Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Muharram
Jumatano, 08 Disemba 2010 20:22

Simulizi za Hamasa ya Muharram (4)

Msafara wa Imam Hussein alikuwa kisonga mbele kuelekea Karbala katika kimya kizito cha changwani. Sauti za kengele za ngamia wa msafara wa Imam zilikuwa zikisikika kutoka mbali. Ghafla sauti ya …
Jumatano, 08 Disemba 2010 20:21

Simulizi za Hamasa ya Muharram (3)

Mapema kabla ya alfajiri, dunia ilikuwa katika kimya cha kabla ya tufani. Wakati huo, Hussein (AS) alikuwa katika fikra ya kutengeneza hamasa kubwa. Imam alikatiza ibada ya hija kwa shabaha …
Jumatano, 08 Disemba 2010 20:18

Simulizi za Hamasa ya Muharram (2)

Usiku ulikuwa umewadia. Giza la usiku lilikuwa limetanda kote na kimya kilitawala kila mahala. Hata hivyo mwanga na nuru ya utukufu ilikuwa ikionekana katika sura na uso wa Imam Hussein …
Jumatano, 08 Disemba 2010 20:14

Simulizi za Hamasa ya Muharram (1)

Bismillahir Rahmanir Rahim Mfululizo wa makala hizi umeandaliwa maalumu kwa ajili ya kumi la kwanza la mwezi wa Muharram kwa mnasaba wa kukumbuka tukio chungu la kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume …
Bismillahir Rahmanir Rahim Makala hii itatupia jicho nafasi muhimu ya wanawake katika hamasa na mapambano ya Imam Hussein AS huko Karbala Iraq, katika vita baina ya haki na batili vilivyotokea …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Katika suala zima la mapambano ya Husain bin Ali AS dhidi ya dhulma na ukandamizaji, Ashura ni mithili ya jabali kubwa ambalo limeenea …
Bismillahir Rahmanir Rahim Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hivi sasa tumo katika mwezi wa Muharram, mwezi wa hamasa ya Karbala, mwezi wa kuomboleza na kukumbuka ushindi wa damu …
Bismillahir Rahmanir Rahim Kwa wale watu wanaofahamu vyema historia ya Uislamu, mwezi wa Muharram hukumbusha mapambano makubwa ambayo yalifanywa na Imam Hussein (as) kwa ajili ya kurekebisha na kuhuisha dini …
Page 3 of 3

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …