Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Ijumaa, 19 Juni 2015 18:20

Namna ya kuikaribisha Ramadhani, mahojiano na Sheikh Ali Ammar Mwazoa wa Tanga Tanzania

Namna ya kuikaribisha Ramadhani, mahojiano na Sheikh Ali Ammar Mwazoa wa Tanga Tanzania

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh.

Tukiendelea na mfululizo wa vipindi maalumu vya mwezi mtukufu wa Ramadhani kutoka Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, hapa chini tumekuwekeeni kipindi maalumu cha kwanza kabisa kwa Ramadhani ya mwaka huu wa 1436 Hijria.

Mada ya kipindi hicho ni namna ya kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani na ndani yake pamoja na mambo mengi, tumemuhoji Sheikh Ali Ammar Mwazoa, muballigh na mwanaharakati wa Kiislamu wa mkoani Tanga, Tanzania.

Ingia hapa chini kusikiliza kipindi hicho maalumu

 

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)