Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hapa chini tumekuwekeeni mawaidha ya mwezi huu mtukufu wa Ramadhani yaliyotolewa na Sheikh Ahmad Abdallah Janga wa Muassat al mostafa al Khayriyyah, Tanga …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hapa chini tumekuwekeeni mawaidha ya mwezi huu mtukufu wa Ramadhani yaliyotolewa na Sheikh Ahmad Abdallah Janga wa Muassat al mostafa al Khayriyyah, Tanga …
Jumanne, 30 Juni 2015 16:08

Fadhila za Saumu ya Ramadhani (2)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Yafuatayo hapa chini ni mawaidha ya mwezi mtukufu wa Ramadhani yaliyotolewa na al Ustadh Abdul-Latif Issa Swaleh wa Dar es Salaam, Tanzania. Mada …
Jumapili, 28 Juni 2015 13:35

Fadhila za Saumu ya Ramadhani (1)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Yafuatayo hapa chini ni mawaidha ya mwezi mtukufu wa Ramadhani yaliyotolewa na al Ustadh Abdul-Latif Issa Swaleh wa Dar es Salaam, Tanzania. Mada …
Alkhamisi, 25 Juni 2015 13:10

Katika Msafara wa Ramadhani (1)

Mwenyezi Mungu Mtukufu amejaalia katika maisha ya wanadamu baadhi ya siku, miezi na nyakati zilizojaa baraka na hadhi kubwa. Katika siku na nyakati hizo upepo mwanana kama ule wa alfajiri, …
Jumatano, 24 Juni 2015 14:04

Kipindi maalumu cha Ramadhani

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Tukiendelea na mfululizo wa vipindi maalumu vya mwezi mtukufu wa Ramadhani kutoka Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, hapa …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Yafuatayo hapa chini ni mawaidha ya mwezi mtukufu wa Ramadhani yaliyotolewa na Imam wa Msikiti wa Jamia wa jijini Nairobi Kenya na kurushwa …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Tukiendelea na mfululizo wa vipindi maalumu vya mwezi mtukufu wa Ramadhani kutoka Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, hapa …
Ijumaa, 19 Juni 2015 13:50

Dua za Ramadhani

Mwenyezi Mungu anasema: Au nani Yule anayemjibu mwenye shida pale anapomwomba, na akaiondoa dhiki, na akakufanyeni warithi wa ardhi? Je! Yupo mungu pamoja na Mwenyezi Mungu? Ni machache mnayo yazingatia.
Ijumaa, 19 Juni 2015 13:25

Ramadhani, mwezi wa ibada na toba

Bismillahir Rahmanir Rahim Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuhu na karibuni kujiunga nami katika makala hii maalumu niliyokundalieni kwa mnasaba wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Tunamuomba Mwenyezi Mungu atutakabalie saumu na ibada …
Alkhamisi, 18 Juni 2015 12:02

Kuukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Bismillahir Rahmanir Rahim Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh.Wapenzi wasikilizaji karibuni kusikiliza kipindi hiki tulichowaandalieni kwa mnasaba wa kuwadia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.Kwa mara nyingine tena mbingu zimefunguka na Mwezi Mtukufu wa …
Jumatano, 23 Julai 2014 12:06

Msimu wa Mavuno (8) [Ibada - 3]

Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu ya pili ya mfululizo wa vipindi vyetu maalumu vinavyokujieni katika mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani vinavyobeba …
Jumapili, 20 Julai 2014 14:32

Msimu wa Mavuno ( 7) {Kuwa na Subira}

Assalaam Alaykum wasikilizaji wapenzi. Ni wakati mwingine tena wa kuwa nanyi katika kipindi hiki maalumu cha mwezi mtukufu wa Ramadhani. Ni matumaini yetu kuwa mtakuwa nasi hadi mwisho wa kipindi …
Assalaam Alaykum wasikilizaji wapenzi, na karibuni kuwa nasi katika dakika hizi chache za kuwaleteeni mfululizo mwingine wa kipindi maalumu cha mwezi mtukufu wa Ramadhani, ni matumaini yetu kuwa tutapata taufiki …
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika mfululizo mwingine wa makala maalumu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, mwezi uliojaa nuru na ukarimu wa Mola Muumba. Tunamuomba Mwenyezi Mungu SWT …
Jumanne, 08 Julai 2014 11:22

Msimu wa Mavuno (4) [Kuwaheshimu wenzako]

Assalaam Alaykum wasikilizaji wapenzi, ni wakati mwingine tena wa kuwa nanyi katika dakika hizi chache za kukuleteeni kipindi hiki maalumu cha mwezi mtukufu wa Ramadhani, ambacho leo kitazungumzia ulazima wa …
Ijumaa, 04 Julai 2014 21:45

Msimu wa Mavuno (3) [Ibada - 2]

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi kingine cha Msimu wa Mavuno ya Ibada ambacho leo kitatupia jicho udharura wa kuunga udugu na kushirikiana …
Jumatatu, 30 Juni 2014 12:00

Msimu wa Mavuno (2) [Uchaji Mungu]

Assalaam Alaykum wasikilizaji wapenzi, ni wakati mwingine tena wa kukuleteeni kipindi maalumu cha mwezi mtukufu wa Ramadhani, kipindi ambacho kitaangazia masuala ya uchaji Mungu katika mwezi huu mtukufu; ni matarajio …
Jumapili, 29 Juni 2014 18:07

Msimu wa Mavuno (1) [Ibada - 1]

Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu ya kwanza ya mfululizo wa vipindi vyetu maalumu vinavyokujieni katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani vinavyobeba …
Jumamosi, 20 Julai 2013 12:14

Ramadhan, Mwezi wa ibada na toba (5)

As-Salamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi kingine maalumu cha mwezi mtukufu wa Ramadhani. Kipindi hiki ni katika mfululizo wa vipindi maalumu vilivyotayarishwa kwa ajili ya mwezi …
Page 1 of 2