Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Muharram
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika sehemu nyingine ya makala maalumu ya Mwezi wa Muharram ambapo leo tutaendelea kuangazia baadhi ya maneno aliyoyasema Imam Hussein AS akiwa …
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibu katika sehemu nyingine ya kipindi hiki maalumu cha Pamoja na Imam Hussein (a.s) kutoka Madina hadi Karbala, kipindi ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa mwezi …
Jumatano, 06 Novemba 2013 13:30

Mguso wa nyoyo katika maombolezo ya Husain

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni wasikilizaji wapenzi katika makala hii maalumu tuliyokuandalieni kwa mnasaba wa mwezi mtukufu wa Muharram. Makala yetu imebeba kichwa cha maneno kisemacho, Mguso …
Mwezi wa Muharram unatukumbusha mapambano ya Karbala ambayo Imam Hussein (as) alikuwa mbeba bendera wake, mapambano ambayo yameacha athari kubwa katika historia ya mwanadamu. Huenda wewe pia ndugu msikilizaji ukawa …
Jumanne, 05 Novemba 2013 11:06

Muharram, Mwanzo wa Historia

Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nasi katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuanza mwezi mtukufu wa Muharram na harakati ya Bwana wa Vijana …
Alkhamisi, 22 Novemba 2012 12:22

Siri ya kudumu harakati ya Imam Hussein AS

Ashura ni tukio ambalo imepita miaka 1373 tokea kujiri kwake lakini si tu kuwa tukio hili la kihistoria linawavutia Waislamu bali pia wapenda uhuru kote duniani wamevutiwa na yaliyojiri katika …
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu ya tatu ya mfululizo huu maalumu unaozungumzia nafasi ya wanawake katika tukio la kihistoria la Ashura lilitokea mwaka 61 Hijria katika ardhi …
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji kusikiliza sehemu ya pili ya kipindi hiki maalumu kinachoelezea mchango wa wanawake katika Tukio 'Ashura, ni matarajio yetu kuwa mtakuwa nami hadi mwisho wa kipindi hiki, …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Karibuni wapenzi wasikilizaji katika sehemu ya kwanza ya makala hii inayozungumzia mchango wa wanawake katika hamasa wa 'Ashura. Mwezi wa Muharram mwaka 61 Hijria ulipambika kwa mapambano …
Ijumaa, 16 Novemba 2012 08:57

Imam Hussein AS alihuisha Uislamu

Katika historia ya jamii ya mwanaadamu maisha yamekuwa yakiendelea na kuandamana na matukio mbali mbali. Ni wazi kuwa baadhi ya matukio ya zama tofauti si tu kuwa hayawezi kufutika bali …
Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nami katika makala hii maalumu inayokujieni badala ya kipindi cha Iran Juma Hili kwa mnasaba wa maombolezo ya mauaji ya mjukuu wa Mtume …
Jumatano, 30 Novemba 2011 17:07

Mapambano ya Imam Hussein AS kudumu milele

Bismillahir Rahmanir Rahim Sifa maalumu za mapambano ya Imam Hussein AS ni kuwa thamani za mapambano hayo hazikubaki kwenye mmbano wa zama na sehemu yalikotokea, bali ziliweza kuvuka mipaka ya …
Jumatano, 30 Novemba 2011 16:56

Harakati ya Bwana wa Mashahidi na malengo yake

Bismillahir Rahanir Rahim Imam Hussein AS alisema katika majlisi ya gavana wa Yazid mjini Madina kwamba: "Mithili yangu mimi hawezi kumpa Yazid mkono wa utiifu." Makala hii inatupia jicho kwa ufupi …
Jumanne, 29 Novemba 2011 09:38

Simulizi za hamasa ya Muharram (Sauti)

Sehemu ya Kwanza Sehemu ya Pili Sehemu ya Tatu Sehemu ya Nne Sehemu ya Tano Sehemu ya Sita Sehemu ya Saba Sehemu ya Nane Sehemu ya Tisa Sehemu ya Kumi
Jumamosi, 18 Disemba 2010 12:20

Simulizi za Hamasa ya Muharram (10)

Leo jangwa la Karbala limehinikiza makelele. Anga ya Karbala imehinikiza mayowe ya maadui. Kadiri saa zinavyopita ndivyo uadui wao unavyoongezeka na kuwa mkali zaidi. Katika upande huu mwingine wa medani, …
Alkhamisi, 09 Disemba 2010 13:34

Simulizi za Hamasa ya Muharram (9)

Kadiri masahaba wa Imam Hussein AS walivyokuwa wanaonyesha hamu ya kwenda kwenye medani ya mapambano na kuuawa shahidi, ndivyo huzuni na maumivu yalivyokuwa yakizidi kwenye moyo wa Imam Hussein AS. …
Alkhamisi, 09 Disemba 2010 13:32

Simulizi za Hamasa ya Muharram (8)

Hapa ni katika medani ya maonyesho ya upendo na ujasiri wa kivita. Hapa ni Karbala. Ni nukta ya kileleni.Jangwa ya Karbala sasa liko tayari kusajili hamasa kubwa zaidi ya wanaadamu …
Alkhamisi, 09 Disemba 2010 13:21

Simulizi za Hamasa ya Muharram (7)

Siku nyingine ilikuwa imewadia, askari wa Ibn Sa'ad wanaonekana kuwa na haraka ya kutaka kumuangamiza mwanadamu bora na anayeifahamu vyema zaidi Qur'ani Tukufu. Wanaonekana kuwa na pupa ya kupokea ajira …
Alkhamisi, 09 Disemba 2010 13:18

Simulizi za Hamasa ya Muharram (6)

Usiku ulikuwa umetanda, na kimya cha kustaajabisha na chenye usiri mkubwa kilikuwa kimeligubika jangwa la ardhi ya Karbala. Mbalamwezi iliangaza ardhini, na sauti za vifijo zilikuwa zikisikika kwenye jeshi la …
Alkhamisi, 09 Disemba 2010 13:14

Simulizi za Hamasa ya Muharram (5)

Farasi walikuwa wakienda shoti katika jangwa la Karbala, na kutimua vumbi kubwa lililosababisha kiwingu kizito kilichotanda kwenye anga ya ardhi hiyo. Kabla ya hapo, ardhi ya Karbala ilikuwa haijawahi kushuhudia …
Page 2 of 3

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …