Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumapili, 26 Aprili 2015 17:18

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh

Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao huu wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu katika mfululizo huu mpya wa tamthilia inayozungumzia maua mawili ya Mtume wa Allah, Muhammad al Mustafa SAW, yaani Maimam Hasan na Husain AS mabwana wa vijana wa peponi.

Ingia hapa chini kusikiliza sehemu ya thalathini na moja ya mfululizo wa tamthilia hii.

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)