Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatano, 15 Julai 2015 12:02

Maana ya toba na kusherehekea Eid - Na Sheikh Ahmad Abdallah Janga wa Tanga, Tanzania

Maana ya toba na kusherehekea Eid - Na Sheikh Ahmad Abdallah Janga wa Tanga, Tanzania

Bismillahir Rahmanir Rahim.

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh.

Hapa chini tumekuwekeeni mawaidha ya mwezi huu mtukufu wa Ramadhani yaliyotolewa na Sheikh Ahmad Abdallah Janga wa Muassat al mostafa al Khayriyyah, Tanga Tanzania. Mada ni namna sahihi ya kusherehekea Eid na maana halisi ya toba inayopatikana katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Ingia hapa chini kusikiliza mawaida hayo.

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)