Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatano, 24 Juni 2015 14:04

Kipindi maalumu cha Ramadhani

Kipindi maalumu cha Ramadhani

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh.

Tukiendelea na mfululizo wa vipindi maalumu vya mwezi mtukufu wa Ramadhani kutoka Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, hapa chini tumekuwekeeni kipindi maalumu kingine cha Ramadhani ya mwaka huu wa 1436 Hijria.

Mada ya kipindi hicho ni namna ya kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani na ndani yake pamoja na mambo mengi, tumetoa nafasi kwa watu wa maeneo tofauti kuweza kutoa maoni yao kuhusu mwezi huu mtukufu.

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)