Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uislamu Chaguo Langu
Jumatatu, 28 Oktoba 2013 14:56

Uislamu Chaguo Langu (58)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ya Uislamu Chaguo Langu ambapo leo tutaanza kwa kunukulu maneno ya Oswald Spengler …
Jumatatu, 28 Oktoba 2013 14:54

Uislamu Chaguo Langu (57)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki ambacho huwaangazia baadhi ya watu ambao baada ya uchunguzi wa kina huamua kufuata …
Jumatatu, 28 Oktoba 2013 14:52

Uislamu Chaguo Langu (56)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. AA Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huwaangazia watu ambao baada ya kufanya utafiti wa kina huamua kufuata …
Jumatatu, 28 Oktoba 2013 14:48

Uislamu Chaguo Langu (55)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hisia ya kuutafuta ukweli daima iko katika fitra au maumbile asili ya kiroho ya mwanaadamu. Wanasaikolojia wanaaita hisia hiyo kuwa ni 'Hisia ya …
Jumatatu, 28 Oktoba 2013 14:46

Uislamu Chaguo Langu (54)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh.Leo mwanaadamu anatafuta mazingira safi na yenye amani ili moyo wake upate utulivu. Hivi sasa tunasuhudia upeo wenye nuru ukiwa umefunguka mbele ya mwanaadamu …
Jumapili, 01 Septemba 2013 10:48

Uislamu Chaguo Langu (53)

Bi.Yu Lee ni Mchina aliyesilimu. Anakumbuka namna katika zama zake za utotoni alivyokuwa akiwaza na kuwazua kuhusu mfumo wa maumbile duniani na kwamba mfumo huu lazima uwe na muumbaji wake. …
Jumapili, 25 Agosti 2013 13:08

Uislamu Chaguo Langu (52)

Hii leo mwanaadamu anatafuta mazingira safi yenye kutuliza moyo. Ni kwa sababu hiyo ndiyo maana tunashuhudia fikra mbalimbali za kidini na zisizo za kidini duniani. Kati ya nadharia zisizo za …
Jumapili, 18 Agosti 2013 12:06

Uislamu Chaguo Langu (51)

Uislamu ni dini ya thamani, ujuzi na maarifa na daima dini hii imekuwa ikiwahimiza wafuasi wake kufuata nuru ya elimu kwani mwenye kufanya jitihada za kuutafuta ukweli hatimaye huelekea katika …
Jumatatu, 12 Agosti 2013 17:40

Uislamu, Chaguo Langu (50)

  Assalam Aleikum,Mpenzi msikilizaji na ni matumaini yangu kuwa ubuheri wa afya na karibuni kujiunga nami katika makala nyingine ya Uislamu Chaguo Langu. Leo pia tutamuangazia raia wa Uingereza mwenye …
Jumatatu, 29 Julai 2013 15:48

Uislamu Chaguo Langu (49)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Leo wanaadamu wengi wanaendelea kutafuta haki. Je, ni vipi katika dunia ya leo iliyojaa vishawishi wanaadamu bado wanaweza kuwa na mapenzi makubwa moyoni …
Jumatatu, 29 Julai 2013 15:44

Uislamu Chaguo Langu (48)

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Historia inashuhudia kuwa sababu kuu ya kuenea Uislamu duniani ni mvuto wa kipekee wa dini hii tukufu. Thibitisho la nukta hii ni kuwa idadi kubwa ya …
Jumamosi, 06 Julai 2013 11:40

Uislamu Chaguo Langu (47)

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Dini huinua hadhi ya mwanaadamu na kumuwezesha kufikia malengo yake asili ambayo hatimaye humpa maisha bora ya milele. Utafiti wa muda mrefu unaonyesha ukweli huu kuwa, …
Jumamosi, 06 Julai 2013 11:36

Uislamu Chaguo Langu (46)

Bismillahir Rahmanir Rahim Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Bi. Anna Linda ni Mdenmark aliyesilimu. Yeye pamoja na familia yake walihamia Canada na kisha baada ya hapo kuelekea New York nchini Marekani. …
Jumamosi, 06 Julai 2013 11:32

Uislamu Chaguo Langu (45)

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Kila wakati pale hisi za ubinaadamu zinapodhoofika katika jamii, tabia za kinyama huibuka na kupelekea jamii kukumbwa na mgogoro wa ukosefu wa umaanawi na hilo hubadilika …
Jumatano, 26 Juni 2013 13:36

Uislamu Chaguo Langu (44)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Dini tukufu ya Kiislamu ambayo ni dini kamili zaidi ya na ina mpango muafaka zaidi wenye kumletea mwanaadmau saada na maisha bora duniani na akhera. Kwa hivyo …
Jumatano, 26 Juni 2013 13:34

Uislamu Chaguo Langu (43)

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh wapenzi wasikilizaji. Kinyume na juhudi kubwa za vyombo vya habari vinavyofungamana na Wazayuni ambavyo vinaupiga vita Uislamu kwa kila njia, bado tunashuhudia kuongezeka idadi ya watu …
Jumatatu, 27 Mei 2013 14:49

Uislamu Chaguo Langu (42)

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh wapenzi wasikilizaji. Kinyume na juhudi kubwa za vyombo vya habari vinavyofungamana na Wazayuni ambavyo vinaupiga vita Uislamu kwa kila njia, bado tunashuhudia kuongezeka idadi ya watu …
Jumanne, 21 Mei 2013 18:12

Uislamu Chaguo Langu (41)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Bi. Masayo Yamaguchi ni mhitimu wa taalauma ya Fasihi ya Kifarsi katika Chuo Kikuu cha Masomo ya Kigeni mjini Tokyo, Japan.  Akiwa katika nchi ya Japan ambayo …
Jumatatu, 13 Mei 2013 13:40

Uislamu Chaguo Langu (40)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Kati ya sababu za kuenea dini tukufu ya Kiislamu ni maneno yake yenye kutuliza moyo na ujumbe wake uliowazi. Uislamu ni dini ya …
Jumamosi, 04 Mei 2013 11:26

Uislamu Chaguo Langu (39) + Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Ingawa tunaendelea kushuhudia ongezeko kubwa la chuki dhidi ya Uislamu katika nchi za Magharibi lakini katika upande wa pili wimbi la kuutaka Uislamu nalo …
Page 3 of 5

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …