Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumamosi, 08 Novemba 2014 10:52

Umuhimu wa kumzuru Imam Husain AS - na Sheikh Taqee Zakaria

Umuhimu wa kumzuru Imam Husain AS - na Sheikh Taqee Zakaria

Mamillioni ya Waislamu kote duniani kila mwaka wanashiriki katika maombolezo ya Muharram, ambayo hufanyika kwa mnasaba wa kukumbuka kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Husain AS pamoja na wafuasi wake huko Karbala. Mamilioni ya waombolezaji katika kona mbalimbali za dunia hukumbuka mapambano hayo ya Imam Husain AS wakiongozwa na nara maarufu isemayo "Kila siku ni siku ya Ashura na kila ardhi ni Karbala."

Hapa chini tumeweka mawaidha maalumu kuhusiana na umuhimu wa kumzuru na kubakisha hai mapambano ya Imam Husain AS huko Karbla.

Yanaletwa kwenu na Sheikh Taqee Zakaria wa Hawza, yaani Chuo Kikuu cha kidini cha hapa nchini Iran.

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …