

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki kinachowaangazia watu ambao baada ya kufanya utafiti wa kina wameamua kufuata njia ya haki na ukamilifu maishani ambayo ni njia …
Page 4 of 5

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …