Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatatu, 19 Oktoba 2015 11:10

Hali ya Muharram mjini Najaf, Iraq, na Ustadh Jamal Abdallah Kasole

Hali ya Muharram mjini Najaf, Iraq, na Ustadh Jamal Abdallah Kasole

Maombolezo ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussein bin Ali AS yanaendelea katika maeneo mbalimbali. Mwaka huu mwezi wa Muharram na maadhimisho ya mapambano ya Imam Hussein (AS) yameanza katika hali ambayo Waislamu duniani, mbali na kumuomboleza mtukufu huyo na masahaba zake walioauawa katika ardhi ya Karbala mwaka 61 Hijria, wana majonzi na huzuni pia ya tukio chungu la Mina lililotokea katika ibada ya Hija mwaka huu. Salum Bendera amezungumza na Ustadh Jamal Abdallah Kasole wa Najaf Iraq ambaye anaanza kuelezea jinsi maombolezo ya Muharram yanavyofanyika katika mji huo...

Sauti na Video

Zaidi katika kategoria hii: « Mawaidha ya Muharram 1437 Hijria

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …